Mine eyes
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 6,496
- 7,162
Humu kuna watu wamelemazwa kwa kuzugwa...Uswahili ni shida sana. Nmeangalia mara 4 sioni mazingira ya ushirikina au kitu cha ajabu hapo. Pangekuwa tambalale then gari ikapaa kwenda kwenye nyumba tungeshangaa. Gari imeseleleka toka mlimani sasa uajabu wake nini? Tusipende kila jambo kulifanya kuwa ni issue ya kutolea mitazamo yetu au imai zetu. Jambo hili lipo wazi kabisa halina ukakasi wowote
Tuna safari ndefu sana..