Uchawi na fitna ndio zilizowamaliza AS Vita

Wana YANGA mnashindana na mipango ya Mungu kwani ile dakika ya 82 As vita si walikuwa wanatushambulia lkn golikipa alikuwa imara, unajua AS vita alijua ile game anamaliza kwa sare sababu alijua JS soura kashapigwa kule CAIRO
Wangetoka sare bado Vita wangetolewa kwani wangelingana pointi na Soura, pointi 8, hivyo kanuni ya head to head ingetumika, kumbuka walitoka sare pale Kinshansa na Vita walifungwa kule Soura.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kama una akili za kuvukia barabara kamwe huezi kuendelea ....simba wamecheza mpira mzur toka mwanzo wa kipind mpk mwsho hafu unaleta mipasho ww khadija kopa ndio mana kila sku mnahangaika ya simba sc wakati timu yenu inafungwa iringa kamwene hafu kocha wenu nae anaacha timu anayofundisha anadanga kwa as vita ila huyu kocha wenu bibi zuhura hamna kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sumu iliyowadhoofisha As Vita ni Zahera tu, hakuna kingine hizo ni porojo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe unajifanya kuonyesha simba ni wazee wa fitna ee?
sikatai ila umewahi jiuliza simba alipoenda congo hakufanyiwa figisu?
nenda kaitafute mechi ya nusu fainali ya tp mazembe vs orlando pirates pale drc ndio utaujua vizuri mpira wa afrika.
unawatetea wakongo kisa zahera kawafanya mlipuke?
kwa sasa simba utaumia sana kuisubiria simba ifanye vibaya wakati wamewekeza,nyinyi mlipata fursa mkaichezea.

nenda katembeze bakuli pale jangwani mzee.......
 
duh wazee wa fitina ni yanga bwana walijazwa sumu wakaanza mpira kwa kuutoa nje

angalia nkana na ubora wake kafa taifa sasa anatesa
 
Akili za chura sijui zina IQ ya aje? Nenda kalambe limao kama ushindi wa Simba umekuletea kichefuchefu.
 
Hivi uchawi kwenye mpira upo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…