Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
Ha ha ha ha ha eti Diamond aliwastua wasanii kama Jidenna.. ha ha wewe sio mzima..Diamond awezi hata kuvipangusa viatu vya Jidenna..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapana, diamond anaweza kutusua bila kiba, ila kiba hawezi kutusua bila diamond.tunaishi kwa kutegemeana, inawezekana pia diamond bila kiba asingekuwa kitu.
Ngw'ana Kabula
Mange alini block kitambo sana.Hata Mange kamshauri leo ndio mkae nae boss wenu mumwambie anachofanya kiba na yeye anaiga
Ndio mkae na boss wenu akafate ushauri wa Mange sio kila anachofanya kiba na yeye anafanya kiba kafanya show mbagala na yeye kaenda sema boss wenu inaonekana hapendi ushauriMange alini block kitambo sana.
Kuna siku alipost pumba kama kawaida yake ,nikamchana vilivyo mpaka leo kaniblock.
Afate ushauri wa Mange????????Ndio mkae na boss wenu akafate ushauri wa Mange sio kila anachofanya kiba na yeye anafanya kiba kafanya show mbagala na yeye kaenda sema boss wenu inaonekana hapendi ushauri
Mabashite wanashaurika toka lini msipoteze muda we huoni mfano kwa aliyeanzisha thread ?Ndio mkae na boss wenu akafate ushauri wa Mange sio kila anachofanya kiba na yeye anafanya kiba kafanya show mbagala na yeye kaenda sema boss wenu inaonekana hapendi ushauri
Aisee.Mabashite wanashaurika toka lini msipoteze muda we huoni mfano kwa aliyeanzisha thread ?
Huo ndio ujinga sasa kashauriwa vizuri sana hata kama Mange ana matatizo yake basi mwacheni awe mfuasi wa kiba kila anachofanya anamuigaAfate ushauri wa Mange????????
Huwezi kuwa serious kwa kweli.
Mange anajua nini kuhusu mziki?
Kweli mkuu kuwa na hizi mambo za uteam unakuwa kama kipofuMabashite wanashaurika toka lini msipoteze muda we huoni mfano kwa aliyeanzisha thread ?
Diamond na Ali kiba nani anamuiga mwenzake??Huo ndio ujinga sasa kashauriwa vizuri sana hata kama Mange ana matatizo yake basi mwacheni awe mfuasi wa kiba kila anachofanya anamuiga
Jibu unalo wewe hapo halaf upigie mstariDiamond na Ali kiba nani anamuiga mwenzake??
Embu nitajie kitu diamond alichomuiga KibaJibu unalo wewe hapo halaf upigie mstari
Ok.Msanii wa kimataifa ambaye pia ni mmiliki wa lebo ya WCB Diamond Platnumz hatimaye uchawi unaotumika kumshusha na kummaliza kabisa kisanii wagundulika.
Katika utafiti nilioufanya kwa miezi kadhaa hatimaye nimegundua kuwa kitendo cha diamond kulinganisha kazi zake za kimuziki na wasanii aliowazidi kimafanikio na kiuimbaji hasa huyu Ali kiba kinamrudisha nyuma sana diamond wakati huo huo mpinzani wake anafaidika sana kupitia mchuano huo ndio maana hataki bifu lao liishe.
Miaka kama miwili mitatu iliyopita diamond alipiga hatua kubwa sana za kimuziki mpaka akawashtua wasanii wakubwa duniani kama vile Chris Brown, Nelly, Neyo,Jiddena,Trey Songz,na wengineo wengi sana.
Na kikubwa kilichomfanya diamond kupiga hatua hiyo ni kitendo cha yeye kutoshughulika na wasanii wa kitanzania badala yake alipenda kulinganisha uwezo wake na wasanii kutoka nchi zingine hasa Nigeria.
Na mpinzani wake mkubwa kutoka Nigeria alikuwa David Adeleke Adedeji (DAVIDO) na kiasi kikubwa ilimsaidia diamond kujulikana sana Nigeria mpaka mashabiki wa muziki wengi walimtambua diamond kama msanii kutoka Nigeria.
Kipindi hichohicho pia Kenya walikuwa walishaanza kumtangaza Diamond kuwa ni msanii kutoka nchini kwao na kudai kuwa uthibitisho wanao.
Lakini kitendo cha Diamond kurudi nyuma na kulinganisha kazi zake na Ali Kiba kama hapo awali kimemrudisha nyuma sana Diamond na thamani yake halisi imeanza kufifia.
Rai ; Nikiwa kama shabiki nguli wa diamond napenda sana kumhusia aachane na Ali kiba , Kiba anatembelea nyota ya diamond kwa sasa na anaitumia kama daraja ili kuweza kuzivusha kazi zake za kimuziki mbali zaidi huku yeye diamond akizidi kufifia kimuziki.
Wewe utakuwa umetoka kishumundu, hujui mziki kabisa,, umeongea pumba Never seeMsanii wa kimataifa ambaye pia ni mmiliki wa lebo ya WCB Diamond Platnumz hatimaye uchawi unaotumika kumshusha na kummaliza kabisa kisanii wagundulika.
Katika utafiti nilioufanya kwa miezi kadhaa hatimaye nimegundua kuwa kitendo cha diamond kulinganisha kazi zake za kimuziki na wasanii aliowazidi kimafanikio na kiuimbaji hasa huyu Ali kiba kinamrudisha nyuma sana diamond wakati huo huo mpinzani wake anafaidika sana kupitia mchuano huo ndio maana hataki bifu lao liishe.
Miaka kama miwili mitatu iliyopita diamond alipiga hatua kubwa sana za kimuziki mpaka akawashtua wasanii wakubwa duniani kama vile Chris Brown, Nelly, Neyo,Jiddena,Trey Songz,na wengineo wengi sana.
Na kikubwa kilichomfanya diamond kupiga hatua hiyo ni kitendo cha yeye kutoshughulika na wasanii wa kitanzania badala yake alipenda kulinganisha uwezo wake na wasanii kutoka nchi zingine hasa Nigeria.
Na mpinzani wake mkubwa kutoka Nigeria alikuwa David Adeleke Adedeji (DAVIDO) na kiasi kikubwa ilimsaidia diamond kujulikana sana Nigeria mpaka mashabiki wa muziki wengi walimtambua diamond kama msanii kutoka Nigeria.
Kipindi hichohicho pia Kenya walikuwa walishaanza kumtangaza Diamond kuwa ni msanii kutoka nchini kwao na kudai kuwa uthibitisho wanao.
Lakini kitendo cha Diamond kurudi nyuma na kulinganisha kazi zake na Ali Kiba kama hapo awali kimemrudisha nyuma sana Diamond na thamani yake halisi imeanza kufifia.
Rai ; Nikiwa kama shabiki nguli wa diamond napenda sana kumhusia aachane na Ali kiba , Kiba anatembelea nyota ya diamond kwa sasa na anaitumia kama daraja ili kuweza kuzivusha kazi zake za kimuziki mbali zaidi huku yeye diamond akizidi kufifia kimuziki.
"Msanii wa kimataifa ambaye pia ni mmiliki wa lebo ya WCB Diamond Platnumz hatimaye uchawi unaotumika kumshusha na kummaliza kabisa kisanii wagundulika.