Uchawa unadumaza maendeleo ya nchi, unalinda ufisadi na kubariki kutokuwajibika. Taifa linaangamia

Umeshaacha uchawa kwa mboye??
 
Mtu akikamata tu maiki anaanza "tunamshukuru......". Hata kama hahusiki moja kwa moja
Tunamshukuru nani hii kwa kutuletea maji.

Bila juhudi zake tusingepata maji.
 
Haya yalianza na mwendazake. Hawa wengine wanaiga tu. Wakati tunapiga vita hii tabia, tutafakari kwanini mwendazake alipenda sana kusifiwa hata kwa vihoja hadi kupelekea kuasisiwa kwa tabia ya uchawa
Mfumo ovu ndiyo umetufikisha hapa
 
Sifa zimezidi.

Ukisikiliza hotuba za wanasiasa ni kusifu tuu kila kitu.

Sijui wana mpango gani na Taifa hili??

Sijui vizazi vijavyo watatuona vipi kwa Tabia hizi za ajabu kabisa.
Wataachaje kusifu huku wanategemea teuzi?
 
Kuna wajinga wanaamini uchawa ni uzalendo.
Uzalendo ni kuhoji watanzania watanufaika nini katika hili?
Hiyo kitu ilitake effect awamu iliyopita. Ku a wimbi fulani ambalo lilifanya hadi wasomi wakawa kama mazombi fulani.
Hii kitu usipodhibitiwa tutapa viongoz wa ajabu huko mbeleni
 
Kuna wanaouzidi uchawa waliokuwa wakiufanya Sabaya na Bashite enzi zile za miaka ya ujima(medieval era)?😝😝😝😝😝
 
Sifa zimezidi.

Ukisikiliza hotuba za wanasiasa ni kusifu tuu kila kitu.

Sijui wana mpango gani na Taifa hili??

Sijui vizazi vijavyo watatuona vipi kwa Tabia hizi za ajabu kabisa.
Hivyo vizazi vijavyo vinatokana na sisi, kama wazazi wao wanaishi kwa uchawa na wao watapita mulemule tu.

labda tukibadili fikra zetu Sasa huenda na wao wakawa watu wenye kutumia mno bongo zao kufikiri badala ya kutumia tumbo kufikiri.
 
As long as the president is everything in this country, chawa wataendelea kuwa kikwazo kikubwa katika nchi hii. Most, if not all, ministers and their deputies, PSs and their deputies, RCs, DCs, RASs, DASs, DEDs, etc. are chawas!
 
Pasco ujumbe unakuhusu
 
Katiba imemlimbikizia madaraka makubwa mtu mmoja hivyo lazima wengine wajikombe kwake kupata fursa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…