PreGE2025 Uchawa umekuwa mtamu mpaka A.Y anasema wanaomkasirikia kwa sababu ya Samia Kings hawana utimamu wa akili

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Issue za Hawa wasanii kujiingiza huko ni mpango wa mwana FA kuona ni namna Gani anaweza kula nao keki ya taifa.
 
Ni urongoo
 
Wewe kama unataka ufilisike kimaisha basi jiunge CHADEMA, nakupa miezi 8 utachakaa kama mlevi wa gongo
 
Nimeona Jumba la Chawa Baba Levo ni hatari , linazidi hadi Mansion ya Mama Samia.
 
Sijaona kibaya alichoongea A.Y... kama wapinzani mnataka utawala wa haki kwanini mnataka kumnyima A.Y haki yake ya kuwa chama anachotaka?
 
Na A.Y amekwambia atagombea wapi ,usiwe na kisebengo wewe

USSR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…