Uchawi au Majini hayapo! Nani ameshawahi kukutana na jini

I have meets with this guys,they are so cool and humble "THIS IS CREATURES OF SPECIAL PRINCIPLES...DO YOU WISH TO SEE? ARE YOU CLEAN ENOUGH?,DO YOU WANT TO POSSESS ONE?I CAN GIVE YOU A LITTLE ONE.
N.b:-I'm in study and research of this dudes...!
😡😡😡😡 greek?
 
Naomba ufuatilie jibu langu kimantiki na kuondoa ushabiki wa kidini.

Sijajua jibu la nini kime cide DNA, lakini jibu lake si Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.

Katika kutafuta jibu, kuna njia nyingi. Njia moja inaitwa "elimination method".

Ukiambiwa, mji mkuu wa Chad, Central Africa ni Washington DC iliyopo Marekani, ukijua kwamba mji mkuu wa nchi ni lazima uwe ndani ya nchi hiyo, na Washington DC ipo Marekani, si Chad, utajua kwamba, Washington DC si mji mkuu wa Chad, hata kabla hujajua mji mkuu wa Chad ni mji gani. Hapi unaweza ku eliminate Washington DC kama mji mkuu wa Chad. Unaondoa jibubla Washington DC, unatafuta jibu la kweli.

Sasa, hata kabla ya kujua jibu la mji mkuu wa Chad ni mji gani, unakuwa ushajua jibu sahihi si Washington DC.

Ukiambiwa kwamba, binti ambaye leo ana miaka mitano, ni mama mzazi wa mwanamme mwenye miaka 60 leo, na wewe unajua mama mzazi ni kazima awe mkubwa kuliko mtoto wake, unaweza kujua kwamba, huyu binti wa miaka mitano hawezi kuwa mama mzazi wa huyu mwanamme mwenye miaka 60. K3a sababu mama yake mzazi huyu mwanamme mwenye miaka 60 hawezi kuwa na miaka michache kuliko hiyo sitini.

Hizi habari mbili za mji mkuu wa Chad kuwa Washington DC, na mama wa mwanamme mwenye miaka 60 kuwa binti wa miaka 5 zina contradiction.

Washington DC kuwa Marekani haiwezi kuwa mji mkuu wa Chad, kwa sababu ina contradict kanuni kwamba mji mkuu wa nchi ni lazima uwe ndani ya nchi hiyo.

Kwa hiyo nikikua Washington DC haupo Chad tu, najua hauwezi kuwa mji mkuu wa Chad, hata kabla sijajua mji mkuu wa Chad ni mji gani.

Vivyo hivyo, nikishajua tu kwamba binti wa miaka 5 ni mdogo kuliko mwanamme wa miaka 60, nitajua kwamba huyu binti hawezi kuwa mama mzazi wa mwanamme mwenye miaka 60. Kwa sababu huyu binti wa miaka 5 kuwa mama mzazi wa mwanamme mwenye miaka 60 kuna contradict kanuni kwamba, mama mzazi wa mtu anatakiwa kuwa mkubwa kuliko huyo mtoto, mama anatakiwa kuwa kazaliwa kabla ya mtoto.

Hapo tunaona kwamba, mtu hahitaji kujua jibu sahihi ili kujua kwamba jibu fulani si sahihi. Na kwamba, katika kutafuta jibu sahihi, tunaweza kuondoa majibubfulani kwamba si ya sahihi.

Kuhusu suala la DNA, bado watu wanatafuta jibu sahihi.

Lakini, kama tunavyoweza kusema Washington DC si mji mkuu wa Chad, au binti wa miaka 5 hawezi kuwa mama mzazi wa mwanamme mwenye miaka 60, tunaweza pia kusema Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hawezi kuwa designer wa DNA.

Kwa sababu.

DNA ina mapungufu. Ikipigwa na radiatio ninafanya mutations zinazosababisha magonjwa. Mungu mwenye uwezo wote ujuzi wote na upendo wote surely angekuwa designer wa DNA angefanya DNA ya viumbe wake anaowapenda iwe much better than this.

The other objectionnis a general versionnof this argument.

1. Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayuko compatible na ulimwengu unaoruhusu mabaya. Yuko mutually exclusive na ulimwengu unaoruhusu mabaya.

2. Maana yake, huwezi kuwa na ulimwengu unaoruhusu mabaya kutokea, halafu hapo hapo Mungu huyu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote akawepo. Maana yake, Mungu huyo akiwepo, ulimwengu unaoruhusu mabaya hauwezi kuwepo, na ulimwengu unaoruhusu mabaya ukiwepo, Mungubhuyo hayupo.

3. Ulimwengu unaoruhusu mabaya upo. Ndiyo huu tunaoishi ndani yake. Una magonjwa, majanga ya kiasili, matetemekonya ardhi, mafuriko, vita, ujambazi, etc.

4. Hivyo, Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote hayupo.
Mkuu nimesoma maelezo yote nimeona blah blah hakuna hata evidence moja ya kisayansi uliotoa Bali kwa utashi wako umekataa hazijatengenezwa na Mungu bila kutupa evidence

Swali LA pili toka hii Dunia iumbwe kumewahi kutokea digital information bila kutengenezwa na intelligent Being?
 
You are being a simpleton.

Nimekuomba ufuatilie hoja kimantiki, umeshindwa.

Nikikuambia mji mkuu wa Chad , Central Afrika, ni Washington DC, iliyopo Marekani, utakubali?

Nikikuambia kuna mwanamme ana miaka 60 leo, ambaye mama yake mzazi ni binti mwenye miaka 5 leo, utakubali?
 
Sasa kama nilikutana na jini, ushaidi upi unahitajika.
 
Naomba ufuatilie jibu langu kimantiki na kuondoa ushabiki wa kidini.

Sijajua jibu la nini kime cide DNA, lakini jibu lake si Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.

Katika kutafuta jibu, kuna njia nyingi. Njia moja inaitwa "elimination method".

Ukiambiwa, mji mkuu wa Chad, Central Africa ni Washington DC iliyopo Marekani, ukijua kwamba mji mkuu wa nchi ni lazima uwe ndani ya nchi hiyo, na Washington DC ipo Marekani, si Chad, utajua kwamba, Washington DC si mji mkuu wa Chad, hata kabla hujajua mji mkuu wa Chad ni mji gani. Hapi unaweza ku eliminate Washington DC kama mji mkuu wa Chad. Unaondoa jibubla Washington DC, unatafuta jibu la kweli.

Sasa, hata kabla ya kujua jibu la mji mkuu wa Chad ni mji gani, unakuwa ushajua jibu sahihi si Washington DC.

Ukiambiwa kwamba, binti ambaye leo ana miaka mitano, ni mama mzazi wa mwanamme mwenye miaka 60 leo, na wewe unajua mama mzazi ni kazima awe mkubwa kuliko mtoto wake, unaweza kujua kwamba, huyu binti wa miaka mitano hawezi kuwa mama mzazi wa huyu mwanamme mwenye miaka 60. K3a sababu mama yake mzazi huyu mwanamme mwenye miaka 60 hawezi kuwa na miaka michache kuliko hiyo sitini.

Hizi habari mbili za mji mkuu wa Chad kuwa Washington DC, na mama wa mwanamme mwenye miaka 60 kuwa binti wa miaka 5 zina contradiction.

Washington DC kuwa Marekani haiwezi kuwa mji mkuu wa Chad, kwa sababu ina contradict kanuni kwamba mji mkuu wa nchi ni lazima uwe ndani ya nchi hiyo.

Kwa hiyo nikikua Washington DC haupo Chad tu, najua hauwezi kuwa mji mkuu wa Chad, hata kabla sijajua mji mkuu wa Chad ni mji gani.

Vivyo hivyo, nikishajua tu kwamba binti wa miaka 5 ni mdogo kuliko mwanamme wa miaka 60, nitajua kwamba huyu binti hawezi kuwa mama mzazi wa mwanamme mwenye miaka 60. Kwa sababu huyu binti wa miaka 5 kuwa mama mzazi wa mwanamme mwenye miaka 60 kuna contradict kanuni kwamba, mama mzazi wa mtu anatakiwa kuwa mkubwa kuliko huyo mtoto, mama anatakiwa kuwa kazaliwa kabla ya mtoto.

Hapo tunaona kwamba, mtu hahitaji kujua jibu sahihi ili kujua kwamba jibu fulani si sahihi. Na kwamba, katika kutafuta jibu sahihi, tunaweza kuondoa majibubfulani kwamba si ya sahihi.

Kuhusu suala la DNA, bado watu wanatafuta jibu sahihi.

Lakini, kama tunavyoweza kusema Washington DC si mji mkuu wa Chad, au binti wa miaka 5 hawezi kuwa mama mzazi wa mwanamme mwenye miaka 60, tunaweza pia kusema Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hawezi kuwa designer wa DNA.

Kwa sababu.

DNA ina mapungufu. Ikipigwa na radiatio ninafanya mutations zinazosababisha magonjwa. Mungu mwenye uwezo wote ujuzi wote na upendo wote surely angekuwa designer wa DNA angefanya DNA ya viumbe wake anaowapenda iwe much better than this.

The other objectionnis a general versionnof this argument.

1. Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayuko compatible na ulimwengu unaoruhusu mabaya. Yuko mutually exclusive na ulimwengu unaoruhusu mabaya.

2. Maana yake, huwezi kuwa na ulimwengu unaoruhusu mabaya kutokea, halafu hapo hapo Mungu huyu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote akawepo. Maana yake, Mungu huyo akiwepo, ulimwengu unaoruhusu mabaya hauwezi kuwepo, na ulimwengu unaoruhusu mabaya ukiwepo, Mungubhuyo hayupo.

3. Ulimwengu unaoruhusu mabaya upo. Ndiyo huu tunaoishi ndani yake. Una magonjwa, majanga ya kiasili, matetemekonya ardhi, mafuriko, vita, ujambazi, etc.

4. Hivyo, Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote hayupo.
Una uhakika hayupo?
 
Una uhakika hayupo?
Ka muktadha gani?

Uhakika ni nini na unaupimaje kujua huu uhakika na huu si uhakika?

Na unajuaje kipimo chako cha kutafuta uhakika hakiwezi kuingilia kinachopimwa na kuharibu matokeo?

Na hata kama sina uhakika, unaelewa kwamba kukosa uhakika nako ni dalili ya Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kutokuwapo? Kwamba Mungu huyo angekuwapo, mambo yote yangejulikana kwa uhakika, kusingekuwa na jambo lolote lisilo na uhakika.

Unaelewa kwamba kuwepo kwa swali lolote ambalo jibu lake halijulikani kwa uhakika, pamoja na swali la kuuliza kama Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote yupo au hayupo, kunaonesha Mungu huyo hayupo?

Unaelewa kwamba hata swali lako linaonesha Mungu huyo hayupo?
 
Ka muktadha gani?

Uhakika ni nini na unaupimaje kujua huu uhakika na huu si uhakika?

Na unajuaje kipimo chako cha kutafuta uhakika hakiwezi kuingilia kinachopimwa na kuharibu matokeo?

Na hata kama sina uhakika, unaelewa kwamba kukosa uhakika nako ni dalili ya Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kutokuwapo, kwamba Mungu huyo angekuwapo, mambo yote yangejulikana kwa uhakika, kusingekuwa na jambo lolote lisilo na uhakika.

Nakuuliza tena una uhakika Mungu hayupo?
 
You are asking a logically non-sequitur question, with no criterion.

Unajua kusoma kwa ufahamu?

Nakuuliza tena.

Kwa muktadha gani?

Ubishi unaupenda ila siku zote nakwambia ubishi hauwezi, mimi sijakwambia wewe kuwa hauna uhakika bali nimekuuliza una hakika Mungu hayupo?

Nakuuliza kwa mara ya mwisho

Una uhakika Mungu hayupo?
 
Wewe ngumbaru usiyejua kusoma kwa ufahamu unaelewa mpaka sasa hujauliza swali, na umeshindwa kuuliza swali?

Nimekuuliza, uhakika ni nini?

Unarudia kuniuliza "una uhakika Mungu hayupo?"
 
respond yeyote kutoka third party system

Wakati nikiendelea kutamka yale maneno nilishtukizwa na roba flani matata upande wa nyuma, mwanzo nilidhani ni ujio wa jini kumbe ni kibaka wa mtaa na alikua anapiga patrol
Aisee! Pole sana
 
Wewe ngumbaru usiyejua kusoma kwa ufahamu unaelewa mpaka sasa hujauliza swali, na umeshindwa kuuliza swali?

Nimekuuliza, uhakika ni nini?

Unarudia kuniuliza "una uhakika Mungu hayupo?"
Sijauliza swali au nimeshindwa kuuliza swali?

Haujui neno "uhakika" ndio maana haujaelewa swali?

Au nimerudia swali?
 
Hujauliza swali, kwa sababu umeshindwa kuuliza swali.

Umeshindwa ku define neno hakika, neno unalolitumia katika swali lako.

Hakika ni nini?

Kabla ya mimi kukujibu swali lako, wewe unayeuliza hilo swali unalielewa swali lako mwenyewe?

Mpaka sasa inaonekana hulielewi swali unalotaka kuuliza wewe mwenyewe.

Umeshindwa kueleza hakika ni nini.

Unaniambia nikutafsirie ndoto yako. Ujue maana ya ndoto uliyoota.

Nakuambia sawa. Umeota ndoto gani?

Unaniambia kabla sijatafsiri ndoto yako nikuambie umeota ndoto gani.

Sasa wewe unataka tafsiri ya ndoto au unataka ugomvi?

Wewe kama huwezi kuuliza swali likaeleweka, unategemea nitakujibu vipi swali ambalo umeshindwa kuuliza?
 
Haujaelewa swali au hujui neno hakika?

Una hakika Mungu hayupo?
 
Yapo mambo ambayo niyakufikirika ambapo tunajengwatu kiimani. Mfano Mungu,peponi/mbinguni,malaika nk
Vitu hivyo nidhahaniatu. Ukitaka kila kitu ukithibitishe utakuja kusema hakuna koto wala baridi,hakuna raha wala karaha maana havishikiki.
Nimawazo yangu tu
 
Today is furahi day! Jifunze kidogo..

jamiiF.PNG
 
Nawacheko tu mnavyobishana na kutambiana[emoji1787].

Ila Mimi ningeshauri kwa wale wasioamini uchawi Wala nguvu za Giza waendenkwa waganga wa kienyeji au wanaosemekana wachawi wawathibitishie kwa macho Yao .

Huwezi mdai mtu asie na hayo Mambo ya Giza akuthibitishie wakati Hana .Ni sawa na "kumtaka mwalimu akuthibitishie kuwa pikipiki ya mchina sio nzuri wakati yeye sio fundi Wala injinia wa hio pikipiki"

Ukija Africa nendeni wilaya au mikoa inayosifika kwa ulozi mkafanye tafiti .

Hapa jf hata kuthibitisha utafanyaje wakati hapa Ni maandishi tu yanatembea[emoji1787].
 
And I have created the jinn and humankind only to worship me ~ Quran chapter 51 verse 56.

Loose translation...

"Hakika nimewaumba binadamu na majini ili wapate kuniabudu"

Kwahivo kwa imani ya kiislam duniani kote majini wapo....ni viumbe kama walivyo binadamu.
 
Back
Top Bottom