Uchawa kwa DP World umemlipa Maulid Kitenge? Naona kavuta ndinga

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938
Nimekutana na picha ya ndinga ikiwa na jina la KITENGE, nikakumbuka siku za hivi karibuni Maulid Kitenge alikuwa busy kuipigia upatu kampuni ya DP World kuwekeza nchini. Akiwa na wenzake wawili Zembwela na Hando waliweza kusafiri mpaka Dubai ziliko ofisi kuu za kampuni hii.

Je, uchawa umewalipa mpaka kuvuta ndinga hii?

 
Sasa Bora kujipatia chako tu maana hata wakiwekeza wanufaika wakuu ni wao viongozi na familia zao.
 
Hata msukuma alshapata nae akawekewa jina kwenye plate no. daadek!! Uchawa unapay mbayambovu
 

Nadhani maelezo yanatosha kuonesha umuhimu wa wenzetu upande wa pili. Nadhani DP World ni baba lao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…