S SELF-CHANGe loveTz New Member Joined Jun 12, 2024 Posts 1 Reaction score 0 Jun 13, 2024 #1 Hi Naomba serikali kuvunja mfumo wa kuuza mazao katika vyama vya msingi kwani vimekua vikitunyima uhuru katika mazao yetu. Baadhi ya Vyama hivyo vimekua vikichelewesha Malipo kwa wakulima pasipo na sababu yeyote. Kuna muda kukaa na pesa za wakulima mbaka mwezi Baadhi ya mnada kupitishwa na minada kuendelea kufanyika hii inamfanya mkulima. kuvunjika moyo .
Hi Naomba serikali kuvunja mfumo wa kuuza mazao katika vyama vya msingi kwani vimekua vikitunyima uhuru katika mazao yetu. Baadhi ya Vyama hivyo vimekua vikichelewesha Malipo kwa wakulima pasipo na sababu yeyote. Kuna muda kukaa na pesa za wakulima mbaka mwezi Baadhi ya mnada kupitishwa na minada kuendelea kufanyika hii inamfanya mkulima. kuvunjika moyo .
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 14,239 Reaction score 15,876 Jun 30, 2024 #2 Pole mpambanaji. KAZI ni kipimo cha UTU