Sasa kama viongozi wenyewe ndio wapenda sifa!! Kwanini watu wasione kama hiyo ndio fulsa? Ya kujipatia pesa na vyeo!! Hii ajira ilianza kipindi cha jiwe na bahati mbaya watu wameshajua inalipa!! Sasa kibaya zaidi wengine huko mtaani wanatumika tu wajanja, kuna mmoja huko Iringa nadhani, aliponea chupuchupu kufa kwenye ajari kauli yake ya kwanza"NAMSHUKURU MH. RAIS KWA KUWEZA KUNUSURIKI KWENYE AJARI HII!!
Hawa walikuepo toka kitambo, waliitwa wapambe na walikua nuks kwelikweli.
Sema skuizi utandawazi umeifanya dunia kua mkononi ndio maana tunawaona kwa wingi na wakati wote