Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Umesema kweli, na kama hauwezi kabisa kuwa chawa basi ni bora ukae kimya ufanye mambo yako. Watanzania ni watu ambao hawastahili kupiganiwa.Kuna wakati nawaelewa sana hawa Watu mashuhuri wanao onyesha kuunga juhudi na kuwa MACHAWA.
Hii nchi sio nchi ya haki ni nchi ambayo ili ufikie malengo yako na uishi kwa amani ni either uwe CCM au usijulikane kabisa.
Lakini kama ni PUBLIC FIGURE na haupo CCM ishi kama kina ROSTAM wiki TZ miezi Mbele..
Hii nchi Usiposifia watawala na ukawa mtu Famous Kibiashara/Sanaa,nk hutoboi.
Utaenda lakini utafika mahali utagota, Tusiwahukumu hawa watu wana pambania KESHO zao,
Wana familia,wake,watoto,ndugu na jamaa wanaowategemea, hata wao wanaona namna Watu wanavyotekwa na kupotezwa,wanaona na hawatamani na wao yawakute.
Hawana Kauli au Sauti za kusema kitu lakini kama shida ni kuwa CHAWA tu why not,let them BE.
TAIFA hili likiwa la haki bila kuoneana tukawa wananchi HURU huu uchawa utaondoka na utaisha.
Binafsi ni Mfanyabiashara na nina KADI yangu kabisa ya kijani lakini sio kwa kupenda kuna mambo tunafanya ili tu BIASHARA ZETU ziendee vikwazo viwe vichache.
Unafki BEI gani kwani? Nijifanye namuiga LISSU anaejulikana hadi na TRUMP mimi nijitie mwana harakati nitekwe nikatolewe pumbu...
Ah weee Naunga Juhudi ila ukweli ninao Moyoni, kwasasa tunatafuta ZONE ambayo tutaishi kwa amani na uhakika wa usalama wetu,familia,biashara zetu,nk.
Hamuelewi maswaibu wanayokutana nayo Wafanyabiashara na watu maarufu wasio CCM hamuelewi ndio mana AY anaonekana kazingua.
Trust ME Ambwene moyo wake haupo ata CCM and so many of us we are doing this FOR our SAFETY.
WE ARE IN TANZANIA... muige Lissu yakukute
Baba yake marehemu Yesaya Mwakipagema angekuwa hai asingefurahia ujinga wake!Hana akili
Mshana Jr pitia hapa kidogo, huu ni ukweli ambao watu wengi wanakufa naoKuna wakati nawaelewa sana hawa Watu mashuhuri wanao onyesha kuunga juhudi na kuwa MACHAWA.
Hii nchi sio nchi ya haki ni nchi ambayo ili ufikie malengo yako na uishi kwa amani ni either uwe CCM au usijulikane kabisa.
Lakini kama ni PUBLIC FIGURE na haupo CCM ishi kama kina ROSTAM wiki TZ miezi Mbele..
Hii nchi Usiposifia watawala na ukawa mtu Famous Kibiashara/Sanaa,nk hutoboi.
Utaenda lakini utafika mahali utagota, Tusiwahukumu hawa watu wana pambania KESHO zao,
Wana familia,wake,watoto,ndugu na jamaa wanaowategemea, hata wao wanaona namna Watu wanavyotekwa na kupotezwa,wanaona na hawatamani na wao yawakute.
Hawana Kauli au Sauti za kusema kitu lakini kama shida ni kuwa CHAWA tu why not,let them BE.
TAIFA hili likiwa la haki bila kuoneana tukawa wananchi HURU huu uchawa utaondoka na utaisha.
Binafsi ni Mfanyabiashara na nina KADI yangu kabisa ya kijani lakini sio kwa kupenda kuna mambo tunafanya ili tu BIASHARA ZETU ziendee vikwazo viwe vichache.
Unafki BEI gani kwani? Nijifanye namuiga LISSU anaejulikana hadi na TRUMP mimi nijitie mwana harakati nitekwe nikatolewe pumbu...
Ah weee Naunga Juhudi ila ukweli ninao Moyoni, kwasasa tunatafuta ZONE ambayo tutaishi kwa amani na uhakika wa usalama wetu,familia,biashara zetu,nk.
Hamuelewi maswaibu wanayokutana nayo Wafanyabiashara na watu maarufu wasio CCM hamuelewi ndio mana AY anaonekana kazingua.
Trust ME Ambwene moyo wake haupo ata CCM and so many of us we are doing this FOR our SAFETY.
WE ARE IN TANZANIA... muige Lissu yakukute
Sio kwa waswahilo Swahili ubwabwa Tu unawatoa akiliHakujifunza kwa master J mwaka 2020. Master J alijitoa ufahamu, akajiingiza kwenye siasa za kiCCM, akanyoa na rasta zake ili kujibrand kisiasa, akavalishwa manguo ya kijani, akatua Rombo ili kuomba kugombea Ubunge kwa tiketi ya CCM, sijui akaambulia kura 3 tu kati ya kura zote sijui 1000 Za wajumbe, CCM ikamchinjilia mbali. Akaamua kurejea kwenye muziki, akiwa amechoka na kuchokwa vibaya mnoo.
Haki ya kuwa kwenye chama cha majambazi hiyo sio hakiSijaona kibaya alichoongea A.Y... kama wapinzani mnataka utawala wa haki kwanini mnataka kumnyima A.Y haki yake ya kuwa chama anachotaka?