Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama viongozi wenyewe ndio wapenda sifa!! Kwanini watu wasione kama hiyo ndio fulsa? Ya kujipatia pesa na vyeo!! Hii ajira ilianza kipindi cha jiwe na bahati mbaya watu wameshajua inalipa!! Sasa kibaya zaidi wengine huko mtaani wanatumika tu wajanja, kuna mmoja huko Iringa nadhani, aliponea chupuchupu kufa kwenye ajari kauli yake ya kwanza"NAMSHUKURU MH. RAIS KWA KUWEZA KUNUSURIKI KWENYE AJARI HII!!Uchawa umezidi sana kwenye siasa hadi kero hawa wanaojita machawa wa mama mh kazi ipo
Miongoni mwa kipindi cha Urais chenye machawa na vikundi vya uchawa ni kama hivi sasa ni balaa sana je hili ni jambo sahihi katika siasa zetu