robertmjavija
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 541
- 415
yaani diamond afate ushauri wa huyo mwehu chizi Mange?Ndio mkae na boss wenu akafate ushauri wa Mange sio kila anachofanya kiba na yeye anafanya kiba kafanya show mbagala na yeye kaenda sema boss wenu inaonekana hapendi ushauri
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]King Kiba anaishi maisha yake wala hakumbuki kama kuna kijana kutoka Tandale alikuwa anamlamba miguu.
Acheni uteam na uchizi wake mnaouona lakini kamashauri vizuriyaani diamond afate ushauri wa huyo mwehu chizi Mange?
Ukimaanisha?Huo ni mtazamo wako, chema chajiuza kaka, kweli ikdhihiri na uongo hujitenga
Sent using Jamii Forums mobile app
Tushangae wote mzee mwenzangu.yaani diamond afate ushauri wa huyo mwehu chizi Mange?
mi mwenyewe nimeshangaa koment yakeMkuu, tabia ya kusoma kichwa cha uzi tu na kukimbilia kujibu ni mbaya mno, inaweza kukuumbua vibaya mno!
Jifunze!
yule mwehu hakuna mtu mwenye akili timamu atakaemsikilizaAcheni uteam na uchizi wake mnaouona lakini kamashauri vizuri
Huo ndio ukweli kataa usikatae.
Mashabiki wa kiba wakiongozwa na kiba mwenyewe hawataki bifu liishe kwa kuwa kiba anamtumia mondi kama daraja
Bila Mondi , Kiba hawezi kusimama kamwe kimuziki .
Mange mwemyewe zero brain halafu anashauri watu.Tushangae wote mzee mwenzangu.
Wa Tz wengi Mange Kimambi amewageuza kama mandondocha chochote atakachokisema wao wanaitikia tu bila kuhoji wala kujifikiria.
Hata kina chris brown nao wana uswahili wa huko kwaoMondi hana jipya na sound zake za Kinaija...Uswahili mwingiiii...Unaenda P square walipo kimuziki
"Kiba anatembelea nyota ya diamond" huu msemo huwa siulewi,maana nilitegemea alikiba ndo awe Mtu wa kuanzisha bifu na diamond ili apate kiki,lkn imekuwa kinyume chake.Msanii wa kimataifa ambaye pia ni mmiliki wa lebo ya WCB Diamond Platnumz hatimaye uchawi unaotumika kumshusha na kummaliza kabisa kisanii wagundulika.
Katika utafiti nilioufanya kwa miezi kadhaa hatimaye nimegundua kuwa kitendo cha diamond kulinganisha kazi zake za kimuziki na wasanii aliowazidi kimafanikio na kiuimbaji hasa huyu Ali kiba kinamrudisha nyuma sana diamond wakati huo huo mpinzani wake anafaidika sana kupitia mchuano huo ndio maana hataki bifu lao liishe.
Miaka kama miwili mitatu iliyopita diamond alipiga hatua kubwa sana za kimuziki mpaka akawashtua wasanii wakubwa duniani kama vile Chris Brown, Nelly, Neyo,Jiddena,Trey Songz,na wengineo wengi sana.
Na kikubwa kilichomfanya diamond kupiga hatua hiyo ni kitendo cha yeye kutoshughulika na wasanii wa kitanzania badala yake alipenda kulinganisha uwezo wake na wasanii kutoka nchi zingine hasa Nigeria.
Na mpinzani wake mkubwa kutoka Nigeria alikuwa David Adeleke Adedeji (DAVIDO) na kiasi kikubwa ilimsaidia diamond kujulikana sana Nigeria mpaka mashabiki wa muziki wengi walimtambua diamond kama msanii kutoka Nigeria.
Kipindi hichohicho pia Kenya walikuwa walishaanza kumtangaza Diamond kuwa ni msanii kutoka nchini kwao na kudai kuwa uthibitisho wanao.
Lakini kitendo cha Diamond kurudi nyuma na kulinganisha kazi zake na Ali Kiba kama hapo awali kimemrudisha nyuma sana Diamond na thamani yake halisi imeanza kufifia.
Rai ; Nikiwa kama shabiki nguli wa diamond napenda sana kumhusia aachane na Ali kiba , Kiba anatembelea nyota ya diamond kwa sasa na anaitumia kama daraja ili kuweza kuzivusha kazi zake za kimuziki mbali zaidi huku yeye diamond akizidi kufifia kimuziki.