Uchawi na fitna ndio zilizowamaliza AS Vita

Fifa wanazo hadi video za ZBC2 wachezaji wa simba walimulikwa machono.
 
Na ndio linalotakiwa...subiri barua zetu zijibiwe caf huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenitusi sana mkuu....yan toka nizaliwe hakuna mtu aliewahi kunitusi kama wewe

Hivi unajua mimi bora nilale kituoni kuliko kupanda daladala la mwisho lenye chata za simba??
Ila Mkuu umeumia sana kuliko hata mlivyofungwa na Lipuli!

Nilichogundua wewe ni mshabiki wa Simba bila kujua!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani timu huwa zinakatazwa kacha watu wao ndani ya vyumba??? Hii sababu ya kupuliziwa huwa naisikia sana watu wakifungwa. Swali je hurusiwi kuweka komandoo wako ndani ya chumba kabla ya mchezo na halftime. Au sumu inapulizwa week kabla ya mchezo. Kama madawa michezoni ni haramu, Caf kwa nini wasiwe wanachukua sample za hewa ndani ya vyumba before and after halftime na damu/mkojo za wachezaji kwani maanabara zitaonesha tu. Tuachane na huu ushamba! Ndio maana tukienda kumbe la dunia africa tunafunhwa tu
 
Kwanza ni upuuzi na uharo umeandikwa hapa.

FIFA hairuhusu haya mambo yafanyike katika soka na kama ushahidi upo Simba anatumia madawa kuwalegeza wenzake mnashindwa nini kupeleka ushahidi wenu CAF au FIFA ili Simba apigwe rungu?

Sidhani kama mtu mzima aliyetimia akili anaweza kuja na hoja za kipuuzi namna hii.
 
Simba utu hawana....wapo tayari kuwadhuru wenzao ili wao wanufaike

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli mkuu.Mpira uliochezwa ni wa kiwango cha juu .Simba imestaili huu ushindi.
Wapinzani wa Simba walikuwa na matokeo yao ya kubet kuwa lazima Simba ifungwe kwa kuwa walishafungwa tano Kule DRC.
Sasa imekuwa kinyume.
Acheni wivu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa, fitness level imeongezeka kwa kiwango kikubwa sana.
Yale mazoezi ya kukimbia na mwamvuli na kututana kwa kamba sio mchezo.
 
Fifa wanazo hadi video za ZBC2 wachezaji wa simba walimulikwa machono.

Sijakuelewa au pengine hujanielewa ...nasema hivi picha za wachezajiwa Vita wakiwa na 'masks' wakati wa halftime zikitumwa huko CAF na FIFA suala hili linaweza likachukua sura nyingine...
 
Ndio malalamiko yametumwa caf..ingia kwenye site nyingi za kiafrica utaona,subirini mziki wq cuf enyi mikia
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zipelekwe mara ngapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijakuelewa au pengine hujanielewa ...nasema hivi picha za wachezajiwa Vita wakiwa na 'masks' wakati wa halftime zikitumwa huko CAF na FIFA suala hili linaweza likachukua sura nyingine...
Hivi huo ndio ushahidi kweli na unaona umeongea point?
Labda nikwambie, simba walipokuwa algeria walipokuwa wanamulikwa usoni, angalau wao kama wangelalamika ushahidi wao ni mzito kuliko mtu aliyevaa mask. Unapimaje au unatambuaje kuwa aliyevaa mask kapuliziwa sumu au kitu chochote cha kumdhuru?
Hii kesi hata ustawi wa jamii hawaisikilizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…