jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
Nani akampiga chini mwenzake? Huyo mwanamke wa kipare au rafiki yako?Kuna mshkaji wangu Tanga ni afisa uhamiaji akaleta habari zake kuwa ana demu wa kipare na afisa mwenzake..Aisee nilimkatisha nikamwambia kaka usioe huyo mwanamke na piga chini kwakifupi wanawake wa kipare wengi niliokwisha wajua ni washirikina kinomanoma kwa experience yangu..Kumbe bwana katika mengi alonambia alinificha hayo na mimi nikawa nimegusa penyewe.Aisee akaniletea mfululizo wa visanga mpaka sio vizuri na mwisho wa siku akampiga chini.