Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

bibiNyereretalk.jpg
 
hapa ndio mzee said unapokuwa huwatendei haki wasomaji wako; umetuwekea vichwa vya habari tu. Why don't you scan these documents and make them public for anyone to see?

kama haya aliyoyafanya bado unaziita ngano na huziamini sembuse akienda kuziscan na kuzileta hapa utaamini??
Haukuamini yote haya anayokueleza hadi ukafikia hatua ya kumwita mchochezi itakuwa hizo scanned documents?bila shaka hutoweza amini,umekalia udini usio na kifani,haikusaidii,,
zaidi zaidi inakushushia heshima tuh.
Umepewa reference,nenda kachambue mwenyewe mzee.
 
Nimetoa tafsiri ya mwasisi hapo juu hebu isome mkuu

Hapana haja ya kuvutana na hili tatizo la nani kaanzisha TANU.
Ugomvi huu umeduma sasa nusu karne.

Wenyewe walishasahau na katika ile inner circle yao ya kuasisi TANU
kabali Ally Sykes peke yake.

Wenzake wote wamefariki.

Hebu angalia mawazo yangu kama nilvyoandika katika kitabu:

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD="width: 601"] In 1954, risking his job as Market Master, little did Abdulwahid realise that a time would come when the history of the struggle would be written and his name would not be associated with that important period in the history of Tanganyika as a nation.

One can also speculate what would have been the role of Nyerere in the politics of Tanganyika if Chief Kidaha had accepted TAA's proposal to become president of the Association in 1951; or what would have been the future of Tanganyika if Abdulwahid and the TAA inner circle had accepted Ivor Bayldon's proposal to form a multiracial political party.

This was an obvious ploy contrived by the government to co-opt the nationalists and hence compromise their stand for majority rule.

What the government was seeking was to incorporate the TAA leadership with the traditional authorities in the Legislative Council and form what could be wrongly perceived as true representative body of authority with the Governor at the top. This would have nipped in the bud the struggle for majority rule for the Africans of Tanganyika.

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]
With such an hypothetical set up, would Nyerere had been able to form a political party of his own, either within the framework of the TAA or from any other base?

Would his party build its power base first from the peasantry in his home area in Musoma, or could he have ventured to build his base from Dar es Salaam with the same Muslim support he was able to get in TANU through his acquaintance with the townsmen?

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD] ...it was during this time that Abdulwahid, for the second time, advised Nyerere to resign from teaching so as to concentrate fully on the work of the Association.

This idea did not appeal to Nyerere, just as it had not appealed to Chief Kidaha Makwaia four years earlier.

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

How do you know the idea to resign did not appeal to Nyerere who has been recorded to have said that he had already decided while he was still in Edinburgh to enter full time politics after three years of teaching? Hapo juu katika hotuba yake ya 1985 anasema hivi:

Niliporudi nikakubaliana na wamisionari hapo Pugu (sekondari), nifundishe shuleni kwao. Lakini nikiwa shuleni – Chuo Kikuu – nilijua. Niliishaamua kwamba maisha yangu yatakuwa ya siasa. Niliamua hivyo: Nitafundisha kwa muda wa miaka mitatu, nione hali inavyokwenda na kuzoeana na wenzangu kabla ya kuanza maisha ya siasa.

Sasa how do you know that the idea of resigning from teaching position did not appeal to him (Mwalimu)?
 
kama haya aliyoyafanya bado unaziita ngano na huziamini sembuse akienda kuziscan na kuzileta hapa utaamini??
Haukuamini yote haya anayokueleza hadi ukafikia hatua ya kumwita mchochezi itakuwa hizo scanned documents?bila shaka hutoweza amini,umekalia udini usio na kifani,haikusaidii,,
zaidi zaidi inakushushia heshima tuh.
Umepewa reference,nenda kachambue mwenyewe mzee.

Kuwa mkweli basi umeona mahali popote katika maandishi yangu (iwe mjadala huu au mwingine) ambapo nimewahi kuita fikra za mtu mwingine 'ngano'?
 
Nadhani kitabu hiki,
Nyerere and Africa: End of an Era
by Godfrey Mwakikagile (Nov 19, 2006), kitabu hiki pia kwa kiasi kikubwa kimejibu kwa kiasi fulani hoja za Mzee MOHAMED SAID, UKIANGALIA Kwa mfano ukurasa wa 96, ameeLEzeA kabisa kuwa ABDU ALIKUWA KATIBU WAKATI NYERERE ANARUDI,

PIA MWANDISHI AMEONESHA KUWA ABDU ALIPENDELEA CHIEF MAKWAIA KUWA KIONGOZI WA TAA AMBAPO ALIKATAA, KABLA YA DR KYARUZI
KWA WASIO NA KITABI PITIA LINK
HII; Nyerere and Africa: End of an Era - Godfrey Mwakikagile - Google Books
 
Ritz,

Hivi vitu unavyoshusha si mchezo kaka.

Pembeni ya Nyerere ni Sheikh Suleiman Takadir ''Makarios.''

Siku hizo akisimama kukaribisha Nyerere katika mikutano akisema,
''Hii siyo TANU hii ni ''khamsa.''

Alikuwa akimaananisha hii TANU ni sawasawa na sala tano.

Kushoto kwake Sheikh Takadir ni Clement Mtamila na mwisho ni Bi Titi
Mohamed.

Nyuma ya Nyerere Mama Maria kajificha kidogo, pembeni yake Rajab Diwani,
John Rupia.

Hapa ni Mnazi Mmoja.
 
Wote hawa tunaambiwa walikuwa wasaidizi wa Nyerere.
 
si huyo tuh,yupo pia mzee mwanakijiji,hao wote ni watu tuliokawa tunawaheshim sana,lakini tumekuja kushangazwa na chuki zao za kidini pale walipozionesha wazi wazi katika mjadala huu,sasa sijajua nia ya mjadala huu ni kutambiana kiimani au kuhoji kuhusu historia inayofichuliwa na ndugu moh said?Wanashangaza sana hao jamaa.

Spot on mkuu, mimi nilikuwa nimekaa kimya muda mrefu nikiangalia mtililiko wa mambo unavyo kwenda - kitu kinacho nishangaza ni kumshambullia Ndugu Moh kwa maneno ya kejeli na mengine yanayo onekana kutaka kumdhalilisha vile as if ni msaliti kwa kutujuza anayo yajuwa kuhusu historia ya kweli ya TAIFA letu - ili la watu kug'ang'ania kana kwamba historia ya kweli kuhusu taifa letu ilianzia mwaka 1954 huwa inanipa wakati mgumu sana mimi.

Watu wengi tuna kiu ya kujua historia ya kweli kuhusu Taifa letu bila ya kujali mtafiti/mwandishi ni wa DINI gani na waasisi wa kuanzisha harakati za kutukomboa walikuwa wa madhehebu gani, cha umuhimu hapa ni kujua UKWELI - hii dhana ya Islamphobia inatusadia nini? ndugu Moh anazungumzia historia ya Tanzania lakini watu wanataka ku-derail mada kwa kutumbukiza mambo ya Somalia/Tunisia mbona amzungumzii Saudi Arabia, IRAN na Uturuki kwani hizo si nchi za Kislaam - kwani Somalia wakati wa Said Barre ilikuwa na matatizo gani? Tunawezaje kujiaminia kwamba mambo yaliyo ikumba Somalia hayawezi kulikumba Taifa letu, kwani tunaishi kwenye kisiwa?

Mambo anayo zungumza humu Ndugu Moh yanapaswa kuwa fundisho kwa vizazi vijavyo kwamba haipendezi kujaribu kunyanyasa madhehebu ya dini nyingine, hivyo kulazimisha Serikali ambazo zitafuata kujirekebisha kwa kumaliza kero za waislaam kikamilifu; cha kushangaza hapo badala ya kumshukuru mwenzetu kwamba amejitolea kuwa mkweli nyinyi mnabeza beza, hivi kuna mtu amewahi kukaa chini na kujiuliza idadi ya waislaam ni wangapi Tanzania, hawana tofauti kubwa na Wakristo na sitashangaa kukuta wanatuzidi idadi - Mtu mwenye akili timamu anawezaje kupuuzia kundi hili kweli - and 4 howlong. Je ndugu Moh na wenzake wangeamua kukaa kimya lakini wakajipanga kufanya KWELI nchi hii itakuwa na amani kweli au mnafikili uwezo huo hawana???

Mimi na-copy makala zake na kuzipitia na kuwahoji watu wengine wa makamo, unakuta mambo mengi anayo zungumzia Moh yana ukweli - na kusema kweli anajua mambo mengi na ni msomi na mtafiti mahili, hajatulazimisha kukubaliana naye, kama mtu anaona anacho zungumza hakina mantiki basi fanya tafiti zako utuletee historia mbadala badala ya name calling na kumsingizia magonjwa ya akili ya kufikilika - mimi sijapenda tabia hii - we sema Moh ni mtu mvumilivu sana kutokana na malezi.

Watu mnakuwa irritated kupindukia - kisa, Moh kamsema Nyerere, kwa nini usimpuuzie kama utaki makala zake, wahachie watu wenye kiu ya kutaka kujua mengi kuhusu Taifa letu wamuhulize kwa heshima; lakini haya mambo ya kumtega tega na kubarisha mada kwa hila, tabia hii watu wegi inatukela sana.
 
Nanren,

Ndugu yangu hata wewe huna sababu ya kujibizana na mjinga.
Hiki kitabu ni cha miaka mingi sasa.

Kisikushughulishe.

Well Mohamed Said
It was a mistake to think of you as "mjinga".
Tumestuka. Wewe sio mjinga. You are a Genius in an evil way. You have evil intentions! You almost succeeded to make your personal hatred to be muslims' hatred towards non-muslims. That is The Genius Moh. Na kwa sababu tumekugundua kuwa si mjinga, hatukuachi. Tutabanana hapa hapa.

The good thing is that in long run, good prevails over evil!
 
Last edited by a moderator:
Nanren, well said makuu.
Watu wengi wana miss point kwa kudhani kuwa wapo wanaopinga kwa ujumla hisia za Mohamed Said.
Nimeshawahi kusema na narudia, tunawashukuru sana wazee wote walioshiriki kuikomboa nchi hii tunayojaribu kuibomoa.

Nani anakataa uwepo wa Mshume Kiyate na mchango wake katika Uhuru kama ulivyo wa familia ya Sykes, Boman, Rupia, Nyerere, Kawawa, Kasella Bantu, Dr Kyaruzi, Lugazia, Dosa Azizi n.k.?

Nani anakataa kuwa gari alilopewa Nyerere lipo makumbusho na alipewa na Dosa?
Nani anakataa uwepo wa AA then TAA na mwisho TANU?

Nyerere mwenyewe kakiri ushiriki wa wazee wa Dar es Salaam, kasema kuhusu wazo la TANU lililopoanzia na jinsi alivyosirikiana na wenzake kuliendeleza gurudumu.
Nyerere aliandikiwa barua kuwa hakuna haja ya chama kingine wakati tayari kipo.
Sasa sisi kizazi hiki tutakataa kitu gain?

Tunachokataa ni jinsi hisia za Mohamed zilivyoandikwa ''strategically'' kuwaondoa baadhi ya washiriki, kuwatupia tuhuma walioshiriki, kuwadhalilisha baadhi ya washiriki na kuwakweza hata wasio husika.

Mifano, Mohamed amepindisha ukweli kuhusu ushiriki wa kanisa kwa kuficha ukweli kuwa safari ya UNO ilichangiwa na mashirika ya kikristo. Badala yake ametoa tuhuma nzito kuwa hakukuwa na ushiriki kwa hofu ya kuasi kanisa.

Mohamed, ameficha ukweli kuwa Nyerere aliwahi kuwepo Dar es Salaam kabla ya yeye kuzaliwa.
Alichokisema ni kuwa aliyemwingiza katika siasa ni Abdul Sykes.

Lengo kubwa ni kuonyesha kuwa Nyerere hakuijua siasa hadi alipokutana na Sykes.
Huu ni uzushi kwani alishakuwa katika siasa miaka mingi kuanzia Makerere.

Mohamed ameficha ukweli kuwa Clement Mtamila na Vedastus Kyaruzi na akina Lugazia walikuwa viongozi wa chama na wapigania uhuru.

Katika kupunguza thamani ya mchango wao, Mohamed ameingiza majina hata yasiyo na uhusika mkubwa just to mask the impact of true patriots.

Huwezi kuniaminisha kuwa Tatu Said alikuwa muhimu sana kuliko Kyaruzi au Yusuf Ngozi.
Ndio, kila mtu alikuwa muhimu lakini umuhimu huo una kiwango chake.

Haiwezekani aelezee kwa uchungu kifo cha Idd Faiz Mwafongo huku akisahau kuwa kifo cha aliyekuwa rais wa TAA Dr Kyaruzi hakikupewa uzito ule ule kama cha mweka hazina Mwafongo.

Lengo lilikuwa kuonyesha waislam walivyodhalilishwa huku akificha ukweli kuhusu upande wa pili.

Mohamed ametoa shutuma za Nyerere kumfukuza sheikh Amir.
Ameelezea hukumu ya Nyerere kwa sheikh bila kuweka mashtaka au tuhuma.

Leo tunajua kuwa Sheikh Amir na radical moslems walitaka kumuondoa Nyerere katika nafasi kwa sababu ya ukristu mara mbili achilia mbali kupanga mipango haramu dhidi ya serikali baada ya uhuru.

Hapa lengo ni kuonyesha kuwa baada ya uhuru Nyerere aliwachukia waislam kwa kuanzia na mufti wao.
Mohamed amesahau kuwa udini anaousema upo kumbe ulianza kwa waislam hata kabla ya uhuru

Mohamed ametoa tuhuma za ushiriki wa kanisa katika kuua EAMWS.
Ameombwa ushahidi kwa bahati mbaya sana hana, ametuletea maandishi ya Sivalon.

Kumbuka huyu ndiye mtu aliyefanya research! Tulitegemea atumie maandishi ya Sivalon kutafuta ukweli, hakufanya hivyo kwa sababu lengo lilikuwa tuhuma dhidi ya kanisa na kuonyesha ''uhalifu wa kanisa'' hata kama si kweli au hakuna ukweli alio nao.

Orodha ya mambo ni mengi sana haya ni kwa uchache tu kwa mifano, ili watu watambue kwanini watu wengi hawakubaliani na uchochezi na hisia za Mohamed.Hakuna anayetaka historia ya kweli ipindishwe, lakini basi isiandikwe kwa kupindisha ukweli ili kukidhi chuki, hisia na hasira za mtu mmoja

Muhimu sana ni kuwa kwavile Mohamed anatuhuma na mashtaka dhidi ya watu na taasisi, basi anayo dhima ya kuthibitisha tuhuma zake. Utetezi wa kutaka watu waandike vitabu au kukata vipande vya maandiko yake ni wa kiwango dhifu sana cha uandishi.

Lakini pia anapohitaji heshima lazima awe tayari kutoa heshima.
 
Nanren, well said makuu.
Watu wengi wana miss point kwa kudhani kuwa wapo wanaopinga kwa ujumla hisia za Mohamed Said.
Nimeshawahi kusema na narudia, tunawashukuru sana wazee wote walioshiriki kuikomboa nchi hii tunayojaribu kuibomoa.

Nani anakataa uwepo wa Mshume Kiyate na mchango wake katika Uhuru kama ulivyo wa familia ya Sykes, Boman, Rupia, Nyerere, Kawawa, Kasella Bantu, Dr Kyaruzi, Lugazia, Dosa Azizi n.k.?

Nani anakataa kuwa gari alilopewa Nyerere lipo makumbusho na alipewa na Dosa?
Nani anakataa uwepo wa AA then TAA na mwisho TANU?

Nyerere mwenyewe kakiri ushiriki wa wazee wa Dar es Salaam, kasema kuhusu wazo la TANU lililopoanzia na jinsi alivyosirikiana na wenzake kuliendeleza gurudumu.
Nyerere aliandikiwa barua kuwa hakuna haja ya chama kingine wakati tayari kipo.
Sasa sisi kizazi hiki tutakataa kitu gain?

Tunachokataa ni jinsi hisia za Mohamed zilivyoandikwa ‘’strategically’’ kuwaondoa baadhi ya washiriki, kuwatupia tuhuma walioshiriki, kuwadhalilisha baadhi ya washiriki na kuwakweza hata wasio husika.

Mifano, Mohamed amepindisha ukweli kuhusu ushiriki wa kanisa kwa kuficha ukweli kuwa safari ya UNO ilichangiwa na mashirika ya kikristo. Badala yake ametoa tuhuma nzito kuwa hakukuwa na ushiriki kwa hofu ya kuasi kanisa.

Mohamed, ameficha ukweli kuwa Nyerere aliwahi kuwepo Dar es Salaam kabla ya yeye kuzaliwa.
Alichokisema ni kuwa aliyemwingiza katika siasa ni Abdul Sykes.

Lengo kubwa ni kuonyesha kuwa Nyerere hakuijua siasa hadi alipokutana na Sykes.
Huu ni uzushi kwani alishakuwa katika siasa miaka mingi kuanzia Makerere.

Mohamed ameficha ukweli kuwa Clement Mtamila na Vedastus Kyaruzi na akina Lugazia walikuwa viongozi wa chama na wapigania uhuru.

Katika kupunguza thamani ya mchango wao, Mohamed ameingiza majina hata yasiyo na uhusika mkubwa just to mask the impact of true patriots.

Huwezi kuniaminisha kuwa Tatu Said alikuwa muhimu sana kuliko Kyaruzi au Yusuf Ngozi.
Ndio, kila mtu alikuwa muhimu lakini umuhimu huo una kiwango chake.

Haiwezekani aelezee kwa uchungu kifo cha Idd Faiz Mwafongo huku akisahau kuwa kifo cha aliyekuwa rais wa TAA Dr Kyaruzi hakikupewa uzito ule ule kama cha mweka hazina Mwafongo.

Lengo lilikuwa kuonyesha waislam walivyodhalilishwa huku akificha ukweli kuhusu upande wa pili.

Mohamed ametoa shutuma za Nyerere kumfukuza sheikh Amir.
Ameelezea hukumu ya Nyerere kwa sheikh bila kuweka mashtaka au tuhuma.

Leo tunajua kuwa Sheikh Amir na radical moslems walitaka kumuondoa Nyerere katika nafasi kwa sababu ya ukristu mara mbili achilia mbali kupanga mipango haramu dhidi ya serikali baada ya uhuru.

Hapa lengo ni kuonyesha kuwa baada ya uhuru Nyerere aliwachukia waislam kwa kuanzia na mufti wao.
Mohamed amesahau kuwa udini anaousema upo kumbe ulianza kwa waislam hata kabla ya uhuru

Mohamed ametoa tuhuma za ushiriki wa kanisa katika kuua EAMWS.
Ameombwa ushahidi kwa bahati mbaya sana hana, ametuletea maandishi ya Sivalon.

Kumbuka huyu ndiye mtu aliyefanya research! Tulitegemea atumie maandishi ya Sivalon kutafuta ukweli, hakufanya hivyo kwa sababu lengo lilikuwa tuhuma dhidi ya kanisa na kuonyesha ‘’uhalifu wa kanisa’’ hata kama si kweli au hakuna ukweli alio nao.

Orodha ya mambo ni mengi sana haya ni kwa uchache tu kwa mifano, ili watu watambue kwanini watu wengi hawakubaliani na uchochezi na hisia za Mohamed.Hakuna anayetaka historia ya kweli ipindishwe, lakini basi isiandikwe kwa kupindisha ukweli ili kukidhi chuki, hisia na hasira za mtu mmoja

Muhimu sana ni kuwa kwavile Mohamed anatuhuma na mashtaka dhidi ya watu na taasisi, basi anayo dhima ya kuthibitisha tuhuma zake. Utetezi wa kutaka watu waandike vitabu au kukata vipande vya maandiko yake ni wa kiwango dhifu sana cha uandishi.

Lakini pia anapohitaji heshima lazima awe tayari kutoa heshima.

Tuko palepale.
Nikisema natoa majibu nitakuwa naingia humo kwa humo.

Hapana haja ya kunasa hapa.
Yapo mengi ya kuzungumza.

Ila bila kwa kitabu chenu itakuwa tabu sana.
 
Back
Top Bottom