Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu ukimsoma vizuri Dawkins anakubali juu ya uwepo Muumba na kwmaba hii Dunia haiwezi kuwa hivi hivi tu,ila ana kataa kwa sababu ya maslahi yake,sababu ukikubali ya kuwa yupo Muumba,lazima kwamba huyo muumba kuna sheria ameziweka anataka zifatwe.Nimeshalibadili swali ajibu basi ni nini, ama whatever ila porojo zinaendelea.
Si yeye tu hilo swali alipigwa Dawkins moja Atheist mkubwa na kiranga pia a Napenda kutoa reference zake, siku zote jamaa lazima apause kidogo na kigugumizi kinaanza.
dawkins anakubali juu ya uwepo wa muumba at the same time bado ni atheist, how come?Halafu ukimsoma vizuri Dawkins anakubali juu ya uwepo Muumba na kwmaba hii Dunia haiwezi kuwa hivi hivi tu,ila ana kataa kwa sababu ya maslahi yake,sababu ukikubali ya kuwa yupo Muumba,lazima kwamba huyo muumba kuna sheria ameziweka anataka zifatwe.
Sasa hitimisho tunaona ya kuwa hawa ni wasanii tu kama wasanii wengine.
Atheist ni ugonjwa wa akili. Ukinisoma vizuri lengo lake la kukataa si kwamba ana hona za kuthibitisha hilo bali anakataa ili kuleta uhuru usio kuwa na mipaka.dawkins anakubali juu ya uwepo wa muumba at the same time bado ni atheist, how come?
Acha kashfa, mtu kukataa jambo ambalo upande wako unaona ni sahihi sio sababu ya huyo mtu kua mgonjwa wa akiliAtheist ni ugonjwa wa akili. Ukinisoma vizuri lengo lake la kukataa si kwamba ana hona za kuthibitisha hilo bali anakataa ili kuleta uhuru usio kuwa na mipaka.
Hivi tu kwa akili ya kawaida unaweza kusema ya kuwa hii dunia haina mwenyewe ? Utakuwa chizi aisee.
Hakina kashfa hapo,nasisitiza tena kile nilichokosema. Ni mgonjwa wa akili na wewe unaingia katika kundi hilo.Acha kashfa, mtu kukataa jambo ambalo upande wako unaona ni sahihi sio sababu ya huyo mtu kua mgonjwa wa akili
Ukithibitisha hilo nitakubali kuwa ni mgonjwa wa akili. Huwezi ukadai Ng'ombe ni mungu,muda huo sisi kwetu ni kitoweo na azaliwa na anakufa. Akilo ya kawaida inakataa huu ukiritimba na uzembe.Ni kama vile ambavyo wewe unakataa miungu ya dini nyingine sidhani kama ni busara tukuite huna akili
Huijui akili ya kawaida,akili ya kawaida ni kama wewe ukiona kitu kipo ujue kina msanifu wake,yaani haihitaji ushahidi kuthibitisha jambo husika.Akili ya kawaida ni ile inayokubali jambo kwa uthibitisho na
Sawa mi ni mgonjwa wa akili kwa maoni yako japo sina hakika kua huendeshwi na hallucinations kudhani kila anaye kupinga madai yako lazima awe mgonjwa wa akiliHakina kashfa hapo,nasisitiza tena kile nilichokosema. Ni mgonjwa wa akili na wewe unaingia katika kundi hilo.
Ukithibitisha hilo nitakubali kuwa ni mgonjwa wa akili. Huwezi ukadai Ng'ombe ni mungu,muda huo sisi kwetu ni kitoweo na azaliwa na anakufa. Akilo ya kawaida inakataa huu ukiritimba na uzembe.
Huijui akili ya kawaida,akili ya kawaida ni kama wewe ukiona kitu kipo ujue kina msanifu wake,yaani haihitaji ushahidi kuthibitisha jambo husika.
Yaani mathalani mtengeneza simu ndiyo anajua madhaifu ya simu husika na future yake,hili akili ya kawaida inakubali hilo.
Au logically (kwa nyie mnao husudu logic) tu huwezi kukataa juu ya uwepo wa msababishaji wa haya yote ulimwenguni,aisee utakuwa hufikirii vizuri.
Anayeabudu ng'ombe naye anaweza kusema akili ya kawaida haikubali habari za muhammad kupaa na punda mwenye mabawa, hakuna akili inayokubali muhammad alipasua mwezi vipande viwili na kuurejesha upyaUkithibitisha hilo nitakubali kuwa ni mgonjwa wa akili. Huwezi ukadai Ng'ombe ni mungu,muda huo sisi kwetu ni kitoweo na azaliwa na anakufa. Akilo ya kawaida inakataa huu ukiritimba na uzembe.
Kwa maana hiyo unavyodai mungu yupo ni lazima awe na msanifu wake?Huijui akili ya kawaida,akili ya kawaida ni kama wewe ukiona kitu kipo ujue kina msanifu wake,yaani haihitaji ushahidi kuthibitisha jambo husika.
Mkuu sijawai kukutana navyo hivyo vitu ila vipo kupitia shuhuda tu za watuKuna nadharia za ajabu sana Africa ambazo huwezi ziona dunia ya kwanza.
Uchawi ni nini. Nani ambaye anaweza kutupa proof uchawi upo? Nani alimuona mchawi? Nani anaujua uchawi? Uchawi una nguvu gani?
Hayo Majini ni nini? Hakuna cha majini wala babu yake na majini?
Hizo ni drama za kufikirika.
Utasikia kuna majini. Ushawahi kuliona! Utasikia majini majini ni viumbe visivyoonekana kama hayaonekani umejuaje kama yapo.
Majini na uchawi ni dhana za kufikilika
Eti mchawi anatembea angani kwenye ungo.. Uongo tu.. Waambie hayo majini yawape pesa.. Wanaojiita waganga au wenye majini maskini km nini.
Tunaweza kuuprove upepo..
Hayo majini yenu mbn hamuwezi.
Hata hawa wanaopandisha majini/mashetani hakuna chochote wanaumwa akili au km wanawake wanaumwa hysteria.
Lete Proof hapa.
Hakuna cha majini wala uchawi
Sababu wewe siyo msomaji,naenda na wewe kwa mtindo huu. Tukio la kupasuka mwezi umelisoma au umelisikia kwa watu ?Anayeabudu ng'ombe naye anaweza kusema akili ya kawaida haikubali habari za muhammad kupaa na punda mwenye mabawa, hakuna akili inayokubali muhammad alipasua mwezi vipande viwili na kuurejesha upya
Vipi tutakua sahihi kukuita mgonjwa wa akili katika hili?
Hayo yote yanaweza ku-make sense endapo mtu ushakua indoctrinated
Sijaelewa swali lako.Kwa maana hiyo unavyodai mungu yupo ni lazima awe na msanifu wake?
Hujapinga kama wewe si mgonjwa akili. Onyesha ya kuwa wewe si mgonjwa wa akili au anaye abudu Ng'ombe si mgonjwa wa akili.Sawa mi ni mgonjwa wa akili kwa maoni yako japo sina hakika kua huendeshwi na hallucinations kudhani kila anaye kupinga madai yako lazima awe mgonjwa wa akili
Hiyo ni weakest weapon ambayo ni primitive sana imekua ikitumiwa na watu wa dini pale hoja za kibusara zinaposhindwa kumshawishi opponent.
Ukiona mtu anakuita "mgonjwa wa akili" au kaanza kunukuu vifungu kua "mpumbavu kasema moyoni mwake kua hakuna mungu" jua kabisa amekata ringi kashindwa ku present uthibitisho now kaanza kutumia abusive words
Huu ni mjadala ambao tunaweza kujadili maswala mabali mbali katika angle tofauti, tunayoyasikia, tunayoyasoma nk.Sababu wewe siyo msomaji,naenda na wewe kwa mtindo huu. Tukio la kupasuka mwezi umelisoma au umelisikia kwa watu ?
Nitakua sahihi kusema hoja zako hizi zinaashiria wewe unapingana na habari hiyo ya muhammad kupasua mwezi?Umeshasoma tukio la kupasuka mwezi lilivyo tokea ?
Nikikuuliza ulete ushahidi unao onyesha mtu kapasua mwezi unaweza kuuleta ?
Ulicho kiandika na marejeo yalivyo ni tofauti. Nakuuliza swali hizi habari umezitoa wapi ?
Mungu yupo au hayupo?Sijaelewa swali lako.
Jibu swali nililo kuuliza,usikimbieHuu ni mjadala ambao tunaweza kujadili maswala mabali mbali katika angle tofauti, tunayoyasikia, tunayoyasoma nk.
Hayo yote sioni kama ni big issue, what is matter ni kua ni vya kweli?
Je unapinga kua habari ya muhammad kuhusishwa kua aligawanyisha mwezi na kuunga upya sio habari ya kweli?
Jibu swali hilo,umeleta habari ya kupasuka kwa mwezi,nimekuuliza hili tukio unelisoma wapi au unesikia ?Nitakua sahihi kusema hoja zako hizi zinaashiria wewe unapingana na habari hiyo ya muhammad kupasua mwezi?
Hili nimeshakujibu zaidi ya mara kumi humu. Usiulize swali ambalo unajua jibu langu.Mungu yupo au hayupo?
Wala sijafanya attempt yeyote kupinga kuonesha mimi sio mgonjwa wa akili. Kwangu mimi naona kufanya hivyo ni indication ya kukufanya ulichokiongea kionenekane cha kweliHujapinga kama wewe si mgonjwa akili. Onyesha ya kuwa wewe si mgonjwa wa akili au anaye abudu Ng'ombe si mgonjwa wa akili.
Kisha waulize hap wanao abudu ng'ombe wanafanya nini kwa ng'ombe na imani yao ni ipi kwa ng'ombe kisha upime.
Unajua kinacho takwa msaada au kuabudiwa kina sifa gani ?