Ndama Jeuri
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 1,520
- 1,504
"FRESH" kumbe alikiba alimchana diamond!Huo ndio ukweli kataa usikatae.
Mashabiki wa kiba wakiongozwa na kiba mwenyewe hawataki bifu liishe kwa kuwa kiba anamtumia mondi kama daraja
Bila Mondi , Kiba hawezi kusimama kamwe kimuziki .
Umefata nini celebrities forum?Ukimaliza kuandika thread yako hii angalia mfukoni umeingiza ngapi mkuu
Una maanisha mimi dada au?Dada zake chai jaba wanakuja kutetea kijana wao
Umefuata nini celebrities forum?yaani hapo ndo tulipofikia Watanzania wenzetu wanapambana na ugumu wa maisha na jinsi ya kujikwamua na hali mbaya ya maisha wewe umekazana Diamond na Alli Kiba, mwisho wa siku unaanza kulalamika maisha magumu oohh kabana hela sasa unategemea kwa ushabiki huu kutolalamika njaa
Pole sanaUmefata nini celebrities forum?
Maana yake ya mchawi umeielewa?Ndio akili ya mswahili ilipofikia baaaasi!uchawi uchawi fanyeni kazi zenye ubora sio kutafuta mchawi
Msanii wa kimataifa ambaye pia ni mmiliki wa lebo ya WCB Diamond Platnumz hatimaye uchawi unaotumika kumshusha na kummaliza kabisa kisanii wagundulika.
Katika utafiti nilioufanya kwa miezi kadhaa hatimaye nimegundua kuwa kitendo cha diamond kulinganisha kazi zake za kimuziki na wasanii aliowazidi kimafanikio na kiuimbaji hasa huyu Ali kiba kinamrudisha nyuma sana diamond wakati huo huo mpinzani wake anafaidika sana kupitia mchuano huo ndio maana hataki bifu lao liishe.
Miaka kama miwili mitatu iliyopita diamond alipiga hatua kubwa sana za kimuziki mpaka akawashtua wasanii wakubwa duniani kama vile Chris Brown, Nelly, Neyo,Jiddena,Trey Songz,na wengineo wengi sana.
Na kikubwa kilichomfanya diamond kupiga hatua hiyo ni kitendo cha yeye kutoshughulika na wasanii wa kitanzania badala yake alipenda kulinganisha uwezo wake na wasanii kutoka nchi zingine hasa Nigeria.
Na mpinzani wake mkubwa kutoka Nigeria alikuwa David Adeleke Adedeji (DAVIDO) na kiasi kikubwa ilimsaidia diamond kujulikana sana Nigeria mpaka mashabiki wa muziki wengi walimtambua diamond kama msanii kutoka Nigeria.
Kipindi hichohicho pia Kenya walikuwa walishaanza kumtangaza Diamond kuwa ni msanii kutoka nchini kwao na kudai kuwa uthibitisho wanao.
Lakini kitendo cha Diamond kurudi nyuma na kulinganisha kazi zake na Ali Kiba kama hapo awali kimemrudisha nyuma sana Diamond na thamani yake halisi imeanza kufifia.
Rai ; Nikiwa kama shabiki nguli wa diamond napenda sana kumhusia aachane na Ali kiba , Kiba anatembelea nyota ya diamond kwa sasa na anaitumia kama daraja ili kuweza kuzivusha kazi zake za kimuziki mbali zaidi huku yeye diamond akizidi kufifia kimuziki.
Acha unafiki .Kijana wa Tanzania fanya kazi, kwa nini unabweteka na vitu vya kijinga visivyo na faida kwako? Rais Mkapa anawatukana kila kukicha hamjapata ujumbe tu bado?
Bambi bambi aah aah bambi, no one can take you from me mmama, ooh baby girl, eti amlinganishe na domo!! Wacha nifurahi mie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ha ha ha ha ha eti Diamond aliwastua wasanii kama Jidenna.. ha ha wewe sio mzima..Diamond awezi hata kuvipangusa viatu vya Jidenna..
asinge kuwa anatoa kauli ya kizuri kikosekana kibaya kinaonekana kizuri kwny kila interviewKing Kiba anaishi maisha yake wala hakumbuki kama kuna kijana kutoka Tandale alikuwa anamlamba miguu.
Kila nikiukumbuka uzi wako wa ramadhan nakosa majibu.kichwaniView attachment 581961hapa akiwa na Nelly
View attachment 581962hapa akiwa na mke wa Floyd Mayweather.
Kivipi na kwa nini?Kila nikiukumbuka uzi wako wa ramadhan nakosa majibu.kichwani