Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
- Thread starter
- #21
Umeshaacha uchawa kwa mboye??Kwanini unaona uchawa wa sasa hivi ni mbaya kuliko uchawa wa kipindi cha mwendazake?.Au kwavile sio zamu yako kulamba asali.Kipindi ambacho wewe ulikua mfuasi wa mtu hukuona kama hicho kitendo ni kibaya,au kwavile aliyepo sasa huna maslahi naye ndo unaibuka na hoja yakujifanya huupendi uchawa.Siku tutakayoamua kuacha unafiki na kuamua kusimama na nchi badala ya mtu ndio siku tutakayoanza kupiga hatua yakulisaidia hili taifa.sasa hivi watu bado wanapokezana kulamba asali.