Blender
JF-Expert Member
- Mar 5, 2022
- 4,870
- 8,035
- Thread starter
- #61
Kwa wale wamiliki wa vyombo vya usafiri magari,mabasi, taxi, etc
Unakuta kaweka kijichupa chenye mafuta, maji maji Fulani ndani yake,
ambayo yeye mwenyewe mmiliki wa Chombo hicho hajui yametokana na nini
AU karatasi yeye maandishi Fulani,
Au anaweka Rosali, tasbihi, kwenye rear mirror, AU wanaweka kwenye dashboard ya Gari.
Et ni Kwa ajili ya ulinzi wa chombo chake na yeye awewapo barabarani.
Je ni kwanini Wana viweka ndani ya Gari na Sio nje ya Gari ,ikawa kama ngao ya kumkinga na Ajali, ikiwa kama ni Kweli hivyo vitu vina uwezo wa kumkinga na Ajali..
Cha ajabu Wao ndio wameviweka salama kabisa, ndani ya Gari, yani Wao Sasa madereva ndio wanao vilinda visianguke wala kuharibika.
Jamani madereva fuatisheni Sheria zote za barabarani, na kuweni na uvumilivu muwapo barabarani,
Na kuna madereva wa mabasi utawakuta wamevaa bangili za Shaba AU silver, lakini bado wanakula mizinga,
Uchawi ni utapeli Tu