Uchawi ulivyotamalaki milima ya Same Upareni

Humu kuna watu wamelemazwa kwa kuzugwa...

Tuna safari ndefu sana..
 
Humu kuna watu wamelemazwa kwa kuzugwa...

Tuna safari ndefu sana..
 
Kwa mazingira hayo, mbona ni tukio la kawaida. Huyo dada shuhuda anasema gari lilitembea bila dereva/ kuendeshwa ni uchawi, kama handbrake/ emergency brake imeachia au haikuwa engaged na kuna mtelemko na nyuma ipo bondeni ajabu ni nini hapo?
Ingekuwa hivo, basi gari ingegonga ukuta na sio kuingia kwenye paa.yani ukuta ungebomoka
 
duhh, nlisomaga uko usangi zaman kdg na magari ya mosh usangi ilikua sahara kpnd hicho, sjui km bado yapo
 
Kwa hiyo unataka kusema Mshana Jr ni mchawi?
 
Kuna mshkaji wangu Tanga ni afisa uhamiaji akaleta habari zake kuwa ana demu wa kipare na afisa mwenzake..Aisee nilimkatisha nikamwambia kaka usioe huyo mwanamke na piga chini kwakifupi wanawake wa kipare wengi niliokwisha wajua ni washirikina kinomanoma kwa experience yangu..Kumbe bwana katika mengi alonambia alinificha hayo na mimi nikawa nimegusa penyewe.Aisee akaniletea mfululizo wa visanga mpaka sio vizuri na mwisho wa siku akampiga chini.
 
Kwa hiyo na ww kaka mkuu mshana jr huko Tae ulikwenda kwa personal issue huwezi kututonya ni issue gani ilikupeleka huko?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]labda kuna fursa
 
Kwa hiyo na ww kaka mkuu mshana jr huko Tae ulikwenda kwa personal issue huwezi kututonya ni issue gani ilikupeleka huko?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]labda kuna fursa
[emoji16][emoji16][emoji16]binafsi kaka
 
Mshana Jr nitake radhi.
Wewe unajua kabisa jiko nimechukulia Makanya halafu bila Soni unakuja hapa na kuharibu sifa za Kijiji atokako ubavu wangu?
 
Ngende ngende ngende hatari bila kusahau sehemu nyingine inatwa Pande kilwa
Nipo huku muda huu mkuu yaani full uchawi mpaka naogopa kulala leo,nimeingia Jana Liwale baada ya kutembea zaidi ya saa 10 kutoka Nangulukuru hadi Liwale,huwezi amini kiongozi Jana nilipanda gari pale Nangulukuru saa 8 mchana lkn ajabu tukaingia Liwale mjini saa 7 usiku[emoji15][emoji15] asubuhi nikajihimu kwenda Ngende gharama ya pikipiki go and return ni zaidi ya sh 35000[emoji15]nipo huku muda huu wakuu wangu niombeeni nirudi salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…