Uchapakazi wa Hayati Magufuli pamoja na usaliti ya viongozi wa CHADEMA umekimaliza chama

Naaam! Kuendelea kupambana na marehemu ni kupoteza muda, uchaguzi ni kati yao na serikali iliyopo madarakani siyo serikali iliyopita.
 
Sukuma gang tumewakomesha mama yenu leo kapewa kadi ya chadema huko moshi halafu wewe mbulukenge wa kulinda legacy bado unajidanganya mnachama akili matope.
Haya maneno hayawasaidii lolote watanzania huyo magufuli now hayupo unavyomuongelea wewe vinaya haileti effect yoyote kwa watanznia, ebu tubadilike hoja zipo nyingi kwenu upinzani,

Maisha ya wananchi ni magumu kutokana na mfumuko wa bei nyie ndo mnatakiwa muipigie kelele serikali bei zishuke.

Bei za mafuta zipo very unstqble kila siku zinapanda na kushuka.

Makodi ya ajabu ajabu na tozo mpambanie hayo, sio mnabeba hoja nyepesi zisizo na mashiko,
Na kwa mwendo huo serikali mtabaki kuisikia kwa CCM forever
 
Kifo ni njia ya wote, kama alivyofariki Mwalimu Nyerere na Ben Mkapa, sisi sote njia yetu ni moja.

Sasa maajabu ya CDM ni kupambana na marehemu wakati huohuo CCM inawamaliza taratibu kisayansi kwa kutumia 'asali'.
Kuna vifo vya kujitakia kutokana na matendo yako maovu hasa kuwafanyia wengine, damu zilizomwajika zilimlilia sana
 
Vita dhidi ya rushwa? Vipi mapesa ya plea bargaining akaunti zake China?
Huyo shujaa au muuaji? Sukumagang mna shida sana
Akaunti gani wewe, tangu zimeongelewa hizo akaunti umeskia hatua gani zimefuata? Kama pesa wanajua ziko China si wakazichukue? Wahusika si wapo au wote walizikwa na magufuli? Mbona hawajibishwi hata mmoja? Wafuasi wa chama cha wachaga wajinga kweli
 
Kuna uthibitisho wowote wa hilo? Kabla ya JPM kuna wahuni walikuwa katikati ya kila transaction ya pesa za serikali, walikuwa madalali wa kukusanya mapato 'kwa niaba ya serikali'. Hao wote aliwaondoa.
Unaniuliza mimi? Kamuulize mwenyekiti wenu aliyetuambia, ala! Unamuogopa?
 
Akaunti gani wewe, tangu zimeongelewa hizo akaunti umeskia hatua gani zimefuata? Kama pesa wanajua ziko China si wakazichukue? Wahusika si wapo au wote walizikwa na magufuli? Mbona hawajibishwi hata mmoja? Wafuasi wa chama cha wachaga wajinga kweli
Afadhali ya kuwa mjinga kuliko kuwa mpumbavu, aliyetuambia ni mwenyekiti wenu au nae ni mfuasi wa chama cha wachaga? Huwezi penda cc ukabaki na akili timamu
 
Asiyesikia la mkuu huvunjika guu. CDM mtawatukana sana wanaowaambia ukweli, lakini mwisho wa siku ukweli mnaujua, mwenyekiti wenu amekuwa compromised na chama chenu kimeshashikiliwa na CCM. watawapa kile wanachoona mnastahili.

Tangu lini Uvccm wakawaambia Chadema ukweli??[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Afadhali ya kuwa mjinga kuliko kuwa mpumbavu, aliyetuambia ni mwenyekiti wenu au nae ni mfuasi wa chama cha wachaga? Huwezi penda cc ukabaki na akili timamu
Mwenyekiti wenu kina nani? Sina mwenyekiti mimi sio kondoo kama wewe.
 
Chadema ina weza kushika lakini Hilo litawezekana baada ya chama hicho kuwa huru kutoka Kwa Mbowe, kuna Mambo mwenyekiti mpaka unaona kabisa anachelewesha chama kisishike Dola .....mfano kila mtu akitofautiane naye anamtangaza kwamba eti mtu huyo mi msaliti na anavuja damu sasa unajiuliza chama kinachojiandaa kuongoza nchi hakiwezi kubagua watu maana kinahitaji watu wote
 
Mwenyekiti wenu kina nani? Sina mwenyekiti mimi sio kondoo kama wewe.
Kwa ujinga uliopost hakuna wajinga zaidi ya wale ambao mwenyekiti wenu aliyetuambia kuhusu wezi mnaowashabukia wa pesa za plea bargaining
 
Ujuha unaendelea. Huwezi kuwa na akili timamu ukapenda CCM, ume mnufaika au pumbavu! Wewe uko wapi?
Si unazidikia hoja za akina Lema na Msigwa 🤣🤣🤣.

Tumeshawaambia, ni wewe tu uchague kuendelea kuwafuata na kupoteza muda wako.

Eti "shule za bweni zifutwe" 🤣🤣🤣🤣
 
Hivi nyie sukuma gang mtasumbua huku hadi lini!
Kwanini msisage chupa mchanganye na sumu ya kunguni na panya mnywe mfe mkaungane kuteseka pamoja?
Mnatukumbusha machungu ya ukatili, uonevu, wizi wake, unyanganyi, uporaji uuaji, mateso, ubaguzi wake yaani full ushetani!
 
Kwa hiyo serikali yako iliyofuta bweni kwa vijana wa darasa la t kuja chini vichaa? Yaani kuonyesha upumbavu wako unaweza kulinganisha hoja ya Msigwa Lema vs kibajaji?
CCM mabuyu matupu
Si unazidikia hoja za akina Lema na Msigwa 🤣🤣🤣.

Tumeshawaambia, ni wewe tu uchague kuendelea kuwafuata na kupoteza muda wako.

Eti "shule za bweni zifutwe" 🤣🤣🤣🤣
 
Kwa hiyo serikali yako iliyofuta bweni kwa vijana wa darasa la t kuja chini vichaa? Yaani kuonyesha upumbavu wako unaweza kulinganisha hoja ya Msigwa Lema vs kibajaji?
CCM mabuyu matupu
Mbumbumbu kweli ninyi, unalinganisha bweni kwa mtoto wa darasa la kwanza ma mtoto wa sekondari??
 
Jina la Mwamba Magufuli litatamkwa na Kila mtu kwani wote wanayajua mazuri aliyoifanyia Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…