Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Ana stress za kuachwa na mnyarwanda huyoWakuu!
Msanii Ambwene Yesaya maarufu A.Y amesema wanaomkasirikia kisa kuwa Samia Kings hawana utimamu wa akili, akijibu madai ya baadhi ya mashabiki wanaomtuhumu kwa Uchawa.
Njaa mbaya Sana, tawala, dhalimu, huchagua watu wenye ushawishi na kuwapa "asali"ili wakae mbali na wananchi!Wakuu!
Msanii Ambwene Yesaya maarufu A.Y amesema wanaomkasirikia kisa kuwa Samia Kings hawana utimamu wa akili, akijibu madai ya baadhi ya mashabiki wanaomtuhumu kwa Uchawa.
Hana akiliWakuu!
Msanii Ambwene Yesaya maarufu A.Y amesema wanaomkasirikia kisa kuwa Samia Kings hawana utimamu wa akili, akijibu madai ya baadhi ya mashabiki wanaomtuhumu kwa Uchawa.
Sawa asikilizwe!Wakuu!
Msanii Ambwene Yesaya maarufu A.Y amesema wanaomkasirikia kisa kuwa Samia Kings hawana utimamu wa akili, akijibu madai ya baadhi ya mashabiki wanaomtuhumu kwa Uchawa.
Nani hataki v8 ya bure, bima unatibiwa popote duniani, ulinzi, pesa nje nje? Tunalaumu tu kwa sababu tuko mbali na hizi fursa. 😃😃😃😃Wakuu!
Msanii Ambwene Yesaya maarufu A.Y amesema wanaomkasirikia kisa kuwa Samia Kings hawana utimamu wa akili, akijibu madai ya baadhi ya mashabiki wanaomtuhumu kwa Uchawa.
Hata akianza kugongwa atawaona wanaomkosoa kuwa hawana utimamu wa akili.Wakuu!
Msanii Ambwene Yesaya maarufu A.Y amesema wanaomkasirikia kisa kuwa Samia Kings hawana utimamu wa akili, akijibu madai ya baadhi ya mashabiki wanaomtuhumu kwa Uchawa.
Kaka umezungumza ukweli mchungu hakuna kitu kinaumiza moyo kama kua mfuasi wa kitu ambacho haukipendi!!!Kuna wakati nawaelewa sana hawa Watu mashuhuri wanao onyesha kuunga juhudi na kuwa MACHAWA.
Hii nchi sio nchi ya haki ni nchi ambayo ili ufikie malengo yako na uishi kwa amani ni either uwe CCM au usijulikane kabisa.
Lakini kama ni PUBLIC FIGURE na haupo CCM ishi kama kina ROSTAM wiki TZ miezi Mbele..
Hii nchi Usiposifia watawala na ukawa mtu Famous Kibiashara/Sanaa,nk hutoboi.
Utaenda lakini utafika mahali utagota, Tusiwahukumu hawa watu wana pambania KESHO zao,
Wana familia,wake,watoto,ndugu na jamaa wanaowategemea, hata wao wanaona namna Watu wanavyotekwa na kupotezwa,wanaona na hawatamani na wao yawakute.
Hawana Kauli au Sauti za kusema kitu lakini kama shida ni kuwa CHAWA tu why not,let them BE.
TAIFA hili likiwa la haki bila kuoneana tukawa wananchi HURU huu uchawa utaondoka na utaisha.
Binafsi ni Mfanyabiashara na nina KADI yangu kabisa ya kijani lakini sio kwa kupenda kuna mambo tunafanya ili tu BIASHARA ZETU ziendee vikwazo viwe vichache.
Unafki BEI gani kwani? Nijifanye namuiga LISSU anaejulikana hadi na TRUMP mimi nijitie mwana harakati nitekwe nikatolewe pumbu...
Ah weee Naunga Juhudi ila ukweli ninao Moyoni, kwasasa tunatafuta ZONE ambayo tutaishi kwa amani na uhakika wa usalama wetu,familia,biashara zetu,nk.
Hamuelewi maswaibu wanayokutana nayo Wafanyabiashara na watu maarufu wasio CCM hamuelewi ndio mana AY anaonekana kazingua.
Trust ME Ambwene moyo wake haupo ata CCM and so many of us we are doing this FOR our SAFETY.
WE ARE IN TANZANIA... muige Lissu yakukute
Vip John makini mbona yeye yupo kimya na mdogo wake kateuliwa DC ni maamuzi tuAY &FA ,AY anamsupport mwanaye ww waliopitia msoto tangu enzi za East coast team