Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
1. I have meets this guys🚫❌kosa lipo wapi hapo?
"had" onyesha lingine moja tu.
Lwanini isiwe wakristo wote wakati umesema abrahamic wana abudu mungu mmoja?Si wakristo wote. Tukubaliane hapa kwanza.
Mi sijauliza proof ya quran, na hata ninheuliza najia kwa hakika huna uthibitishoQuran yenyewe ni proof uwepo wake wa miaka 1400 na mpaka Leo mtu kushindwa kutoa weakness zake ni proof, na mwenyezi mungu aka challenge zaidi kama haitoki kwa Mungu basi mjaribu ku andika hata sura moja Tu kama Quran na mpaka Leo hakuna aliefanikiwa japo mamilioni ya watu wanaichallenge.
Thibitisha mungu aliandika hivyo vitabu?Quran haijacopy per se, Bali injil, taurat, zabur na Quran vina Muandishi mmoja ambaye ni Mungu
Mpaka sasa hujathibitisha mungu yupoHivyo Mwenyez Mungu hawezi kujicopy mwenyewe.
Vitabu gani?Na sababu corruption ilitokea kwenye vitabu vya nyuma Quran ikaja kusahihisha.
We ulijuaje vilitoka kwa mungu?Tupe proof havitoki kwa mungu
Kwani nani kasema hicho kitabu ni cha mungu?1. Quran ni karne ya 7 hicho ya 10
2. Kina record za vifo vya wafalme
3.kimekuwa edited Mara kibao (tayari kimeshapoteza sifa ya kuwa divine book, maneno ya Mungu hayawi edited
Kwani nani kasema hicho kitabu ni cha mungu? Nimekuambia hakuna kitabu cha mungu na kama unabisha thibitisha huyo mungu yupo, mbona umeshindwa?4.ni kitabu cha science, science ina involve observation na experiments, mwenyez Mungu akisema kuwa inakuwa Hafanyi experiment na science ina improve ina maana kila iki improve wanabadili.
Tayari hapa kimekosa sifa ya kuitwa Divine Book.
YesNi kweli kabisa uchawi hakuna
Kweli kabsaSijawai kuamini Aya Mambo.na sikuwai kuyaogopa hata siku moja kwanza hayapo
Very interesting, hii movie director ni nani?
Njoo pm mara moja nikuhakikishie na uamini kuwa majini yapo ila jiweke sawaKuna nadharia za ajabu sana Africa ambazo huwezi ziona dunia ya kwanza.
Uchawi ni nini. Nani ambaye anaweza kutupa proof uchawi upo? Nani alimuona mchawi? Nani anaujua uchawi? Uchawi una nguvu gani?
Hayo Majini ni nini? Hakuna cha majini wala babu yake na majini?
Hizo ni drama za kufikirika.
Utasikia kuna majini. Ushawahi kuliona! Utasikia majini majini ni viumbe visivyoonekana kama hayaonekani umejuaje kama yapo.
Majini na uchawi ni dhana za kufikilika
Eti mchawi anatembea angani kwenye ungo.. Uongo tu.. Waambie hayo majini yawape pesa.. Wanaojiita waganga au wenye majini maskini km nini.
Tunaweza kuuprove upepo..
Hayo majini yenu mbn hamuwezi.
Hata hawa wanaopandisha majini/mashetani hakuna chochote wanaumwa akili au km wanawake wanaumwa hysteria.
Lete Proof hapa.
Hakuna cha majini wala uchawi
Yes Quran yenyewe ni uthibitisho toka kuanzia kushuka kwake, structure yake, maneno yake, namna watu wanavyoifuata, jinsi ilivyohifadhiwa etc ndio maana ukaona mpaka leo ipo kwa usahihi ule ule.Mi sijauliza proof ya quran, na hata ninheuliza najia kwa hakika huna uthibitisho
Swali langu ni quran imeshawahi kuthibitisha mungu yupo kwa hakika?
Uthibitisho wa Rahisi ni predictions tu ambazo zipo kwenye hivyo vitabu, mtu wa kawaida hawezi aka andika melfu ya maneno akaita kitabu na Baada ya maelfu ya miaka Yale maneno bado yakatwa na maana, kama inawezekana lete ushahidi W kitabu tofauti na vya dini.Unaweza thibitisha?
Thibitisha mungu aliandika hivyo vitabu?
Hili tuliweke kwenye comment yakeMpaka sasa hujathibitisha mungu yupo
Sasa mimi hoja nimekwambia Quran ni kitabu cha Mungu sababu ni perfect ni Kaku challenge lete kitabu kama hicho. Then Unaniletea kitabu kina revision, huoni kama hapo sio perfect? Huoni waki update means wanaongeza vitu? Huoni wakiongeza vitu ina maana mwanzo kilikuwa hakija kamilika? Ule u perfect unaondoka?Vitabu gani?
We ulijuaje vilitoka kwa mungu?
Kwani nani kasema hicho kitabu ni cha mungu?
Nimekuonesha kitabu ambacho umedai kime exist kwa miaka zaidi ya 100 bila kukosolewa, ndo hicho sasa
Kuwa edited hakuna maana ya kwamba kimekosolewa au ni kitabu cha uongo, labda nipe reference ambayo ime ditiwa ikikosoa kuonesha uongo ulio andikwa mwanzo na kuweka maneno mapya
Kwani nani kasema hicho kitabu ni cha mungu? Nimekuambia hakuna kitabu cha mungu na kama unabisha thibitisha huyo mungu yupo, mbona umeshindwa?
Kumuelewa Mungu kama yupo ama hayupo Assume kama wewe ni game developer, take Role ya Creator.Mpaka sasa hujathibitisha mungu yupo
Swali langu sijui unalikwpa kwa makusudi au ni bahati mbaya hulielewiYes Quran yenyewe ni uthibitisho toka kuanzia kushuka kwake, structure yake, maneno yake, namna watu wanavyoifuata, jinsi ilivyohifadhiwa etc ndio maana ukaona mpaka leo ipo kwa usahihi ule ule.
kama hakuna mtu anaweza kuelezea we umejuaje ni signs za mungu?Na kuna maelfu ya signs kutoka Quran toka kwa mwenyez Mungu Mwenyewe ambayo hakuna kiumbe yoyote anayeweza kuelezea miaka zaidi ya 1000 iliopita na mpaka Leo yakahold value.
hapa ume assume, hii sio fact. Kimsingi hata godbles lemma kwa hoja yako naye ni mungu maana alitabiri magufuli atakufa na ikawa kweliUthibitisho wa Rahisi ni predictions tu ambazo zipo kwenye hivyo vitabu, mtu wa kawaida hawezi aka andika melfu ya maneno akaita kitabu na Baada ya maelfu ya miaka Yale maneno bado yakatwa na maana, kama inawezekana lete ushahidi W kitabu tofauti na vya dini.
Ni kwasababu huwezi?Hili tuliweke kwenye comment yake
Hayo ni madai sio fact, hata mkristo anaweza akasema hivyo kutetea biblia kwa nafasi yake.Sasa mimi hoja nimekwambia Quran ni kitabu cha Mungu sababu ni perfect ni Kaku challenge lete kitabu kama hicho.
Nina mashaka na ubongo wako, hivi kati ya kilicho updated na kilicho outdated ni kipi kilicho bora zaidi?Then Unaniletea kitabu kina revision, huoni kama hapo sio perfect? Huoni waki update means wanaongeza vitu? Huoni wakiongeza vitu ina maana mwanzo kilikuwa hakija kamilika? Ule u perfect unaondoka?
We unajuaje hao character wana mind set ya kuweza kufikiri kuhusu chanzo chao?Kumuelewa Mungu kama yupo ama hayupo Assume kama wewe ni game developer, take Role ya Creator.
Umetengeneza game lako then ndani umeweka character wako watatu, japo wewe una exist wale character wako wa game hawataweza kuku discover wewe, ila unaweza Ukawawekea sign kuprove uwepo wako.
Sio mungu tu ambaye hatuwezi kumuona, hatuwezi kumuona spiderman, zeus, flying pot, othor, unicorns nk. Lakini kutokuweza kuona hao characters hakuna maana kwamba wana exist au walishawahi kuwepo.Same kwa sisi Binadamu tupo kwenye Test, hatuwezi maisha yetu yote kumgundua Mungu ama kumuona mahala fulani, lakini ametuachia signs mbalimbali kuthibitisha uwepo wake. Tutaenda kumuona kiama.
hapa bado unaendelea ku assume?1. Uumbwaji wa Dunia yetu
The premise of your argument is fallacy, umeanza na kusema dunia imeumbwa badala ya kuthibitisha then how do we know what you tellin us ain't lies?Dunia na Universe kwa ujumla ilivyoumbwa ukibadili kitu hata kidogo isinge exist, kuanzia Gravity, expansion ya universe hadi position ya Dunia against jua.
Hii video enaelezea vizuri
Nyuki anatumika kuthibitisha mungun yupo, ama kweli quran ilikua dedicated kwa zama za ujinga kushawishi wajinga yani ilikosa mambo ya msingi kabisa acha kiwe outdated tu.2.maajabu ya Nyuki.
Mkuu Quran toka karne ya 7 imeelezea mambo mengi ya Nyuki, ikiwemo Nyuki mwanamke ndio anatengeneza asili, matumbo ya Nyuki, precision yake, Nyuki hategemei hives tu Bali hata kwenye mawe anatengeneza asali etc vingi vimegunduliwa miaka ya Karibuni
Mwanzo nilipokuletea hoja ulisema nime google, now unaniwekeaa mi link nikueleweje? BTW hizo inks hakuna iliyothibitisha mungu yupo3.divine ratio, toka divine ratio igunduliwe vitu vyote duniani kuanzia maumbo yetu mpaka vinavyotuzunguka vinatumia hii formula, video nyengine interesting
4.Atom udogo wake na kwamba kuna kitu kidogo kuliko atom vimeelezewa toka karne ya 7
5.dynamic space, kwamba space haipo ombwe tu Bali yenyewe nayo ni kitu ina bend etc
6.maajabu ya ngozi kwamba finger print zetu hazifanani yalielezewa toka karne ya 7, pia kwamba ngozi ikiunguzwa maumivu yanapungua.
Hizi signs zipo nyingi sana, no way karne ya 7 mtume aandike tu hivi vitu mwenyewe bila kupata Msaada wa Intelligent creator.
Sababu ni mwenyezi mungu anaweza tengeneza kitu miaka 1400 na still kikawa sio outdated mfano mzuri ni hio quran.Swali langu sijui unalikwpa kwa makusudi au ni bahati mbaya hulielewi
nimeuliza "quran imeshawahi kuthibitisha mungu yupo kwa hakika?"
kama hakuna mtu anaweza kuelezea we umejuaje ni signs za mungu?
hapa ume assume, hii sio fact. Kimsingi hata godbles lemma kwa hoja yako naye ni mungu maana alitabiri magufuli atakufa na ikawa kweli
hoja yako inalenga kumuita mtu yeyote mungu endapo tu utabiri wake utatimia kama alivyo bashiri.
Hujathibitisha mungu yupo
Ni kwasababu huwezi?
Hayo ni madai sio fact, hata mkristo anaweza akasema hivyo kutetea biblia kwa nafasi yake.
Afu unakiita perfect wakati umeshindwa kukitumia ku prove uwepo wa mungu
Nina mashaka na ubongo wako, hivi kati ya kilicho updated na kilicho outdated ni kipi kilicho bora zaidi?
Huoni kisichokua updated maana yake ni primitive kilipaswa kutumika nyakati za zamani na sdio sasa kwasababu kimekosa habari nyingi mpya ambazo ndio maisha wanayoishi watu kila siku?
Mpaka hapa hakiwezi kuwa perfect kwasababu kuna miss informations kibao
Mkuu tuishie hapa, sababu nikitoa hoja huna haja ya ku jibu hoja husika Bali utashi wako.we unajuaje hao character wana mind set ya kuweza kufikiri kuhusu chanzo chao?
kwasababu ume assume ebu chukulia wamejua upo, je hiyo itathibitisha developer hana chanzo?
Dah afu watu kama nyie ndiyo mnapewaga umri mrefu kweli - wewe mwenyewe tu unathibitisha mungu yupo, embu angalia sura yako angalia miguu yako mikono yako makalio, mwenyezi mungu kakutengeneza vizuri leo hii we we unakuwa wa kwanza kumpinga.Swali langu sijui unalikwpa kwa makusudi au ni bahati mbaya hulielewi
nimeuliza "quran imeshawahi kuthibitisha mungu yupo kwa hakika?"
kama hakuna mtu anaweza kuelezea we umejuaje ni signs za mungu?
hapa ume assume, hii sio fact. Kimsingi hata godbles lemma kwa hoja yako naye ni mungu maana alitabiri magufuli atakufa na ikawa kweli
hoja yako inalenga kumuita mtu yeyote mungu endapo tu utabiri wake utatimia kama alivyo bashiri.
Hujathibitisha mungu yupo
Ni kwasababu huwezi?
Hayo ni madai sio fact, hata mkristo anaweza akasema hivyo kutetea biblia kwa nafasi yake.
Afu unakiita perfect wakati umeshindwa kukitumia ku prove uwepo wa mungu
Nina mashaka na ubongo wako, hivi kati ya kilicho updated na kilicho outdated ni kipi kilicho bora zaidi?
Huoni kisichokua updated maana yake ni primitive kilipaswa kutumika nyakati za zamani na sdio sasa kwasababu kimekosa habari nyingi mpya ambazo ndio maisha wanayoishi watu kila siku?
Mpaka hapa hakiwezi kuwa perfect kwasababu kuna miss informations kibao
Bila shaka swali zito kwa Mwamposa anayetoa majini, Mtume Mwingira, Nabii Melisa, Mzee wa Upako, nabii Geodavie, kuhani Musa na wengine wengi wanaosema wana miungu wao wa kutoa majini.Kuna nadharia za ajabu sana Africa ambazo huwezi ziona dunia ya kwanza.
Uchawi ni nini. Nani ambaye anaweza kutupa proof uchawi upo? Nani alimuona mchawi? Nani anaujua uchawi? Uchawi una nguvu gani?
Hayo Majini ni nini? Hakuna cha majini wala babu yake na majini?
Hizo ni drama za kufikirika.
Utasikia kuna majini. Ushawahi kuliona! Utasikia majini majini ni viumbe visivyoonekana kama hayaonekani umejuaje kama yapo.
Majini na uchawi ni dhana za kufikilika
Eti mchawi anatembea angani kwenye ungo.. Uongo tu.. Waambie hayo majini yawape pesa.. Wanaojiita waganga au wenye majini maskini km nini.
Tunaweza kuuprove upepo..
Hayo majini yenu mbn hamuwezi.
Hata hawa wanaopandisha majini/mashetani hakuna chochote wanaumwa akili au km wanawake wanaumwa hysteria.
Lete Proof hapa.
Hakuna cha majini wala uchawi
Unathibitisha vipi kua ni Mungu?Sababu ni mwenyezi mungu anaweza tengeneza kitu miaka 1400 na still kikawa sio outdated mfano mzuri ni hio quran.
Chukulia fundi ulikua na task ya kutengeneza vitanda viwili kwa watu wawili tofauti, vyote ulivitengeneza kwa kutumia same materials. Baada ya mwezi ukaja kwangu kufanya maintenance kwangu afu upande wa pili kule hujaenda na kitanda kipo katika the same damn condition as mineHebu chukulia mfano huu.
Mimi nakupa offer ku kutengeneza kitanda perfect, unanipa hela, Baada ya mwezi nakwambia nahitaji kufanya marekebisho, kile kitanda ni perfect?
Na hayo marekebisho yaliyofanywa yanapaswa kuwepo kwenye kitabu kinacho daiwa kuwa ni perfect. Endapo hizo habari hazitakuwepo kwenye hicho kitabu unachokidai kua ni perfect basi kitakosa hiyo sifa ya ukamilifu.Ukishafanya marekebisho tayari sio perfect.
Quran imeshuka miaka 1400 iliopita na mpaka Leo watu zaidi ya bilioni wanaifuata.
Unaweza elezea kwanini Quran ipo Outdated!?
Sitaki kuombewa, nataka majibu ya maswali niliyokuulizaMkuu tuishie hapa, sababu nikitoa hoja huna haja ya ku jibu hoja husika Bali utashi wako.
Nakuombea tu kwa Mungu akufunilie uone njia ya haki.
thibitisha mungu yupoDah afu watu kama nyie ndiyo mnapewaga umri mrefu kweli - wewe mwenyewe tu unathibitisha mungu yupo, embu angalia sura yako angalia miguu yako mikono yako makalio, mwenyezi mungu kakutengeneza vizuri leo hii we we unakuwa wa kwanza kumpinga.
Unakula chakula unaenda chooni acha ubishi ndugu yangu ivi unajua kabla ya kuwa hai ulikuwa umekufa, umekaa tumboni miezi 9 wewe.tumia akili ndugu yangu.
Quran Surat yasin aya 77 inasema Kwani mwanaadamu haoni ya kwamba Sisi tumemuumba yeye kutokana na tone la manii? Kisha sasa yeye ndio amekuwa ndiye mgomvi wa dhaahiri!