Uchawi unaotumika kummaliza kisanii Diamond Platnumz wagundulika.

Uchawi unaotumika kummaliza kisanii Diamond Platnumz wagundulika.

Ukizungumzia mziki wa bongoflavour basi unamzungumzia Diamond na mchango wake kwenye mziki wa bongo hata vipofu wanauona ila wale viburi wachache ndo wanaigiza kama hawaoni na yy ndo ameupeleka mziki wa bongo kwny level nyingine so anastahili kuitwa King wa bongoflavour na kumfananisha Diamond na wasanii wengine wa bongo ni sawa na kumtukana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msanii wa kimataifa ambaye pia ni mmiliki wa lebo ya WCB Diamond Platnumz hatimaye uchawi unaotumika kumshusha na kummaliza kabisa kisanii wagundulika.

Katika utafiti nilioufanya kwa miezi kadhaa hatimaye nimegundua kuwa kitendo cha diamond kulinganisha kazi zake za kimuziki na wasanii aliowazidi kimafanikio na kiuimbaji hasa huyu Ali kiba kinamrudisha nyuma sana diamond wakati huo huo mpinzani wake anafaidika sana kupitia mchuano huo ndio maana hataki bifu lao liishe.


Miaka kama miwili mitatu iliyopita diamond alipiga hatua kubwa sana za kimuziki mpaka akawashtua wasanii wakubwa duniani kama vile Chris Brown, Nelly, Neyo,Jiddena,Trey Songz,na wengineo wengi sana.

Na kikubwa kilichomfanya diamond kupiga hatua hiyo ni kitendo cha yeye kutoshughulika na wasanii wa kitanzania badala yake alipenda kulinganisha uwezo wake na wasanii kutoka nchi zingine hasa Nigeria.

Na mpinzani wake mkubwa kutoka Nigeria alikuwa David Adeleke Adedeji (DAVIDO) na kiasi kikubwa ilimsaidia diamond kujulikana sana Nigeria mpaka mashabiki wa muziki wengi walimtambua diamond kama msanii kutoka Nigeria.

Kipindi hichohicho pia Kenya walikuwa walishaanza kumtangaza Diamond kuwa ni msanii kutoka nchini kwao na kudai kuwa uthibitisho wanao.

Lakini kitendo cha Diamond kurudi nyuma na kulinganisha kazi zake na Ali Kiba kama hapo awali kimemrudisha nyuma sana Diamond na thamani yake halisi imeanza kufifia.


Rai ; Nikiwa kama shabiki nguli wa diamond napenda sana kumhusia aachane na Ali kiba , Kiba anatembelea nyota ya diamond kwa sasa na anaitumia kama daraja ili kuweza kuzivusha kazi zake za kimuziki mbali zaidi huku yeye diamond akizidi kufifia kimuziki.
Ujinga
 
Acha unafiki .

Wewe umefata nini humu?

Kwa nini usiende jukwaa husika la mambo ya uchumi ?

Kama wewe unaishi maisha ya dhiki ni wewe usijilinganishe na wengine.


Nimekuja kuwahamasisha vijana msiojitambua, hivi hamchoki matusi mnayorushiwa na rais Mkapa kweli?
 
Kiba onyesha ukomavu, mpe pole Mheshimiwa kwa kutajwa katika kamati ya makinikia ya Vito. Kumbuka alikusifu na kukupa chati, mpe pole.
 
hapana, diamond anaweza kutusua bila kiba, ila kiba hawezi kutusua bila diamond.
upo kitimu sana, cinderella na kamwambie upi umetoka kabla?
acha kupaniki bifu kaanzisha mondi mwenyewe, kipindi kiba anatoka mondi alikua muuza mitumba karuma pale
 
Kiba ni kati wototo manunda sana toka Cinderala mpaka leo anasongesha gurudumu kivyake ila ndio kama ivi watu tuko busy kufukunyua maisha yake kama vipi tuombe akatike ulimi tu maana atakuja kutoa zaidi ya 'seduce me' hapo ndipo tutapigana wenyewe kwa wenyewe maana inaonekana hana gear ya reverse kama wenzake
 
Back
Top Bottom