Uchapakazi wa Hayati Magufuli pamoja na usaliti ya viongozi wa CHADEMA umekimaliza chama

Uchapakazi wa Hayati Magufuli pamoja na usaliti ya viongozi wa CHADEMA umekimaliza chama

umeongea ukweli mtupu Chadema wajitafakari upya, Hoja za kumpiga vijembe Magufuli hazitawasidia kama aliwanyanyasa au aliwakatili his time passed.

Muhimu kwa sasa wawe wa wazi kwa serikali ya sasa, watanzania hawali maneno maisha mtaani ni magumu njiaa pekee ya kuwashawishi watanznia 2025 ni kuipigia kelele serikali ya sasa kupambania hali za watanzania, kufichua ufisadi, kupambania maslahi ya wafanyakazi.

Wakitaka wapate kura za watanzania Mpaka 2025 kupitia wao.
  • Tozo zishuke au zifutwe.
  • Bei za mafuta zishuke.
  • katiba mpya.
  • Bei za vyakula zishuke.
  • wafichue ufisadi unaofanyika serikalini kwa ushahidi.
Na mengineyo.
Naaam! Kuendelea kupambana na marehemu ni kupoteza muda, uchaguzi ni kati yao na serikali iliyopo madarakani siyo serikali iliyopita.
 
Sukuma gang tumewakomesha mama yenu leo kapewa kadi ya chadema huko moshi halafu wewe mbulukenge wa kulinda legacy bado unajidanganya mnachama akili matope.
Haya maneno hayawasaidii lolote watanzania huyo magufuli now hayupo unavyomuongelea wewe vinaya haileti effect yoyote kwa watanznia, ebu tubadilike hoja zipo nyingi kwenu upinzani,

Maisha ya wananchi ni magumu kutokana na mfumuko wa bei nyie ndo mnatakiwa muipigie kelele serikali bei zishuke.

Bei za mafuta zipo very unstqble kila siku zinapanda na kushuka.

Makodi ya ajabu ajabu na tozo mpambanie hayo, sio mnabeba hoja nyepesi zisizo na mashiko,
Na kwa mwendo huo serikali mtabaki kuisikia kwa CCM forever
 
Kifo ni njia ya wote, kama alivyofariki Mwalimu Nyerere na Ben Mkapa, sisi sote njia yetu ni moja.

Sasa maajabu ya CDM ni kupambana na marehemu wakati huohuo CCM inawamaliza taratibu kisayansi kwa kutumia 'asali'.
Kuna vifo vya kujitakia kutokana na matendo yako maovu hasa kuwafanyia wengine, damu zilizomwajika zilimlilia sana
 
Vita dhidi ya rushwa? Vipi mapesa ya plea bargaining akaunti zake China?
Huyo shujaa au muuaji? Sukumagang mna shida sana
Akaunti gani wewe, tangu zimeongelewa hizo akaunti umeskia hatua gani zimefuata? Kama pesa wanajua ziko China si wakazichukue? Wahusika si wapo au wote walizikwa na magufuli? Mbona hawajibishwi hata mmoja? Wafuasi wa chama cha wachaga wajinga kweli
 
Kuna uthibitisho wowote wa hilo? Kabla ya JPM kuna wahuni walikuwa katikati ya kila transaction ya pesa za serikali, walikuwa madalali wa kukusanya mapato 'kwa niaba ya serikali'. Hao wote aliwaondoa.
Unaniuliza mimi? Kamuulize mwenyekiti wenu aliyetuambia, ala! Unamuogopa?
 
Akaunti gani wewe, tangu zimeongelewa hizo akaunti umeskia hatua gani zimefuata? Kama pesa wanajua ziko China si wakazichukue? Wahusika si wapo au wote walizikwa na magufuli? Mbona hawajibishwi hata mmoja? Wafuasi wa chama cha wachaga wajinga kweli
Afadhali ya kuwa mjinga kuliko kuwa mpumbavu, aliyetuambia ni mwenyekiti wenu au nae ni mfuasi wa chama cha wachaga? Huwezi penda cc ukabaki na akili timamu
 
Asiyesikia la mkuu huvunjika guu. CDM mtawatukana sana wanaowaambia ukweli, lakini mwisho wa siku ukweli mnaujua, mwenyekiti wenu amekuwa compromised na chama chenu kimeshashikiliwa na CCM. watawapa kile wanachoona mnastahili.

Tangu lini Uvccm wakawaambia Chadema ukweli??[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Afadhali ya kuwa mjinga kuliko kuwa mpumbavu, aliyetuambia ni mwenyekiti wenu au nae ni mfuasi wa chama cha wachaga? Huwezi penda cc ukabaki na akili timamu
Mwenyekiti wenu kina nani? Sina mwenyekiti mimi sio kondoo kama wewe.
 
Chadema ina weza kushika lakini Hilo litawezekana baada ya chama hicho kuwa huru kutoka Kwa Mbowe, kuna Mambo mwenyekiti mpaka unaona kabisa anachelewesha chama kisishike Dola .....mfano kila mtu akitofautiane naye anamtangaza kwamba eti mtu huyo mi msaliti na anavuja damu sasa unajiuliza chama kinachojiandaa kuongoza nchi hakiwezi kubagua watu maana kinahitaji watu wote
 
20230309_122947.jpg
 
Mwenyekiti wenu kina nani? Sina mwenyekiti mimi sio kondoo kama wewe.
Kwa ujinga uliopost hakuna wajinga zaidi ya wale ambao mwenyekiti wenu aliyetuambia kuhusu wezi mnaowashabukia wa pesa za plea bargaining
 
Ujuha unaendelea. Huwezi kuwa na akili timamu ukapenda CCM, ume mnufaika au pumbavu! Wewe uko wapi?
Si unazidikia hoja za akina Lema na Msigwa 🤣🤣🤣.

Tumeshawaambia, ni wewe tu uchague kuendelea kuwafuata na kupoteza muda wako.

Eti "shule za bweni zifutwe" 🤣🤣🤣🤣
 
Hivi nyie sukuma gang mtasumbua huku hadi lini!
Kwanini msisage chupa mchanganye na sumu ya kunguni na panya mnywe mfe mkaungane kuteseka pamoja?
Mnatukumbusha machungu ya ukatili, uonevu, wizi wake, unyanganyi, uporaji uuaji, mateso, ubaguzi wake yaani full ushetani!
 
Kwa hiyo serikali yako iliyofuta bweni kwa vijana wa darasa la t kuja chini vichaa? Yaani kuonyesha upumbavu wako unaweza kulinganisha hoja ya Msigwa Lema vs kibajaji?
CCM mabuyu matupu
Si unazidikia hoja za akina Lema na Msigwa 🤣🤣🤣.

Tumeshawaambia, ni wewe tu uchague kuendelea kuwafuata na kupoteza muda wako.

Eti "shule za bweni zifutwe" 🤣🤣🤣🤣
 
Kwa hiyo serikali yako iliyofuta bweni kwa vijana wa darasa la t kuja chini vichaa? Yaani kuonyesha upumbavu wako unaweza kulinganisha hoja ya Msigwa Lema vs kibajaji?
CCM mabuyu matupu
Mbumbumbu kweli ninyi, unalinganisha bweni kwa mtoto wa darasa la kwanza ma mtoto wa sekondari??
 
Ndugu wadanganyika wenzangu,

Ilani ya uchaguzi ya CHADEMA ya mwaka 2015 pamoja na mambo mengine, ilikuwa na mambo yafuatayo;

1. Kujenga reli mpya na kukarabati zilizopo kwa viwango vya kisasa kwa kuzingatia maslahi ya nchi.

2. Kuboresha bandari zilizopo na kujenga mpya kama vitega uchumi vya taifa ili kurejesha biashara tulizopoteza kwa nchi jirani.

3. Kujenga barabara nchini kwa kuzingatia ubora

4. Kujenga shirika la ndege la taifa

5. Kujenga miundombinu ya kisasa kwa lengo la kuondoa misongamano ya magari katika majiji, kuimarisha usafiri wa majini kwa kuboresha na kuweka miundombinu mipya.

Baada tu ya kuapishwa kuwa rais wa JMT, hayati Magufuli alianza kuyatekeleza mengi mazuri ya yaliyomo kwenye ilani ya CHADEMA, mpaka CHADEMA wenyewe wakakiri kuwa "anatekeleza ilani yetu".

Lakini JPM hakuishia hapo, alikwenda mbali zaidi na kutekeleza hata mengine mazuri ambayo hayakuwepo kwenye ilani za vyama vya siasa, kwa mfano;

1. Afya (ujenzi wa hospitali, vituo vya afya na zahanati nchi nzima),

2. Elimu (bure kwa wototo wote),

3. Madini (kudhibiti utoroshwaji wa madini na wizi uliokuwa unafanywa na makampuni ya mabeberu kwa miaka nenda rudi, ikiwa ni pamoja na kupitia upya mikataba ya madini nchini),

4. Ukusanyaji wa mapato (kuanzishwa kwa mfumo wa malipo kwa control namba na kuwaondoa wahuni waliokuwa wamejichomeka katikati kama mawakala wa kukusanya fedha za serikali),

5. vita dhidi ya rushwa (hata wale ambao walizoea kuiweka serikali mfukoni walifikiwa na kunyooshwa)

6. Nishati (ujenzi wa bwawa la kuzalisha umeme la mwalimu Nyerere na kuacha kununua umeme wa bei ghali kutoka kwa makampuni ya kihuni na kifisadi)

Kwa upande wa CHADEMA hoja zao zote zikayeyuka kama barafu juani, mbaya zaidi mwaka 2015 uongozi wa chama ulimpokea Edward Ngoyai kuwa mgombea wao wa urais, mtu ambaye walitumia zaidi ya miaka mitatu wakiwaaminisha watanzania kuwa ni fisadi papa na hasafishiki. Kwahiyo hoja ya kupinga ufisadi na wizi serikalinin nayo ikawa imeishia hapo, hoja yao kuu ikabaki "kuwaondoa CCM madaraka" ambayo kimsingi siyo hoja bali ni matamanio tu ya chama chochote cha upinzani.

Fast forward, ni 2023. Hayati Magufuli na utendaji kazi wake uliotukuka ametangulia mbele za haki, CHADEMA wameingia kwenye ndoa isiyo rasmi na CCM kwa hoja ya maridhiano! Kwasasa hawana tena ujasiri wala uhalali wa kumkosoa rais. Hoja zao ni kumkejeli hayati JPM, kukejeli ajira ya bodaboda, mara ooh "watoto wetu wana uraia wa Marekani", mara ooh "tunataka mtoto wa Majaliwa asome shule ya kata" na ujinga ujinga mwingine.

Kwakifupi CHADEMA wanaonesha dalili za chama kilichofilisika kisiasa, wamebaki kuwa wachumia tumbo kama vyama vingine vya upinzani.

Inasikitisha na kuumiza kuona mahali walipo leo hii, ukizingatia katika kuunga mkono harakati zao kuna watanzania walipoteza maisha, mali zao na hata kupata ulemavu wa kudumu. Kuna watu waliwekeza nguvu, akili, muda na mali zao kwenye harakati za hicho chama wakiamini wanajenga chama madhubuti mbadala wa CCM, lakini matokeo yake ndio kama haya, uhuni na usanii mwingi.

Rai yangu. Kama mheshimiwa Mbowe umekuwa compromised, kama ile kesi ya ugaidi ilikuwa ya kweli na umeachiwa kwa masharti maalumu, basi jiuzulu uenyekiti wa chama na ukae pembeni. It's a sin to take down the party with you.

Pole ndugu yangu J.J Mnyika, nadhani tangu 2015 hauna amani moyoni na sarakasi za chama chako, hata hilo la wabunge 19 walikuacha gizani, wakati unafanya press unatoa msimamo wa chama wao wanakuangalia tu lakini ukweli wanaujua moyoni.

Tukutane 2025, CDM mtavuna mlichokipanda, hata mikipewa viti kadhaa vya ubunge haitowasaidia chochote, wenzenu wanajipanga 2030, 2040 na kuendelea, watatawala milele.
Jina la Mwamba Magufuli litatamkwa na Kila mtu kwani wote wanayajua mazuri aliyoifanyia Tanzania.
 
Back
Top Bottom