SELF-CHANGe loveTz
New Member
- Jun 12, 2024
- 1
- 0
Hi
Naomba serikali kuvunja mfumo wa kuuza mazao katika vyama vya msingi kwani vimekua vikitunyima uhuru katika mazao yetu.
Baadhi ya Vyama hivyo vimekua vikichelewesha Malipo kwa wakulima pasipo na sababu yeyote.
Kuna muda kukaa na pesa za wakulima mbaka mwezi Baadhi ya mnada kupitishwa na minada kuendelea kufanyika hii inamfanya mkulima.
kuvunjika moyo .