Uchawi unaotumika kummaliza kisanii Diamond Platnumz wagundulika.

Hata Mange kamshauri leo ndio mkae nae boss wenu mumwambie anachofanya kiba na yeye anaiga
 
Hata Mange kamshauri leo ndio mkae nae boss wenu mumwambie anachofanya kiba na yeye anaiga
Mange alini block kitambo sana.

Kuna siku alipost pumba kama kawaida yake ,nikamchana vilivyo mpaka leo kaniblock.
 
Mange alini block kitambo sana.

Kuna siku alipost pumba kama kawaida yake ,nikamchana vilivyo mpaka leo kaniblock.
Ndio mkae na boss wenu akafate ushauri wa Mange sio kila anachofanya kiba na yeye anafanya kiba kafanya show mbagala na yeye kaenda sema boss wenu inaonekana hapendi ushauri
 
Ndio mkae na boss wenu akafate ushauri wa Mange sio kila anachofanya kiba na yeye anafanya kiba kafanya show mbagala na yeye kaenda sema boss wenu inaonekana hapendi ushauri
Afate ushauri wa Mange????????

Huwezi kuwa serious kwa kweli.

Mange anajua nini kuhusu mziki?
 
Ndio mkae na boss wenu akafate ushauri wa Mange sio kila anachofanya kiba na yeye anafanya kiba kafanya show mbagala na yeye kaenda sema boss wenu inaonekana hapendi ushauri
Mabashite wanashaurika toka lini msipoteze muda we huoni mfano kwa aliyeanzisha thread ?
 
Afate ushauri wa Mange????????

Huwezi kuwa serious kwa kweli.

Mange anajua nini kuhusu mziki?
Huo ndio ujinga sasa kashauriwa vizuri sana hata kama Mange ana matatizo yake basi mwacheni awe mfuasi wa kiba kila anachofanya anamuiga
 
Huo ndio ujinga sasa kashauriwa vizuri sana hata kama Mange ana matatizo yake basi mwacheni awe mfuasi wa kiba kila anachofanya anamuiga
Diamond na Ali kiba nani anamuiga mwenzake??
 
Ok.
 
Wewe utakuwa umetoka kishumundu, hujui mziki kabisa,, umeongea pumba Never see

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"
KAULI YA MHENGA"
Tumia muda wako kufikiria na kuandika vitu vitakavyokusaidia to move to the next level of your achievement.
Sina hakika kama haya unayoaandika yanakupa huo msaada.
 
Eti shoo ya mbagala mavi kile kigagula cha abroad ki psychopath ile behind the scenes ya zilipendwa nyomi lile akitangaza kwenda kupiga show mtakalia kidole chakati mwenye rohombaya ni sawa na mchawi na muuaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…