makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Mbona shilole hua anamtagHII ACCOUNT YA OFFICAL_UCHEBE ALISHAIKANA mara kibao tuu, kwenye friday night live, kwenye shilawadu, na vipindi vingine, alisema inamchafulia jina kila mara.. kuna jina anatumia insta.. silikumbuki..Na alisema yeye sio mtu wa mtandaoni kabisa.Kama sijakosea nadhania alisema yeye ni fundi magari mzuri na mda wote yupo kazini.. MIJITU INATUKANA HAPA VITU MSIVYOVIJUA..
Mimi mwenyekiti wa CHAWAMITA namfuta uanachamawewe wa mkoani huko kwenye Account ya uchebe unafatilia nini.??. Binafsi sio wa dar ila nimekutoa kwenye chama chetu wa mikoani hatuko hivyo..Hamia DAR Na wewe
Mwenyekiti wa CHAWAMITA nakufuta uanachamaPoa tuu mzee we nitoe tuu ila hawa jamaa hii ni too much!
Tena mke wake asipo chapa kazi, eti yeye hawezi kula....[emoji15] [emoji15] [emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuwa jamaa anamsifia mke wake ni mchapakaz[emoji23][emoji23][emoji23]
i dont know, labda anaichukulia hiyo page kama ya fans wao... hiyo page ameikana sana na alisema anashangaa page imepata umaarufu zaidi ya page yake kutokana na kutokushinda mtandaoni...hii ni kama ile page fake ya ITV yenye umaarufu mkubwa ambayo ITV, CAPITAL radio, radio one waliikana sio yao..Mbona shilole hua anamtag
Inabidi tufanye initiation (jando ) kwa tuvulana vya jfDuh..... hako lazima ni kavulana ka JamiiForums maana tuvulana siku hizi tujinga kabisa
kweli kabisaInabidi tufanye initiation (jando ) kwa tuvulana vya jf