Uchawi unaotumika kummaliza kisanii Diamond Platnumz wagundulika.

Uchawi unaotumika kummaliza kisanii Diamond Platnumz wagundulika.

Ushasikia wapi alikiba ana mdisi mond but nachojua mond anamchokoa sana kibakuli wawatu

Aimbe vzri atatoka sema nyimbo zake za kelele mala zilipendwa mala fire fire Kwann hamjiuliz i miss u inapendwa na kila mtu

Kwanza ni production nzuri
Sema mwishon angalia ana shngapi naww unashngapi

TUPIGANE KUPATA KATIBA MPYA
 
yaani diamond afate ushauri wa huyo mwehu chizi Mange?
Tushangae wote mzee mwenzangu.

Wa Tz wengi Mange Kimambi amewageuza kama mandondocha chochote atakachokisema wao wanaitikia tu bila kuhoji wala kujifikiria.
 
Dada zake chai jaba wanakuja kutetea kijana wao
 
yaani hapo ndo tulipofikia Watanzania wenzetu wanapambana na ugumu wa maisha na jinsi ya kujikwamua na hali mbaya ya maisha wewe umekazana Diamond na Alli Kiba, mwisho wa siku unaanza kulalamika maisha magumu oohh kabana hela sasa unategemea kwa ushabiki huu kutolalamika njaa
 
Huo ndio ukweli kataa usikatae.

Mashabiki wa kiba wakiongozwa na kiba mwenyewe hawataki bifu liishe kwa kuwa kiba anamtumia mondi kama daraja

Bila Mondi , Kiba hawezi kusimama kamwe kimuziki .

Nanani Huwa anamchokonoa mwenzie kila saa? Ukipata jibu hapo utajua Nani anaependa bifu
 
nilivyosoma 'uchawi' nikajua imepatikana hirizi au tunguli labda. tangu lini mashindano(hata yasiyo na kichwa wala miguu) yakawa uchawi boss?
 
Mondi hana jipya na sound zake za Kinaija...Uswahili mwingiiii...Unaenda P square walipo kimuziki
 
Tushangae wote mzee mwenzangu.

Wa Tz wengi Mange Kimambi amewageuza kama mandondocha chochote atakachokisema wao wanaitikia tu bila kuhoji wala kujifikiria.
Mange mwemyewe zero brain halafu anashauri watu.
Kashindwa mshauri mdogo ake sepenga akaanze shauri wasiomuhusu
 
Msanii wa kimataifa ambaye pia ni mmiliki wa lebo ya WCB Diamond Platnumz hatimaye uchawi unaotumika kumshusha na kummaliza kabisa kisanii wagundulika.

Katika utafiti nilioufanya kwa miezi kadhaa hatimaye nimegundua kuwa kitendo cha diamond kulinganisha kazi zake za kimuziki na wasanii aliowazidi kimafanikio na kiuimbaji hasa huyu Ali kiba kinamrudisha nyuma sana diamond wakati huo huo mpinzani wake anafaidika sana kupitia mchuano huo ndio maana hataki bifu lao liishe.


Miaka kama miwili mitatu iliyopita diamond alipiga hatua kubwa sana za kimuziki mpaka akawashtua wasanii wakubwa duniani kama vile Chris Brown, Nelly, Neyo,Jiddena,Trey Songz,na wengineo wengi sana.

Na kikubwa kilichomfanya diamond kupiga hatua hiyo ni kitendo cha yeye kutoshughulika na wasanii wa kitanzania badala yake alipenda kulinganisha uwezo wake na wasanii kutoka nchi zingine hasa Nigeria.

Na mpinzani wake mkubwa kutoka Nigeria alikuwa David Adeleke Adedeji (DAVIDO) na kiasi kikubwa ilimsaidia diamond kujulikana sana Nigeria mpaka mashabiki wa muziki wengi walimtambua diamond kama msanii kutoka Nigeria.

Kipindi hichohicho pia Kenya walikuwa walishaanza kumtangaza Diamond kuwa ni msanii kutoka nchini kwao na kudai kuwa uthibitisho wanao.

Lakini kitendo cha Diamond kurudi nyuma na kulinganisha kazi zake na Ali Kiba kama hapo awali kimemrudisha nyuma sana Diamond na thamani yake halisi imeanza kufifia.


Rai ; Nikiwa kama shabiki nguli wa diamond napenda sana kumhusia aachane na Ali kiba , Kiba anatembelea nyota ya diamond kwa sasa na anaitumia kama daraja ili kuweza kuzivusha kazi zake za kimuziki mbali zaidi huku yeye diamond akizidi kufifia kimuziki.
"Kiba anatembelea nyota ya diamond" huu msemo huwa siulewi,maana nilitegemea alikiba ndo awe Mtu wa kuanzisha bifu na diamond ili apate kiki,lkn imekuwa kinyume chake.
 
Back
Top Bottom