Uchawi ulivyotamalaki milima ya Same Upareni

Nani akampiga chini mwenzake? Huyo mwanamke wa kipare au rafiki yako?
 
Wanawake wanaenda kwa babu kuchukua limbwata au?😂
 
Kuna jamaa yangu ameoa mpare Tena muislamu. Jamaa anazo Ila kila ndugu yake akienda kwa jamaa, jamaa anamfurusha. Hata ndugu zake wakimuomba pesa jamaa anawaambia wakamuambie waif wake. Waif wa jamaa Ni kila kitu amewajengea wazazi wa waif wake huko Same kabla hata hajajenga ya kwake.
Tangu zamani nilikua najua wanawake wa kipare hawaachiki.....kuumbeh
 
Maskini dada zangu wanasingiziwa mengi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Umeenda kuchukua mtaji wa 1000 au 2000? [emoji23][emoji23][emoji23] pole sana, hapo liwale mjini kuna bar ipo karibu na stand kuna malaya hatari
 
Maskini dada zangu wanasingiziwa mengi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Lakini Wana uzuri wao. Mwanamke wa kipare ni mvumilivu kupitiliza. Ndoa ya Mwanamke wa kipare haifi hata uwe huna hela yeye anaona unazo Ila Ni ubahili unaokusumbua Kama ndugu zake na wazazi wake na wajomba zake walivyo.
 
Umeenda kuchukua mtaji wa 1000 au 2000? [emoji23][emoji23][emoji23] pole sana, hapo liwale mjini kuna bar ipo karibu na stand kuna malaya hatari
Hiyo baa naifahamu mkuu wanajifanya very classic aisee,bei zao juu sana eti castle lager ndogo sh 2500 na k vant kubwa 13000!![emoji15][emoji15]Malaya wahudumu wanajisikia sana kutoa huduma,nimeangalia hapo game ya Yanga na biashara yaani full maringo hao mabaamedi sema kwasababu ni mgeni na mji nauogopa nikawa mpore tu
 
Lakini Wana uzuri wao. Mwanamke wa kipare ni mvumilivu kupitiliza. Ndoa ya Mwanamke wa kipare haifi hata uwe huna hela yeye anaona unazo Ila Ni ubahili unaokusumbua Kama ndugu zake na wazazi wake na wajomba zake walivyo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hakuna Malaya classic dunia hii hata wale covid 19 sio classic.
Kitendo Cha kua Malaya maana yake Ni mtu wa ngazi ya chini kabisa chini ya wazoa takataka au wafagia vyoo vya sokoni.
 
Hakuna Malaya classic dunia hii hata wale covid 19 sio classic.
Kitendo Cha kua Malaya maana yake Ni mtu wa ngazi ya chini kabisa chini ya wazoa takataka au wafagia vyoo vya sokoni.
Namaanisha hiyo baa yao kuwa classic sio wauza papuchi,utaitwaje classic muuza K??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…