A
Anonymous
Guest
Kila mwezi serikali inaingiza fedha za uendeshaji shule kwa kuzingatia idadi ya wanafunzi, fedha hizo zimekuwa zikichelewa sana na kusababisha kero kwa walimu , lakini upande wa sekondari huwekewa fedha zao mapema.
Pamoja na changamoto hizo wanazopitia walimu wako baadhi ya madiwani wanaopanda majukwaani na kushutumu walimu kula fedha hizo hata kwa miezi ambayo shule hazijapata fedha.
Mfano wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro shule hazijapokea fedha kutoka mwezi wa tisa kisha zikapokea mwezi wa kumi, kumi na moja haijapokea hadi leo, maandalizi ya ufunguzi wa shule yanafanyikaje ?