Uchawi unaotumika kummaliza kisanii Diamond Platnumz wagundulika.

Uchawi unaotumika kummaliza kisanii Diamond Platnumz wagundulika.

Huo ndio ukweli kataa usikatae.

Mashabiki wa kiba wakiongozwa na kiba mwenyewe hawataki bifu liishe kwa kuwa kiba anamtumia mondi kama daraja

Bila Mondi , Kiba hawezi kusimama kamwe kimuziki .
"FRESH" kumbe alikiba alimchana diamond!
 
Sir Chande aliondoka na goroli za Diamond kajaribu kwenda kuoga ziwa Tanganyika lakini mambo bado magumu..kijana wa Kariakoo si wa mchezo.
 
yaani hapo ndo tulipofikia Watanzania wenzetu wanapambana na ugumu wa maisha na jinsi ya kujikwamua na hali mbaya ya maisha wewe umekazana Diamond na Alli Kiba, mwisho wa siku unaanza kulalamika maisha magumu oohh kabana hela sasa unategemea kwa ushabiki huu kutolalamika njaa
Umefuata nini celebrities forum?

Wewe kama unahitaji hayo mambo ya uchumi nenda kwenye jukwaa husika

Usitupigie kelele hapa.
 
Bila hata kumshauri kwa jinsi alivyojipanga diamond nivigumu sana kushuka kisanii binafsi namkubali sana mange ila kwa ushauri huu nimeamini team kiba wanamdanganya sijawai kuona hizo show off za mond kwaajili ya kushindana na kiba sababu hata kabla ya kiba kufufuka hayo ndio yalikua maisha ya diamond.Pengine tunashindwa kuelewa mtu kufanya show off nimpaka uwe na vyakufanyia hiyo show off sasa kama huna utafanyaje hiyo show off? Muacheni kijana wawatu Mungu amembariki niwakati wake huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msanii wa kimataifa ambaye pia ni mmiliki wa lebo ya WCB Diamond Platnumz hatimaye uchawi unaotumika kumshusha na kummaliza kabisa kisanii wagundulika.

Katika utafiti nilioufanya kwa miezi kadhaa hatimaye nimegundua kuwa kitendo cha diamond kulinganisha kazi zake za kimuziki na wasanii aliowazidi kimafanikio na kiuimbaji hasa huyu Ali kiba kinamrudisha nyuma sana diamond wakati huo huo mpinzani wake anafaidika sana kupitia mchuano huo ndio maana hataki bifu lao liishe.


Miaka kama miwili mitatu iliyopita diamond alipiga hatua kubwa sana za kimuziki mpaka akawashtua wasanii wakubwa duniani kama vile Chris Brown, Nelly, Neyo,Jiddena,Trey Songz,na wengineo wengi sana.

Na kikubwa kilichomfanya diamond kupiga hatua hiyo ni kitendo cha yeye kutoshughulika na wasanii wa kitanzania badala yake alipenda kulinganisha uwezo wake na wasanii kutoka nchi zingine hasa Nigeria.

Na mpinzani wake mkubwa kutoka Nigeria alikuwa David Adeleke Adedeji (DAVIDO) na kiasi kikubwa ilimsaidia diamond kujulikana sana Nigeria mpaka mashabiki wa muziki wengi walimtambua diamond kama msanii kutoka Nigeria.

Kipindi hichohicho pia Kenya walikuwa walishaanza kumtangaza Diamond kuwa ni msanii kutoka nchini kwao na kudai kuwa uthibitisho wanao.

Lakini kitendo cha Diamond kurudi nyuma na kulinganisha kazi zake na Ali Kiba kama hapo awali kimemrudisha nyuma sana Diamond na thamani yake halisi imeanza kufifia.


Rai ; Nikiwa kama shabiki nguli wa diamond napenda sana kumhusia aachane na Ali kiba , Kiba anatembelea nyota ya diamond kwa sasa na anaitumia kama daraja ili kuweza kuzivusha kazi zake za kimuziki mbali zaidi huku yeye diamond akizidi kufifia kimuziki.


Kijana wa Tanzania fanya kazi, kwa nini unabweteka na vitu vya kijinga visivyo na faida kwako? Rais Mkapa anawatukana kila kukicha hamjapata ujumbe tu bado?
 
Kijana wa Tanzania fanya kazi, kwa nini unabweteka na vitu vya kijinga visivyo na faida kwako? Rais Mkapa anawatukana kila kukicha hamjapata ujumbe tu bado?
Acha unafiki .

Wewe umefata nini humu?

Kwa nini usiende jukwaa husika la mambo ya uchumi ?

Kama wewe unaishi maisha ya dhiki ni wewe usijilinganishe na wengine.
 
Ha ha ha ha ha eti Diamond aliwastua wasanii kama Jidenna.. ha ha wewe sio mzima..Diamond awezi hata kuvipangusa viatu vya Jidenna..
Bambi bambi aah aah bambi, no one can take you from me mmama, ooh baby girl, eti amlinganishe na domo!! Wacha nifurahi mie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom