Uchawi ulivyotamalaki milima ya Same Upareni

Uchawi ulivyotamalaki milima ya Same Upareni

Uswahili ni shida sana. Nmeangalia mara 4 sioni mazingira ya ushirikina au kitu cha ajabu hapo. Pangekuwa tambalale then gari ikapaa kwenda kwenye nyumba tungeshangaa. Gari imeseleleka toka mlimani sasa uajabu wake nini? Tusipende kila jambo kulifanya kuwa ni issue ya kutolea mitazamo yetu au imai zetu. Jambo hili lipo wazi kabisa halina ukakasi wowote
Humu kuna watu wamelemazwa kwa kuzugwa...

Tuna safari ndefu sana..
 
Kwa mazingira hayo, mbona ni tukio la kawaida. Huyo dada shuhuda anasema gari lilitembea bila dereva/ kuendeshwa ni uchawi, kama handbrake/ emergency brake imeachia au haikuwa engaged na kuna mtelemko na nyuma ipo bondeni ajabu ni nini hapo?
Ingekuwa hivo, basi gari ingegonga ukuta na sio kuingia kwenye paa.yani ukuta ungebomoka
 
uchawi upo zaidi ugweno,usangi na lomwe..
muulize rais wa awamu ya 2.

nadhani hata kwenye kitabu chake hakusalimia na hataki kukumbuka!

aliporudi pwani akatafuta wataalam waliobobea akawatuma kule wakasafishe vijiji vya kishirikina!

ilitokea kasheshe kubwa sana wakati huo ikawa ndio habari ya mjini kipindi hicho!

kuna mzee ana mabasi yatokayo moshi-usangi (sitamtaja)huyo mzee ni fire.
ametesa sana matrafiki waliokuwa wanasumbua basi zake.

kuna trafik alizoea kupiga mkono basi zake hadi leo mkono umebakia kauunyosha juu.hapana chezea huyo mzee!

hiyo ni ruti yake na kila ijumaa usafiri ni bure ole wako konda uchkue nauli unajikuta secret parts hazipo...!
duhh, nlisomaga uko usangi zaman kdg na magari ya mosh usangi ilikua sahara kpnd hicho, sjui km bado yapo
 
Wengi wao Ila sio wote.

Chunguza watu wote wanaotuhumiwa Uchawi Wana sifa zifuatazo;

1. Waadilifu
2. Sio walevi
3. Sio watu wa kutia aibu
4. Wanakijistiri yaani wanavaa nguo za adabu.
5. Wana lugha nzuri.

Kwa ujumla Wenye tuhuma za uchawi sifa zao kitabia ni zile zile zinazofanana na Wacha Mungu.

Sema Washirikina wao ndio Wanazingua maana ndio wahuni
Kwa hiyo unataka kusema Mshana Jr ni mchawi?
 
Kuna mshkaji wangu Tanga ni afisa uhamiaji akaleta habari zake kuwa ana demu wa kipare na afisa mwenzake..Aisee nilimkatisha nikamwambia kaka usioe huyo mwanamke na piga chini kwakifupi wanawake wa kipare wengi niliokwisha wajua ni washirikina kinomanoma kwa experience yangu..Kumbe bwana katika mengi alonambia alinificha hayo na mimi nikawa nimegusa penyewe.Aisee akaniletea mfululizo wa visanga mpaka sio vizuri na mwisho wa siku akampiga chini.
 
Kwa hiyo na ww kaka mkuu mshana jr huko Tae ulikwenda kwa personal issue huwezi kututonya ni issue gani ilikupeleka huko?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]labda kuna fursa
 
Kwa hiyo na ww kaka mkuu mshana jr huko Tae ulikwenda kwa personal issue huwezi kututonya ni issue gani ilikupeleka huko?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]labda kuna fursa
[emoji16][emoji16][emoji16]binafsi kaka
 
Mshana Jr nitake radhi.
Wewe unajua kabisa jiko nimechukulia Makanya halafu bila Soni unakuja hapa na kuharibu sifa za Kijiji atokako ubavu wangu?
 
Ngende ngende ngende hatari bila kusahau sehemu nyingine inatwa Pande kilwa
Nipo huku muda huu mkuu yaani full uchawi mpaka naogopa kulala leo,nimeingia Jana Liwale baada ya kutembea zaidi ya saa 10 kutoka Nangulukuru hadi Liwale,huwezi amini kiongozi Jana nilipanda gari pale Nangulukuru saa 8 mchana lkn ajabu tukaingia Liwale mjini saa 7 usiku[emoji15][emoji15] asubuhi nikajihimu kwenda Ngende gharama ya pikipiki go and return ni zaidi ya sh 35000[emoji15]nipo huku muda huu wakuu wangu niombeeni nirudi salama
 
Back
Top Bottom