Uchawi Mjini Unguja: Marehemu aonekana mitaani na sokoni

Hachukui round atakufa tena
 
Hachukui round atakufa tena
Mwezi w tisa huu yupo poa tu,mtaalam aliyemshughulikia anasema akifa sasa hv ni kwa uwezo wa Mungu ila sio mwanadamu,waliomfanyia kutendo hicho wamedondoka mmoja baada ya mwingine hasa pale walipojaribu kumchukua tena kimazingara pale alipoonekana kama amefufuka
 
Naam kumbe nilikuwa sahihi, salama yake ni hao nyang'au kufa

Ama sivyo wangemchukua tena

Mkimuuliza ana kumbukumbu ya huko atokako?
 
Naam kumbe nilikuwa sahihi, salama yake ni hao nyang'au kufa

Ama sivyo wangemchukua tena

Mkimuuliza ana kumbukumbu ya huko atokako?
Anasema anamkumbuka mama fulani,anamtaja jina,ndio alikuwa anamchukuaga anamfunga kitambaa cheusi anamfanyisha kazi mbalimbali,huyo mama ni wa mtaani kwao
 
Anasema anamkumbuka mama fulani,anamtaja jina,ndio alikuwa anamchukuaga anamfunga kitambaa cheusi anamfanyisha kazi mbalimbali,huyo mama ni wa mtaani kwao
Wachawi bwana sijui wanapata nini na hayo mambo

Wangetusaidia kuwanyoosha wazungu wanaotuburuza daily ingependeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…