Uchawa kwa DP World umemlipa Maulid Kitenge? Naona kavuta ndinga

Kwa
Nimekutana na picha ya ndinga ikiwa na jina la KITENGE, nikakumbuka siku za hivi karibuni Maulid Kitenge alikuwa busy kuipigia upatu kampuni ya DP World kuwekeza nchini. Akiwa na wenzake wawili Zembwela na Hando waliweza kusafiri mpaka Dubai ziliko ofisi kuu za kampuni hii.

Je, uchawa umewalipa mpaka kuvuta ndinga hii?

View attachment 2681203
Kwa stahili hii tutauzwa..
 
FEACFDE5-B7CF-424B-B47A-5A61662A3A16.jpeg
C76CFCF3-23CB-4C51-B514-F01A1B663571.jpeg
DDD27D91-B5DA-4B4F-8E56-ED9AEFF4B181.jpeg
 
Nimekutana na picha ya ndinga ikiwa na jina la KITENGE, nikakumbuka siku za hivi karibuni Maulid Kitenge alikuwa busy kuipigia upatu kampuni ya DP World kuwekeza nchini. Akiwa na wenzake wawili Zembwela na Hando waliweza kusafiri mpaka Dubai ziliko ofisi kuu za kampuni hii.

Je, uchawa umewalipa mpaka kuvuta ndinga hii?

View attachment 2681203
Wamelipwa zaidi ya hayo unayoyaona
 
Tafadhali nifikishie Taarifa kwa Maulid Kktenge kuwa pamoja na Kujifaragua kote huku, kwenda Marekani na UAE na kula Bata ila Nyumba yao aliyozaliwa na Kukulia iliyoko Uwanja wa Uhuru inatazamana na Geti la Mahakama ya Temeke inakaribia Kuanguka / Kubomoka, Kenchi zineachia, Tandabui wamezaliana, Vumbi limekubali huku Ndugu zake walioko hadi na Majirani wanamshangaa mno.
 
Nimekutana na picha ya ndinga ikiwa na jina la KITENGE, nikakumbuka siku za hivi karibuni Maulid Kitenge alikuwa busy kuipigia upatu kampuni ya DP World kuwekeza nchini. Akiwa na wenzake wawili Zembwela na Hando waliweza kusafiri mpaka Dubai ziliko ofisi kuu za kampuni hii.

Je, uchawa umewalipa mpaka kuvuta ndinga hii?

View attachment 2681203
Hii itakuwa hela ya Ngorongoro

Ya DP-WORLD atanunulia Ndege
 
Hata msukuma alshapata nae akawekewa jina kwenye plate no. daadek!! Uchawa unapay mbayambovu
Manara, stevenyerere na Zembwela wamefanyia nini hela walizopewa?
Samahani.....hivi Manara ana kazi nyingine hapa mjini zaidi ya kuhamasisha ?
 
Nimekutana na picha ya ndinga ikiwa na jina la KITENGE, nikakumbuka siku za hivi karibuni Maulid Kitenge alikuwa busy kuipigia upatu kampuni ya DP World kuwekeza nchini. Akiwa na wenzake wawili Zembwela na Hando waliweza kusafiri mpaka Dubai ziliko ofisi kuu za kampuni hii.

Je, uchawa umewalipa mpaka kuvuta ndinga hii?

View attachment 2681203
Ma shaa Allah.
 
Manaa si kakimbia nazo yule binti aliyemuoa.
 
Acha walambe asali,lkn wakumbuke kuwa kuimba kupokezana;Siku wananchi wa Tanganyika watakapokuwa wamechoka sana na damu zao zinanuka ndipo watawafurumsha km vile Mkoloni alivyofurushwa enzi tunatafuta uhuru.
 
Nimekutana na picha ya ndinga ikiwa na jina la KITENGE, nikakumbuka siku za hivi karibuni Maulid Kitenge alikuwa busy kuipigia upatu kampuni ya DP World kuwekeza nchini. Akiwa na wenzake wawili Zembwela na Hando waliweza kusafiri mpaka Dubai ziliko ofisi kuu za kampuni hii.

Je, uchawa umewalipa mpaka kuvuta ndinga hii?

View attachment 2681203
Biashara ya kuuza watumwa ina faida kubwa Sana, kumbika Slave trade USA, ya Royal Family UK, Tip Tippu etc sasa ya DP vorld na mawakala wao
 
Njaa na akili ndogo za watanzania walio wengi vitaizamisha hii nchi
 
Endeleeni kuwa follow [emoji1]

Ova
 
Yaani chawa wanaishi maisha mazuri kuliko wazalendo! Kwa hali hii hasira zikizidi unaweza kujikuta uko msituni.
Hivi uzalendo maana yake ni uchoka mbaya ?

huku Mtaani hawaamini kama Tajiri anaweza kuwa Mzalendo …wao alama ya Uzalendo ni umaskini na unyonge
 
Simfahamu kitenge kwa namna yoyote ! Lakini wahujumu uchumi waliokuwa wakineemeka na bandari yetu na wale wanaomiliki bandari kavu hapa Dar.

Na wanyonyaji wote waliokuwa na maslahi na mfumo wa zamani wa bandari kwa Sasa wanajaribu kuwatumia vibaraka wao wa kwenye tweet na mitandao mbalimbali kuwasakama wale wote wanaounga mkono uwekezaji wa bandari yetu na kuwaona maadui ..kitenge ni mwandishi wa habari na alienda kule kujiridhisha na sio kuwafurahisha wanasiasa!

Kilichompeleka kule ni kampuni yake yenye weledi mkubwa ya wasafi media ili wapate habari za uhakika , hayo hayana mahusiano na maisha binafsi ya kitenge.

Acheni wivu wa kitoto kanunua gari kwa pesa yake Kila mtu atafute Hela akanunue gari yake hakuna wa kukuzuia ,tatizo lenu mtu akiwa kinyume na mawazo yenu mnamfanya adui huo ni utoto kwenye mambo ya msingi ..jadilini hoja ya msingi achaneni na maisha ya mtu binafsi
 
Back
Top Bottom