Uchawi au Majini hayapo! Nani ameshawahi kukutana na jini

Kwikwikwiiiiiiiiyo!.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2]
 
Swali lenyewe linasemaje?
Toka ulimwengu uumbwe kumewahi digital information kutokea kwa evolution? Kama haijawahi

Nani ama nini ama kipi kimesababisha DNA zetu kuwa na Digital information?

Kama imewahi ni mfano gani wa hio digital information?
 
Dawkins Akibanwa yes anakubali Kuna Mungu, then baadae akiwa na Atheist wenzake anakataa tena. Ukweli upo machoni mwake lakini Kuna vitu vinamforce asitangaze hadharani.
 
Toka ulimwengu uumbwe kumewahi
Unaposema ulimwengu uumbwe unakusudia kumaanisha kitu gani?

Kwanza dhana ya ulimwengu kuumbwa ni msingi potofu kuanza kuutumia kwenye swali linalo lenga kuleta majibu ya majibu tofauti. Endapo ikiwa tumekubaliana kua kuna muumbaji in the first place basi kwa muktadha huo hoja yako itakua ni sahihi.
 
kumewahi digital information kutokea kwa evolution?
Swali lako lina maanisha Digital information kwa ku refer na vitu kama database, website, nk kua vishawahi kutokea kwa evolution?

Kama swali lako ni hilo basi jibu ni hapana, kwasababu hivyo vyote vina source havijaja hapo vyenyewe
 
Nani ama nini ama kipi kimesababisha DNA zetu kuwa na Digital information?
Mpaka saizi hakuna anayejua kwa hakika, ni jambo ambalo bado lipo katika uchunguzi lakini sio kigezo cha kutumia kama udhaifu kumshawishi mtu akubaliane na dhana nyingine usiyoweza kuithibitisha.
 
Swali lako lina maanisha Digital information kwa ku refer na vitu kama database, website, nk kua vishawahi kutokea kwa evolution?

Kama swali lako ni hilo basi jibu ni hapana, kwasababu hivyo vyote vina source havijaja hapo vyenyewe
Then mwili wa Binadamu una digital information, DNA zetu zina code ambazo zimeandikwa even scientist wa kubwa kwa pamoja wanakubaliana hili. Je nani/nini/kipi kimeeka Binary like code kwenye DNA zetu?
 
Jibu ni hakuna anayejua kwa hakika, na hata tuki propose kitu fulani ndio kiwe jibu unafikiri hapo ndio utakua ukomo wa swali?

Lazima tutauliza tena huyo/hicho kilichofanya hizo code zikawepo nacho kilitokana na nini

Kama haita make sense kitu hicho kuhoji chanzo chake, kwanini tusifikirie kwa angle hiyo hiyo kwa mtu anaye hoji chanzo cha codes za DNA?
 
Mpaka saizi hakuna anayejua kwa hakika, ni jambo ambalo bado lipo katika uchunguzi lakini sio kigezo cha kutumia kama udhaifu kumshawishi mtu akubaliane na dhana nyingine usiyoweza kuithibitisha.
Ndio maana theory inaitwa Intelligent design, kwamba tumeumbwa na hatujatokana na evolution, somewhere Kuna intelligence kubwa kushinda sisi yenye technology kubwa kushinda sisi ilioumba Dunia na sisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…