Uchambuzi wa point za Simba kwa miaka mitano iliyopita kimataifa na harakati za Yanga kumpita

Bila Simba Yanga angepata hiyo nafasi ya kujikusanyia hizo point.

Aliyekuwezesha unamdharau.

Vitoto vya mwaka 2000 mkishajua kuandika Ni Basi usumbufu.
 
Bila Simba Yanga angepata hiyo nafasi ya kujikusanyia hizo point.

Aliyekuwezesha unamdharau.

Vitoto vya mwaka 2000 mkishajua kuandika Ni Basi usumbufu.
Mwaka ambao Yanga alifika fainali shirikisho bingwa wa msimu wa nyuma yake lihi kuu Tanzania bara alikuwa nani?
 
Points zipo sahihi...ila Kadri miaka inavyozidi kwenda kizidishio hakibaki kuwa kilekile points 20 msimu unaokuja zitapungua kubaki 16 bila kujumlisha za mwaka huu ambazo zitapatikana
Sawa mkuu
 
Usichojua ni kua mwakani Simba ataanza hivi
1) Msimu wa 2019/2020 alipata point 0x5
= 0

2) Msimu wa 2020/2021 aliishia robo fainali hivyo akajizolea point zake 3
3x2= 6

3) Msimu wa 2021/2022 aliiangukia shirikisho akajipatia point zake 2
2x3=6

4) Msimu wa 2022/2023 aliingia robo fainali na akajizolea point zake 3
3x4 =12

Jumla hapo ukiacha msimu huu ni
0+6+6+12 =24

Yanga nae ukiacha msimu huu ataanza kama ifuatavyo

1) Msimu wa 2019/2020 alipata point 0

2) Msimu wa 2020/2021 alipata point 0

3) Msimu wa 2021/2022 alipata point 0

4) Msimu wa 2022/2023 alipata point 4 kwa kuingia fainali ya kombe la shirikisho
4x4 =16

Kwa hiyo Simba na Yanga wakiishia hatua sawa kwenye makundi basi Simba anakua juu ya yanga Kwa zaidi (tofauti) ya points 24-16= 8.

Wote wawili mfano wakiingia robo watajiongezea points 3 ambazo zitakua 3x5 = 15 Kila mmoja.
 
Nashukuru kwa ufafanuzi na elimu hii

Umeniongezea kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…