Uko sahihi kabisa, kwa nyie mnaofikiri kwa makalio atakuwa na mchango mkubwa sana!
Hata hiyo kauli ya Allah ilibidi iandikwe na watu. Tuyaache hayo. Mimi sina utaalam wowote wa DINI. Mara ya kwanza unakiri kwamba makosa yamo kwenye kile kitabu chako. Nakupongeza sana kwa hilo. Hakuna aliye mkamilifu. Kama tutafanikiwa kukiandika kitabu hiki tutakushirikisha sana tu. Una akili sana nami naamini bado unayo mengi unayoyafahamu kuhusu historia ya Taifa hili.
Naomba idhini yenu nitoe ushauri kama mtaridhia.
Nyie mmetaharuki.
Kitu ukikifanya katika hali ya taharuki hakiongoki.
Ngoja nikupeni mfano mdogo.
Mie hosoma post zenu kwangu na kwa wengine.
Mnaandika mkiwa mmeghadhibika na taharuki inaingia.
Nini matokeo yake?
Mara nyingi mnaishia katika maneno makali na hata matusi
na kejeli.
Katika njia hii mnashindwa kirahisi sana.
Huenda nyie wenyewe mkaona mmemuweza mtu...
Lakini wafikirie wale wengine wanaokusoma wanaposoma matusi
au kejeli zako.
Fikiri watu wale wanakuonaje?
Sasa hili la kuandika kitabu kwa kweli ni kitu cha hekima sana lakini
kuandika kunataka utulivu wa fikra.
Huwezi kuwa na utulivu wa fikra katika taharuki.
Hizi ni dalili za kuishiwa hoja.
Nakushauri tu huu uzi unasomwa na watu 21,000.
Ficha Upumbuvu wako onyesha Hekima zako.
Zaidi ya apo utakuwa unawatukanisha wazazi wako...ni hiara yako kufuata au kupuuza.
Ritz, huu ushauri wa kipumbavu ungeuelekeza kwa mzee wako muovu Mohamed Saidi, kwani uchochezi anaoueneza hapa nchini madhara yake ni makubwa mno! lakini kwakuwa akili yako changa imeegemea kwenye imani mfu hulioni hili!Hizi ni dalili za kuishiwa hoja.
Nakushauri tu huu uzi unasomwa na watu 21,000.
Ficha Upumbuvu wako onyesha Hekima zako.
Zaidi ya apo utakuwa unawatukanisha wazazi wako...ni hiara yako kufuata au kupuuza.
ritz, huu ushauri wa kipumbavu ungeuelekeza kwa mzee wako muovu mohamed saidi, kwani uchochezi anaoueneza hapa nchini madhara yake ni makubwa mno! Lakini kwakuwa akili yako changa imeegemea kwenye imani mfu hulioni hili!
ritz,
nilipokuwa mtoto wa miaka 12 nilijaribu masumbwi ''boxing.''
ulingo ulikuwa unafungwa pale mtaa wa msimbazi na aggrey
sasa lindi.
Aliyekuwa akituingiza kupigana kijana mmoja akiitwa hassan
makwasukwasu.
Yeye kwa umri alikuwa katuzidi sisi ''mabondia'' wake.
Sikuziweza ngumi.
Kipaji changu kilikuwa kwenye mpira.
Nikarudi makunguru kucheza mpira ni hapo hapo msimbazi
kana unaelekea siku zile dmt baadae uda pugu road sasa
nyerere road.
Hata hivyo nikampenda cassius clay kisha muhammed ali.
Ali katika biography yake ''the greatest'' anasema baada ya
kutoka kifungoni aliponyang'anywa leseni ya kupigana kuna kitu
cha ajabu sana kilimjia katika hali yake.
Nacho ni huruma wakati anapombana na bondia ambaye yeye
anajua wazi hana uwezo wa kupigana na yeye.
Anasema kabla ya hapo yeye alikua yoyote aliye mbele yake
katika ulingo lazima apewe kipigo.
Hali ile ya ali na mimi imeshanifika.
Hakika sijisikii raha kupambana na hawa jamaa zangu humu.
Hili nalisema kwa dhati ya nafsi yangu.
Huruma na simanzi imeniingia moyoni.
BIG SHOW, you are a stiff naked fool, you can't stand on you own feet! p/se keep away your stinking mouth!imetosha sasa,unatuchafulia hali ya hewa,lugha za matusi za nini?
Ziwapi busara zako?
Yericko wakanye hawa ndugu zako.
Hehee duuuh taratibu jamani, tutafika tu!Ritz, huu ushauri wa kipumbavu ungeuelekeza kwa mzee wako muovu Mohamed Saidi, kwani uchochezi anaoueneza hapa nchini madhara yake ni makubwa mno! lakini kwakuwa akili yako changa imeegemea kwenye imani mfu hulioni hili!
Ritz,
Nilipokuwa mtoto wa miaka 12 nilijaribu masumbwi ''boxing.''
Ulingo ulikuwa unafungwa pale Mtaa wa Msimbazi na Aggrey
sasa Lindi.
Aliyekuwa akituingiza kupigana kijana mmoja akiitwa Hassan
Makwasukwasu.
Yeye kwa umri alikuwa katuzidi sisi ''mabondia'' wake.
Sikuziweza ngumi.
Kipaji changu kilikuwa kwenye mpira.
Nikarudi Makunguru kucheza mpira ni hapo hapo Msimbazi
kana unaelekea siku zile DMT baadae UDA Pugu Road sasa
Nyerere Road.
Hata hivyo nikampenda Cassius Clay kisha Muhammed Ali.
Ali katika biography yake ''The Greatest'' anasema baada ya
kutoka kifungoni aliponyang'anywa leseni ya kupigana kuna kitu
cha ajabu sana kilimjia katika hali yake.
Nacho ni huruma wakati anapombana na bondia ambaye yeye
anajua wazi hana uwezo wa kupigana na yeye.
Anasema kabla ya hapo yeye alikua yoyote aliye mbele yake
katika ulingo lazima apewe kipigo.
Hali ile ya Ali na mimi imeshanifika.
Hakika sijisikii raha kupambana na hawa jamaa zangu humu.
Hili nalisema kwa dhati ya nafsi yangu.
Huruma na simanzi imeniingia moyoni.
nimeipenda sana busara hii,
ahsante sana ndugu yangu.
umekielewa alichokiandika?
Mhh!Moja ya matatizo makubwa uliyonayo na ambayo ni wachache sana wanaoweza kukugundua hapa jamvini ni katabia kako kakuwalisha/kuwabebea fikra watu vichwani mwao,
Umekuwa kinurulishi cha wasiokuwa na hatia kwa kuwahatiisha vyovyote utakavyo!
Kunamabo nilitarajia kujifunza kutokana na majibu ya maswali ya Nguruv3, bahati mbaya alieulizwa hajayajibu.
Lau ningepata mtiririko mzuri wa majibu yake ningepanua ufaham wangu.
By Nguruvi3
1. Nyerere alikuja kwa mara ya kwanza lini Dar kama ulivyoulizwa?
2. Akienda UNO baada ya kuchangiwa fedha na wazee wako safari yake ilianzia wapi?
3.Halafu ulishaulizwa EAMWS ilianzia wapi na kwanini huko ilikoanzia haipo kwa sasa?
4.Unapozungumzia umoja wa waislam, ni upi huo kati ya Sunni, Shia, Bohora, Ismailia n.k.?
Nini kinashindikana kurudisha umoja huo?
5.Umeulizwa, mlezi wa iliyokuwa EAMWS alikuwa Agakhan, vipi mbona yeye anarudi na kujenga chuo kikuu kingine katika serikali ile ile iliyoua EAMWS 1968?
6.Ushahidi wa kanisa kushinikiza kifo cha EAMWS ni upi?
Tusaidiane kumkumbusha Mohamed
brother yericko nimemuelewa vizuri sana.
Na nimefarijika sana na maneno yale,pia kuna baadhi ya ndugu zako wanatoa lugha za matusi,tafadhali wakanye,inatuharibia mjadala wetu.,sisi tunanufaika nao sana.
Tafsiri yake ni kuwa sisi hapa unatuonea huruma kwakuwa hatujui kitu na hatuna maariifa ya kujadiliana na wewe?
Ritz, huu ushauri wa kipumbavu ungeuelekeza kwa mzee wako muovu Mohamed Saidi, kwani uchochezi anaoueneza hapa nchini madhara yake ni makubwa mno! lakini kwakuwa akili yako changa imeegemea kwenye imani mfu hulioni hili!
Mhh!
Aliyekuwa na tabia hizi siye yule aliyekuwa akipigiwa mayowe "zidumu fikra za mwenyekiti"?!
Hapana mnajua sana lakini si katika masafa ya kutegemewa.
Unaponiambia kuwa mnataka Nyerere Foundation ikupe msaada...
Wewe huwezi kulijua hili.
Mimi nimetoa nyaraka na picha kwa Mwalimu Nyerere Foundation kupitia
msaada wa Ford Foundation.
Mkurugenzi wake aliyekuwa Nairobi alikuwa ananijua.
Yule kijana wa Kimarekani aliyekuja kuisaidia Mwalimu Nyerere Foundation kuanza
pia akinijua toka Marekani kwa ajili ya kitabu changu.
Hizo nyaraka hazikutakiwa wala picha nilizowapa.
Nina mengi sana.
Ndiyo nasema nimepata simanzi na hamu ya mnakasha imenitumbukia nyongo.
Hao wote mnaotafuta msaada kwao wa kuandika historia...
Afadhali wanaukumbi wanawezaweza...