Haijalishi ni Ist, Passo, Carina, Teza, n.k. dada zetu wengi hasa wanaotembea kwa miguu wanachojua gari ni gari, japo ukiwa na mkoko wa maana inakuwa fresh zaidi kupata kuwapata wazoefu wanaomiliki magari ya kawaida.
Binafsi Nakumbuka takribani miaka 10 iliyopita nilipomaliA chuo nilipata sehem ya kujiegesha kwa kazi ambayo mshahara haukuzidi hata laki 4 lakini kama zali vile kuna ndugu alinipa kigari kinisaidie mizunguko ya mjini, Ilikuwa gari ya kiuchumi inatumia mafuta kidogo hivyo sikuhofia kupiga misele, nilikuwa mtunzaji sana wa gari sikuenda sana gereji, kitu pekee kilichokuwa kinanigharimu ni service ambayo ilikuwa naifanya kibahili kila baada ya miezi sita.
Ehh bwana weee !! wanawake wakikuona una gari tena hasa uwe kijana mdogo haujavuka 30 tayari wanajua una uelekeo mzuri kwenye future yako, wanakuona husband material. kumbe wasichojua mtu anaweza kuwa anaingiza chini ya elf 10 kwa siku ila anaweza kutumia gari, kazidiwa kipato hata kwa dereva wa daladala.
Kimasihara masihara nikaanza kutoa lifti kwa kisingizio cha "Dada nakuomba uingie kwenye gari nikusogeze, jua ni kali / mvua itanyesha" kitu imooo !!! niliwahi kuifanya hii hata kwa crush wangu niliekuwa namsaka kwa muda mrefu huku akinitolea nje, game niliisimamia ukuxha 😂 usiku kucha.
Ukiwa na gari usitumie zile mbinu za kuomba namba kwenye daladala ama mtaani ukiwa unafukuzia kwa mguu ama boda, inabidi ujiongeze thamani, tengeneza business card zako, hii inakupa thamani zaidi na kuwazuzua vilivyo kukuona una piga mishe nzito nzito na unalingana na hadhi wanavyokufikiria, kwamba unaweza hata kuja kuwapa konection, binafsi business card zangu zilikuwa za mchongo niliweka Jina la kampuni la kujitungia, nikajipa cheo mimi ni meneja, cha ukweli kilikua ni namba ya simu tu, akishuka mpe card yako na elf 2 ya boda, uhakika wa kukucheki ni 90 %.
kugharamika kwa kila pisi inaweza kukucost elf 20 ukiwa na kigeto chako, ukisema uende lodge huko kuna hela ya Ziada ya chumba.
Exit Strategy ni rahisi sana, waweza tu kusingizia mke wako kagundua, cha muhimu usiweke kambi, ukiweka kambi kwa muda mrefu huwezi ach kienyeji.