Uchawa unadumaza maendeleo ya nchi, unalinda ufisadi na kubariki kutokuwajibika. Taifa linaangamia

Uchawa unadumaza maendeleo ya nchi, unalinda ufisadi na kubariki kutokuwajibika. Taifa linaangamia

Tatizo hata ukosoe ni kazi bure,
Mie nimelalamika humuuuu na kukosoa humuuu lakini wapi kimyaaaa,
Na pia nimefuta njia zote za kisheria ila mambo ni yaleyale so inakatisha tamaa
Kwa kweli
 
Back
Top Bottom