Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usichoelewa points zinashuka Kulingana na mwaka husika wa mashindano...Yeah,
Yanga akifika nusu fainali au fainali atapata point nyingi sana
Kikubwa apambane
Mafanikio makubwa yapi ya kombe la looser ambalo al ahly hajawahi kucheza hata fainali.Jibu unalo ila umeamua kukaza fuvu lako tu.
Yanga ilikuwa inatembeza bakuli "Haikuwa na Wadhamini"
Mbona GSM kawekeza 2021 pekee ila 2022 na 2023 Yanga imepata mafanikio makubwa tu?
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Points zipo sahihi...ila Kadri miaka inavyozidi kwenda kizidishio hakibaki kuwa kilekile points 20 msimu unaokuja zitapungua kubaki 16 bila kujumlisha za mwaka huu ambazo zitapatikanaEbu nifafanulie hapa
Bila Simba Yanga angepata hiyo nafasi ya kujikusanyia hizo point.Mimi huwa napenda sana namba na hesabu
Kwani hazidanganyi, haziongopi wala hazipendelei
Jinsi Simba alivyojizolea point 35 katika msimamo wa vilabu bora Afrika
1) Msimu wa 2018/2019 aliishia robo fainali Klabu Bingwa hivyo akajizolea point zake 3
2) Msimu wa 2019/2020 alipata point 0
Sijui alikuwa na shida gani
3) Msimu wa 2020/2021 aliishia robo fainali hivyo akajizolea point zake 3
4) Msimu wa 2021/2022 aliiangukia shirikisho akajipatia point zake 2 baada ya kubondwa na yeye kwa hasira akaamua kuchoma kiwanja moto kwa hasira
5) Msimu wa 2022/2023 aliingia robo fainali na akajizolea point zake 3
Ebu sasa tuzidishe hizi point tufunge hesabu ya kiwasibu
3×1,0×2,3×3,2×4, na 3×5 jumla yake 35
Sasa kwa misimu yooote mitano huko nyuma mnyama ana point zake 35 akiwa nafasi ya 9
Haya ni matumizi mabaya ya muda aisee
Miaka mitano point 35 du!
Sasa tumuuone Yanga anayekuja kwa kasi ya kimbunga
1) Msimu wa 2018/2019 alipata point 0
2) Msimu wa 2019/2020 alipata point 0
3) Msimu wa 2020/2021 alipata point 0
4) Msimu wa 2021/2022 alipata point 0
5) Msimu wa 2022/2023 alipata point 4 kwa kuingia fainali ya kombe la shirikisho
Yaani msimu mmoja point 20,duh!
Sasa haya ndo matumizi bora ya muda
Huyu sasa ndo aliitumia likizo yake vizuri (in Paul Makonda's voice)
Ebu sasa tuzidishe hizi point tupate hesabu ya kiwasibu
0x1,0x2,0x3,0×4 na 4x5 jumla yake 20
Wakuu ukiangalia hesabu hizo utaona kuwa yanga kapata karibu 2/3 ya point za Simba kwa msimu mmoja tu kwa kuingia fainali ya shirikisho
Pigia mstari neno msimu mmoja tu
Regardless ya kutokuonekana kwenye soka la kimatiifa Afika tangu miaka ya tisini huko,haya ni mafanikio makubwa
Simba anachotakiwa kuomba ni Yanga aishie makundi tu na yeye Simba atinge nusu fainali au fainali kabisa ili kujiongezea point na aweze hama toka top ten hadi top five na kama haitoshi apande toka pot 2 hadi pot 1
Kinyume na hapo atalia
Iwapo Yanga atavuka robo fainali na Simba akaishia robo kama kawaida yake basi kilio kitasikika Msimbazi
Simba waombe Yanga asifike nusu fainali au fainali kabisa
Kila mtu apambane na hali yake
Kama kuna masahihisho,nyongeza au ushauri karibu
View attachment 2795437
#Mpira bila ya Mbereko Inawezekana
Mwaka ambao Yanga alifika fainali shirikisho bingwa wa msimu wa nyuma yake lihi kuu Tanzania bara alikuwa nani?Bila Simba Yanga angepata hiyo nafasi ya kujikusanyia hizo point.
Aliyekuwezesha unamdharau.
Vitoto vya mwaka 2000 mkishajua kuandika Ni Basi usumbufu.
Usichojua ni kua mwakani Simba ataanza hiviMimi huwa napenda sana namba na hesabu
Kwani hazidanganyi, haziongopi wala hazipendelei
Jinsi Simba alivyojizolea point 35 katika msimamo wa vilabu bora Afrika
1) Msimu wa 2018/2019 aliishia robo fainali Klabu Bingwa hivyo akajizolea point zake 3
2) Msimu wa 2019/2020 alipata point 0
Sijui alikuwa na shida gani
3) Msimu wa 2020/2021 aliishia robo fainali hivyo akajizolea point zake 3
4) Msimu wa 2021/2022 aliiangukia shirikisho akajipatia point zake 2 baada ya kubondwa na yeye kwa hasira akaamua kuchoma kiwanja moto kwa hasira
5) Msimu wa 2022/2023 aliingia robo fainali na akajizolea point zake 3
Ebu sasa tuzidishe hizi point tufunge hesabu ya kiwasibu
3×1,0×2,3×3,2×4, na 3×5 jumla yake 35
Sasa kwa misimu yooote mitano huko nyuma mnyama ana point zake 35 akiwa nafasi ya 9
Haya ni matumizi mabaya ya muda aisee
Miaka mitano point 35 du!
Sasa tumuuone Yanga anayekuja kwa kasi ya kimbunga
1) Msimu wa 2018/2019 alipata point 0
2) Msimu wa 2019/2020 alipata point 0
3) Msimu wa 2020/2021 alipata point 0
4) Msimu wa 2021/2022 alipata point 0
5) Msimu wa 2022/2023 alipata point 4 kwa kuingia fainali ya kombe la shirikisho
Yaani msimu mmoja point 20,duh!
Sasa haya ndo matumizi bora ya muda
Huyu sasa ndo aliitumia likizo yake vizuri (in Paul Makonda's voice)
Ebu sasa tuzidishe hizi point tupate hesabu ya kiwasibu
0x1,0x2,0x3,0×4 na 4x5 jumla yake 20
Wakuu ukiangalia hesabu hizo utaona kuwa yanga kapata karibu 2/3 ya point za Simba kwa msimu mmoja tu kwa kuingia fainali ya shirikisho
Pigia mstari neno msimu mmoja tu
Regardless ya kutokuonekana kwenye soka la kimatiifa Afika tangu miaka ya tisini huko,haya ni mafanikio makubwa
Simba anachotakiwa kuomba ni Yanga aishie makundi tu na yeye Simba atinge nusu fainali au fainali kabisa ili kujiongezea point na aweze hama toka top ten hadi top five na kama haitoshi apande toka pot 2 hadi pot 1
Kinyume na hapo atalia
Iwapo Yanga atavuka robo fainali na Simba akaishia robo kama kawaida yake basi kilio kitasikika Msimbazi
Simba waombe Yanga asifike nusu fainali au fainali kabisa
Kila mtu apambane na hali yake
Kama kuna masahihisho,nyongeza au ushauri karibu
View attachment 2795437
#Mpira bila ya Mbereko Inawezekana
Nashukuru kwa ufafanuzi na elimu hiiUsichojua ni kua mwakani Simba ataanza hivi
1) Msimu wa 2019/2020 alipata point 0x5
= 0
2) Msimu wa 2020/2021 aliishia robo fainali hivyo akajizolea point zake 3
3x2= 6
3) Msimu wa 2021/2022 aliiangukia shirikisho akajipatia point zake 2
2x3=6
4) Msimu wa 2022/2023 aliingia robo fainali na akajizolea point zake 3
3x4 =12
Jumla hapo ukiacha msimu huu ni
0+6+6+12 =24
Yanga nae ukiacha msimu huu ataanza kama ifuatavyo
1) Msimu wa 2019/2020 alipata point 0
2) Msimu wa 2020/2021 alipata point 0
3) Msimu wa 2021/2022 alipata point 0
4) Msimu wa 2022/2023 alipata point 4 kwa kuingia fainali ya kombe la shirikisho
4x4 =16
Kwa hiyo Simba na Yanga wakiishia hatua sawa kwenye makundi basi Simba anakua juu ya yanga Kwa zaidi (tofauti) ya points 24-16= 8.
Wote wawili mfano wakiingia robo watajiongezea points 3 ambazo zitakua 3x5 = 15 Kila mmoja.