Uchawi vs akili

Kwa wale wamiliki wa vyombo vya usafiri magari,mabasi, taxi, etc
Unakuta kaweka kijichupa chenye mafuta, maji maji Fulani ndani yake,
ambayo yeye mwenyewe mmiliki wa Chombo hicho hajui yametokana na nini

AU karatasi yeye maandishi Fulani,

Au anaweka Rosali, tasbihi, kwenye rear mirror, AU wanaweka kwenye dashboard ya Gari.

Et ni Kwa ajili ya ulinzi wa chombo chake na yeye awewapo barabarani.

Je ni kwanini Wana viweka ndani ya Gari na Sio nje ya Gari ,ikawa kama ngao ya kumkinga na Ajali, ikiwa kama ni Kweli hivyo vitu vina uwezo wa kumkinga na Ajali..

Cha ajabu Wao ndio wameviweka salama kabisa, ndani ya Gari, yani Wao Sasa madereva ndio wanao vilinda visianguke wala kuharibika.

Jamani madereva fuatisheni Sheria zote za barabarani, na kuweni na uvumilivu muwapo barabarani,


Na kuna madereva wa mabasi utawakuta wamevaa bangili za Shaba AU silver, lakini bado wanakula mizinga,

Uchawi ni utapeli Tu
 

Dereva atapata confidence akitumia hivyo vidubwasha akiwa anaendesha Gari, akiamini Kwamba vinamlinda ,Lakin ukweli haviwezi (vidubwasha)kumzuia kupata Ajali barabarani
 
Dr. ROBERT Gallo alipotengeneza HIV kutokana na kuunganisha vinasaba kutoka Bovine Leucaemia Virus na Visna Virus wa Kondoo lengo lake lilikuwa kufelisha watu au kuwafaulisha
 
Vipi kuhusu kuchanganya imani za kidini na mambo ya kiserikali?
 
Vipi kuhusu kuchanganya imani za kidini na mambo ya kiserikali?
Wanasiasa wengi ni wajanja,wamesoma political science,
Iko ivi , apo mwanasiasa anataka akubalike na viongozi wa kidini, hence wafuasi wa Dini hiyo Nao wanakuwa Wana mkubali mwanasiasa.

Ndio maana unaona wanasiasa misikitini, makanisani wakipiga magoti kabisa Kwa unyenyekevu mkubwa kumbe wapi, anawaigiilizia kama ni MTU Wao kabisa wamuamini,

They just playing with your mind attitude
 
Sayansi naiona Ni tempo ya Uchawi inayojivika uungwana ilhali ndio fundraiser nambari moja wa matatizo mengi hapa Duniani..... ( uharibifu )
Huku wakiuita advancement.

They sanitize words to manufacture consent and first time impression ..... Sigmund Freud.( Freemason )

Sayansi haijawahi kugundua kitu bali inajitahidi kuelezea tu.... Albert Pike ( Freemason )

Why great scientist are members of secret societies ?
 
Freeman ni kikundi cha watu wenye talanta tofauti tofauti
 
Dr. ROBERT Gallo alipotengeneza HIV kutokana na kuunganisha vinasaba kutoka Bovine Leucaemia Virus na Visna Virus wa Kondoo lengo lake lilikuwa kufelisha watu au kuwafaulisha
Hiyo ni udhibutisho Tosha kuwa sayansi ina nguvu
 
Mkuu 90s kurudi nyuma wasomi walikuwa wachache Sana,

So nafasi za Kazi kwao zilikuwa nje nje,

Hali Sasa ni tofauti serikali imeshindwa Ku control Birth rate, watu ni wengi mno
Fursa za >Ajira haziendani na <Birth rate .

Viongozi wa Africa kuwa na ubinafsi, mambo ya hovyo Kwa Africa ni mengi sana
 
Hahahaaa!
 
Umemtaja mwamba Albert Pike
A man near the devil. Shida watu hawaelewi ndio maana wanakuja na justifications dhaifu wakijifanya wanajua kuhusu uchawi.
Everything is about power mafanikio ya mtu aliyesuuzwa ubongo yanaweza kukushangaza sana atakuja na kadegree kake ka chuo akiamini yeye ni wa tofauti ilihali wote tupo kwenye circle moja
Wewe ukihisi umeelimika anza kuchunguza kwanza aina ya elimu uliyopewa huko ulikotoka je inafanana na ile pesa aliyolipishwa mzazi wako? Kabla hujaanza kujifanya mjuaji wa mambo ya watu wakati hujui kitu,
Eti Uchawi hauna maana uko serious ?
 
Sasa mkuu ni jamii Gani hapa duniani ilifanikiwa Kwa kutumia uchawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…