Uchebe: Nimefurahi Zuwena kukubali kunizalia, namuomba aendelee kuchapa kazi tusikose hela ya kula

Uchebe: Nimefurahi Zuwena kukubali kunizalia, namuomba aendelee kuchapa kazi tusikose hela ya kula

Hamna mwanaume humu.. Ana jumba la kiuanaume ila ndani si mwanaume.. Mwanaume gani unaropoka haya yote tena bila aibu na kuifanya iwe post kabisa, ndio maana wanaotanuliwa malinda ni wengi.. Huyu bichwa ni empty set kabisa.
 
Kiben10 alaf kimarioo acheni tu aandike jaman anatafuta kula mwenzenu
 
HII ACCOUNT YA OFFICAL_UCHEBE ALISHAIKANA mara kibao tuu, kwenye friday night live, kwenye shilawadu, na vipindi vingine, alisema inamchafulia jina kila mara.. kuna jina anatumia insta.. silikumbuki..Na alisema yeye sio mtu wa mtandaoni kabisa.Kama sijakosea nadhania alisema yeye ni fundi magari mzuri na mda wote yupo kazini.. MIJITU INATUKANA HAPA VITU MSIVYOVIJUA..
 
Mbona shilole hua anamtag
 
Wanaume wa Dar wanatuaibisha sana,mfano huyu mpuuzi kila kitu "ahsante zuwena"
 
wewe wa mkoani huko kwenye Account ya uchebe unafatilia nini.??. Binafsi sio wa dar ila nimekutoa kwenye chama chetu wa mikoani hatuko hivyo..Hamia DAR Na wewe
Mimi mwenyekiti wa CHAWAMITA namfuta uanachama
 
Mbona shilole hua anamtag
i dont know, labda anaichukulia hiyo page kama ya fans wao... hiyo page ameikana sana na alisema anashangaa page imepata umaarufu zaidi ya page yake kutokana na kutokushinda mtandaoni...hii ni kama ile page fake ya ITV yenye umaarufu mkubwa ambayo ITV, CAPITAL radio, radio one waliikana sio yao..

UPDATE
account ya uchebe ni UCHEBE1 something like that...
 
Back
Top Bottom