Gwalihenzi
JF-Expert Member
- Oct 21, 2011
- 5,125
- 1,301
Wewe ni mpuuzi siku zote, huwezi kusimama kwa hoja zako, kazi yako ni kudandia na kupotosha hoja za watu wengine!Wewe umekuja na ushahidi upi zaidi ya pumba tu? Maswali yako yote yamejibiwa na Mohamed Said ukarukia Somalia na Nigeria. Duhhh, Mohamed Said kakupa za USO mpaka hujijui hujitambui.
Sasa hapa ndio ukweli wa kwanini kazi yako huwezi KABISA kuiita ni kazi ya kihistoria. Katika uandishi wa historia kuna kitu kinaitwa "historical method" yaani namna ya kuandika au kusimulia tukio la kihistoria. Hii ni tofauti na mtu anapofanya kile kinachojulikana kama "scientific method". Sasa historical method kwa mujibu wa Wikipedia (unaweza kupata sources nyingine nzuri zaidi) ni:
comprises the techniques and guidelines by which historians use primary sources and other evidence to research and then to write histories in the form of accounts of the past.
Sasa, mwandishi wa historia anatakiwa aende karibu zaidi na primary sources kabla ya kwenda kwenye secondary sources. Unapoenda kwenye primary sources you are close to credibility of your information kuliko kwenda kwenye secondary or tertiary sources.
Sasa what constitutes a primary source? hiyo hiyo Wikipedia inaeleza hivi na kutoa mfano:
Primary sources are original materials.[SUP][1][/SUP] Information for which the writer has no personal knowledge is not primary, although it may be used by historians in the absence of a primary source. na inaendelea na kusema In the study of history as an academic discipline, a primary source (also called original source or evidence) is an artifact, a document, a recording, or other source of information that was created at the time under study.
Bahati mbaya sana katika maandishi yako unawataka wasomaji wako waamini kuwa documents ulizoziona wewe ndivyo zilivyo! Unasema ulioneshwa barua na familia ya Sykes na watu wengine lakini kwenye kitabu chako hujathubutu kuweka hata moja hadharani. Umedai kuwa Nyerere alidai kuwa hakufahamu cheo cha Abdul wakati anajiunga TAA lakini hujathubutu kuweka sehemu ya hotuba hiyo (unawataka wasomaji wakatafute TBC).
Sasa mzee mwenzangu hiyo siyo historia ndio maana nimeiita 'histohisia' yaani unaandika historia kwa kuongozwa na hisia. Historia ni taalum ambayo ina kanuni zake na misingi yake. Kuandika mambo yaliyotokea huko nyuma na ukayaelezwa kwa kirefu haitoshi kufanya historia. HIstoria ni pale ambapo unaweza kuonesha ushahidi wa kile kilichotokea kwa kutumia vyanzo vya msingi (primary sources).
Hili si kweli; kazi ya kusomi ili iweze kukosolewa kisomi inahitaji kuandikwa kisomi vile vile. Na ili iandikiwe kisomi ni lazima basi ifuate kanuni za taalum. Ya kwako siyo kazi ya kihistoria kwa hiyo ukosoaji wowote utakuwa ni kama huu unaofanyika ambao kwa kweli ni ukosoaji wa fasihi (literature review/criticism). Kwa sababu tayari tumeonesha kwa muda mrefu sasa kuwa kazi yako siyo ya kisomi na haifuati misingi ya uandishi wa kihistoria kilichobakia ni kukosoa uandishi wako tu kama kazi ya fasihi.
Randal Saldeir anaandika kwa kirefu juu ya kitabu chako -UNAWEZA KUSOMA KWA KIREFU HAPA - na anakutana na matatizo haya. Yeye anaeleza hivi katika review yake:
Lakini unaweza kusema huyu mtu aliwajua vipi: Well aliishi Tanganyika/Tanzania kuanzia 1943 hadi 1973 na anajielezea hivi kwenye hiyo review:
Huyu bwana tungeweza kumuita kwa uhakika kabisa kuwa ni "primary source" na maneno yake ni mazito. Katika hitimisho lake anasema hivi:
Sasa huyu mzee wakati anaandika review hii ilikuwa ni 1999 naamini ilikuwa ni baada ya toleo lako la kwanza; anasema hujaweza kumshawishi kuwa Nyerere alikuwa na chuki dhidi ya Waislamu au serikali na kanisa vilikuwa na njama dhidi ya Uislamu. Anasema case not proven! Na anasema akiwa mtu aliyeishi na kuwafahamu karibu wahusika wote wakuu wa kitabu chako. Sisi leo tunapohoji haya haya tunaangalia methodology uliyotumia ndio maana tunakukatalia kwua siyo kitabu cha historia. Ulichoandika huwezi kupeleka kwenye mahakama ya watu na ukawashawishi kwani kote wataulize 'show us your evidence"... so far you have failed miserably!
Hana mchango wowote zaidi ya ushabiki wenu wa kipumbavu!Ndugu yangu zomba, karibu sana kwenye huu uzi tunaitaji michango yako.
Wanajamvi, kumbukeni kuwa huu ulikuwa mkutano mkuu wa TAA April 1946. Ni matarajio kuwa mkutano mkuu ulihudhuriwa na wajumbe kutoka makao makuu. Kama nimeelewa vema mkutano mkuu ulihudhuriwa na Kasella, Dossa na Phombeah. Sasa soma hii tenaKumbe basi Nyerere alishaanza siasa akiwa katibu wa AA Tawi la Tabora. Kwa vile alikuwa katibu wa tawi muhimu namna hiyo vipi baadaye TAA makao makuu wasiwe wamesikia habari zake? Hapa Mohamed anakiri kuwa wanafunzi wa Makerere akiwemo Mwapachu na Nyerere tayari walikuwa katika msisimko wa kisiasa. AnaendeleaKwamba alichofanya Abdu Sykes si kuwaingiza katika siasa ili waanze kama anavyodai Mohamed katika majibu mengine bali kuwashirikisha katika siasa za jiji.Hapa Mohamed anamlenga Nyerere kwa kusema kila aliyetoka bara alifika kwa Abdul Sykes ili kupata ufahamu wa siasa kwanza. Alichosahu ni kuwa Nyerere huyo huyo alikuwa katibu wa AA Tabora(kwa maneno yake) na alianza siasa tangu Makerere (kwa maneno yake Mohamed).
Hakuishia hapo aliendelea kumnanga Nyerere kama hivi Mohamed anasema Ahaa1 kumbe walikuwepo akina John Rupia,Stephen Mhando katika subcommitee, sasa iweje Mohamed atambe kuwa baraza la wazee wa TANU iliyokuja baada ya TAA ilikuwa na Waislam walioleta Uhuru? Halfu hapa tunaona majina zaidi ya yale ya Clement Mtamila na Vedastus Kyaruzi. So far kuna Rupia, Dunstan Omar, Stephen Mhando, Clement Mtamila. Sasa inakuwaje Mohamed aseme wazee wake ni waislam na si wazee wote? Mohamed is on offensive against Nyerere, soma hii Hapo Mohamed ametumbukiza ukatoliki wa Nyerere kwanza, kisha kumwekea maneno kwa kutumia neno ''inasemekana''. Mohamed hakuwahi kumhoji Nyerere lakini alifahamu vema kuwa alikuwa mnyenyekevu wa kanisa na Serikali ili kulinda kibarua chake. Ni Mohamed huyo huyo alitueleza kuwa akiwa Makerere na Tabora Nyerere tayari alikuwa katika siasa, kwanini basi aanze kuhofia kibarua, serikali na Kanisa alipofika Dar? Maana yake ni kutaka kumshusha katika watu waliopigania uhuru kama anavyosema hapa Halafu akaendelea na chuki dhidi ya Nyerere na dini yake Hapa Mohamed anasahau kuwa Dr Vedastus Kyaruzi aliwahi kuwa kiongozi wa TAA licha ya Ukristo wake. Amewasahau akina John Rupia, Stephen Mhando na Clement Mtamila kuwa kwa Nayakati fulani walikuwa viongozi katika mji ule ule ambao Nyerere asingeweza kuwa kiongozi kwa ukristo wake.
Fikiria wakati unasoma, ukimeza bila kutafuna utajikuta umemeza ''Ngano'' kama si Mashudu.
Hana mchango wowote zaidi ya ushabiki wenu wa kipumbavu!
Mkuu Mzee Mwanakijiji, hapo kwenye bold naomba kutofautiana na wewe kidogo, kwa vile Maalim Mohamed Said is "a man with a mission" lengo lake likiwa ni kueneza uwongo, uzushi, uchanganishi, fitna, uchochezi in the name of Islam, na hii thread mpaka sasa imesomwa na watu 22,482, na kuchangiwa na watu 2,185!, hayo ni mafanikio makubwa sana kwa "a man with a mission", ni kama amadurufu copy nyingine 20,000 za kitabu chake cha uzushi, uchochezi na uchonganishi, ndio maana this time he is more happy kila akipata mwanya alikuwa anazidi kumwaga sumu!. Japo tumemkosoa sana, ila pia amefanikiwa kupata uungwaji mkono mkubwa tuu ikiwa ni pamoja na ku recruit some few diciples ambao wanaamini hii ni vita ya Jihad, na ndio hawa ambao watakuwa tayari kufanya lolote in the name of Islam!, hivyo amefanikiwa sana!. The more we post, the more he gets, and this makes him very successful and very happy!.Sasa huyu mzee wakati anaandika review hii ilikuwa ni 1999 naamini ilikuwa ni baada ya toleo lako la kwanza; anasema hujaweza kumshawishi kuwa Nyerere alikuwa na chuki dhidi ya Waislamu au serikali na kanisa vilikuwa na njama dhidi ya Uislamu. Anasema case not proven! Na anasema akiwa mtu aliyeishi na kuwafahamu karibu wahusika wote wakuu wa kitabu chako. Sisi leo tunapohoji haya haya tunaangalia methodology uliyotumia ndio maana tunakukatalia kwua siyo kitabu cha historia. Ulichoandika huwezi kupeleka kwenye mahakama ya watu na ukawashawishi kwani kote wataulize 'show us your evidence"... so far you have failed miserably!
Kama yote haya unayajua kipi kinachokuzuia usiandike kitabu?
Mkuu Nguruvi3, kiukweli andiko la Mohamed Said ni Changamoto!, kuandika kitabu ni changamoto!.
Mara baada ya kifo cha Regia, baadhi ya wana jf, tulikutana pale British Council na tukaazimia kumuenzi kwa kuchapisha kitabu cha aliyoyapigania!. Hapo ndipo ilipozaliwa RMF.
Juzi wakati tunaadhimisha mwaka 1 wa kifo chake, nikitegemea kitabu kitazinduliwa, ndipo nikaelezwa na Mkuu Sanctus Mtsimbe, kitabu kimekwama kwa sababu hakuna funds, ilihitajika TZS 2,000,000 kuchapisha nakala 1000 za kwanza!.
Kiukweli nilisikitika na kujijutia nafsi yangu kwa sababu mimi ni mmoja wa wahusika, kama nilispend six figure kwenye msiba hadi mashishi, na kila mwaka ninaspend six figure as direct contri to support jf, tumeshindwaje ku raise TZS 2,000,000 ndani ya mwaka mzima!. Niliumia na kama mmoja wa waendeshaji wa kumbukumbu ile, niliiniate harambee na pale pale zilipatikana zaidi ya TZS 2,000,000!.
Hivyo hili suala na kuandika historia ya kweli, tukiamua, tunaweza!.
Nashauri, kwa vile Maalim Mohamed Said was "a man with a mission", na ame acomplish his mission for the past 15 years, tusiendelee kumbana humu, haisaidii zaidi ya kurefusha tuu huu mnakasha, lets be serious and do something positive as a counter measure!.
Kwa kuanzia liandaliwe tuu andiko dogo lenye kicha cha habari
Uwongo, Uzushi, Uchochezi na Upotoshaji wa Mohamed Said Dhidi ya Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere.
Humo tuweke ile mistari ya uwongo na ushushi ya Mhamed Saidi along side ukweli halisi wa mambo kama hatua ya awali ya kumfunga mdomo, asiendelee kupotosha humu, ili upotoshaji na uchochezi wake aendelee nao huko kwenye mihadhara, not jf, not anymore!.
Pasco.
Mkuu Mzee Mwanakijiji, hapo kwenye bold naomba kutofautiana na wewe kidogo, kwa vile Maalim Mohamed Said is "a man with a mission" lengo lake likiwa ni kueneza uwongo, uzushi, uchanganishi, fitna, uchochezi in the name of Islam, na hii thread mpaka sasa imesomwa na watu 22,482, na kuchangiwa na watu 2,185!, hayo ni mafanikio makubwa sana kwa "a man with a mission", ni kama amadurufu copy nyingine 20,000 za kitabu chake cha uzushi, uchochezi na uchonganishi, ndio maana this time he is more happy kila akipata mwanya alikuwa anazidi kumwaga sumu!. Japo tumemkosoa sana, ila pia amefanikiwa kupata uungwaji mkono mkubwa tuu ikiwa ni pamoja na ku recruit some few diciples ambao wanaamini hii ni vita ya Jihad, na ndio hawa ambao watakuwa tayari kufanya lolote in the name of Islam!, hivyo amefanikiwa sana!. The more we post, the more he gets, and this makes him very successful and very happy!.
Dawa pekee ni ku denounce andiko lake kwa andika la ukweli. Kama amezaliwa 1952, mwaka huu he is 61!, nashauri kazi hii ifanyike mapema akingali hai, ili ashuhudie ule uwongo wake ukiwa defeated akingali hai na uwe screped from literacy books such that ikifika jioni yake wakati wa kulala, "he should sleep a miserable man indeed!". If he sleeps anytime now kabla hatujafanya kitu, "he'll sleep a happy man!" and "a hero wa Wazee wa Darisalama!".
Pasco.
Mkuu Pasco,
Umeongea jambo la msingi sana hata mimi nilitoa ushauri kama wako humu JF.
Jambo la msingi unganisheni nguvu za pamoja Jasusi, adolay, Fundi Mchundo, WildCard, Pasco, Nguruvi3, Mzee Mwanakijiji, Yericko Nyerere, Mag3, muandike hicho kitabu mkosoe halafu muweke ukweli. Bahati mbaya waandishi wote mtakuwa Wakiristu.
Mkuu Pasco,
Umeongea jambo la msingi sana hata mimi nilitoa ushauri kama wako humu JF.
Jambo la msingi unganisheni nguvu za pamoja Jasusi, adolay, Fundi Mchundo, WildCard, Pasco, Nguruvi3, Mzee Mwanakijiji, Yericko Nyerere, Mag3, muandike hicho kitabu mkosoe halafu muweke ukweli. Bahati mbaya waandishi wote mtakuwa Wakiristu.
Tusisahau haya yaliyomo kwenye thread hizi tatu, ipo ile ya Mohamed Said, ile ya Mag3 na hii ya Yericko Nyerere. Tuwashirikishe pia watu na taasisi nyingi kama MNF, Kigoda cha Mwalimu, BAKWATA,..., nia ni kuweka sawa historia ya nchi yetu na kiongozi mkuu wa kwanza wa Taifa hili.Tutawajumuisha wewe na wenzio wote akiwamo Mohamed Said!
Tutawajumuisha wewe na wenzio wote akiwamo Mohamed Said!
Tusisahau haya yaliyomo kwenye thread hizi tatu, ipo ile ya Mohamed Said, ile ya Mag3 na hii ya Yericko Nyerere. Tuwashirikishe pia watu na taasisi nyingi kama MNF, Kigoda cha Mwalimu, BAKWATA,..., nia ni kuweka sawa historia ya nchi yetu na kiongozi mkuu wa kwanza wa Taifa hili.