Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mode, kwa heshima ya utu, naomba uifute hii post!. Kama lugha zisizofaa kuwa zinawekewa nyota please do the need!.
Pasco.

inashangaza kuona hamuupendi ukweli! historia ibaki kama ilivyo na mazuri na mabaya yake.
 
Hivi watu wengine mbona wepesi sana kudanganywa/kudanganyika! zomba, huyu Ayatollah hakuwa Muislaam? Si ajabu mnameza ngano za Mohamed Said nzima nzima!
 
Last edited by a moderator:
Hilo halihusiana na mada iliyombele yetu mkuu,

Na jambo hilo ni la ndani zaidi (binafsi) halina mafaa kwa taifa kabisa!
Kama ungekuja hapa na kuchangia kama Yericko Nyerere sidhani kama kuna ambaye angesisitizia kutaka kukujua zaidi,msisitizo unakuja pale ambapo wewe unadai kutaka kuiandika historia ya nchi! hivyo mimi kama mwananchi ninataka kumjua nani anayeniandikia historia ya nchi yangu ambayo itasomwa na mtoto wangu!

Umemuona Mohamed Said ametoa zaidi ya majina yake manne,asili yake n.k

Yericko! maadamu hujaifuta kauli yako ya kutaka kuiandika historia ya nchi yangu swali litabakia palepale!
 
Pasco said:
Mode, kwa heshima ya utu, naomba uifute hii post!. Kama lugha zisizofaa kuwa zinawekewa nyota please do the need!.
Pasco.
Be fair!
Wakati Yericko anamkejeli mtu ambaye anaweza hata kumzaa na kujinadi kuwa inakubalika kimunakasha na kanuni za JF hakuna hata mmoja aliyejaribu kumrekebisha!

Mfunze Yericko kwanza jinsi gani ya kufanya mnakasha kiadabu.
Big up Mode! uko fair.
 
Hivi watu wengine mbona wepesi sana kudanganywa/kudanganyika! zomba, huyu Ayatollah hakuwa Muislaam? Si ajabu mnameza ngano za Mohamed Said nzima nzima!

Ayatollah uliona akinyemelewa na ...? Utajaza mwenyewe maana hicho kidudu cha kawaida kinaweza kugeuzwa kionekane tusi, jinsi mnavyojuwa kuchakachuwa.

Historia huchakachuliwa pale tu waliokuwepo wawe hawapo, hapa Tanzania bado wapo na Mohamed Said anawapa darsa Zuri kabisa, ingekuwa hamlipendi msingeendelea kuwepo.

Jee, unajuwa kuwa Nyerere alikaribishwa na kuwekwa na kuishi mtaa wa Stanley nyumbani kwa Abdulwahid, Ally na Abbas Sykes?
 
hilo halihusiana na mada iliyombele yetu mkuu,

na jambo hilo ni la ndani zaidi (binafsi) halina mafaa kwa taifa kabisa!

......

kwa kuwa umeonesha mapenz ya kupitiliza na ndugu julius had kufikia kumwita mtakatifu ndio kwa maana tunakuhoji sasa,utuambie una uhusiano nae wa kidamu au kiukoo?

kila mtu angependa kufaham hilo kwa kuwa umejiverify kabisa na sio kwamba ni fake id ama la,pia kwa faida ya mjadala huu ndugu moh said keshajieleza yeye ni nani na ana uhusiano gani na wazee hawa anaotupa historia zao,yumkin kwa kuwa wewe nyerere ni mzee wako basi bila shaka tungetarajia kuona mengi kutoka kwako kama mtu aliekawa karibu nawe kifamilia,lakini hatuyaoni hayo..!

Hata hotuba zake tuh huna hadi uende TBC? Tuna mashaka nawewe,huna uhusiano wowote na mtakatifu julius kambarage nyerere.
 
Mie niliokuwa natazama kwenye tv mwili wa julius nyerere niliona miji-nzi ikinyemelea maiti, mpaka maiti ikajengewa kioo haraka haraka, hukuona?

Mkuu adabu na heshima ni kitu adhimu sana hasa ukiwa binadamu,

Unafadika nini kwa dhihaka na matusi hayo kwa Mwalimu Nyerere?
 
Mkuu adabu na heshima ni kitu adhimu sana hasa ukiwa binadamu,

Unafadika nini kwa dhihaka na matusi hayo kwa Mwalimu Nyerere?
zomba kwa Mwalimu ni zaidi ya Mohamed Said. Asingekuwa kwenye tv akawa karibu na maiti ile, angeipiga teke na kuitemea mate. Haukuona yaliyoikumba maiti ya Gadaffi kule Libya?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu adabu na heshima ni kitu adhimu sana hasa ukiwa binadamu,

Unafadika nini kwa dhihaka na matusi hayo kwa Mwalimu Nyerere?

.........

Taratibu unaanza kujifunza adabu sasa...inabidi uonyeshe kwa vitendo sasa kuwa umeadabika.

*naona umerudia kumuita mwalimu sasa badala ya mtakatifu...JF mh!
 
Historia huchakachuliwa pale tu waliokuwepo wawe hawapo, hapa Tanzania bado wapo na Mohamed Said anawapa darsa Zuri kabisa, ingekuwa hamlipendi msingeendelea kuwepo.
Wana JF, tulianzia mbali...huyu hapa chini ni cousin wake zomba akiyatamka haya humu humu JF, nadhani kuna uwezekano wengi wakati huo hamkuwa mmejiunga na jamvi hili ila JF kwa kumbukumbu! Usidanganyike ukafikiri uko kwenye zile blogu za uswahilini. Shuhudieni cousin wake zomba akimpa somo Mohamed Said hapo zamani kidogo...kweli tulianzia mbali!
Hivi sasa zomba mwenyewe yuko humu ndani na bila haya wala aibu eti anamfagilia Mohamed Said, anatetea simulizi alizopewa na wazee wake Manyema na Wazulu...je, amewatupa wenyeji...hamnapo hakunapo! Dunia kweli mviringo.
 

Swali lako lina machaguo matatu,

Kulijibu,
Kukataa kujibu, na kunyama.

Mimi nimechagua kukataa kujibu!
 
swali lako lina machaguo matatu,

kulijibu,
kukataa kujibu, na kunyama.

Mimi nimechagua kukataa kujibu!

basi futa jina la nyerere hapo mwishon mwa bandiko la jina lako.
Unatuchanganya tuh,kwani kuna tatzo gan kusema ya kwamba wewe ni mjukuu ama ni kitukuu cha nyerere?
Bila shaka huna uhusiano nae wowote.
Unajipendekeza tuh kwa mtakatifu julius.
 
Haujamwelewa. Ungeifuta kauli ile. Au ulitegemea maiti ya Mwalimu iwafukuze hiyo miji-inzi!

Aisee kwakweli elimu ni muhimu sana kwa ustawi wa binadamu,

Ndugu zetu hawa kwenye huu mnakasha yani kama vile wapo na familia zao vile, hata simile tu haiwapandi usoni
 
Swali lako lina machaguo matatu,

Kulijibu,
Kukataa kujibu, na kunyama.

Mimi nimechagua kukataa kujibu!
Una mambo mawili ya kuchagua:

Aidha weka masuala yako ya binafsi mbele kwa kuifuta kauli yako ya kutaka kuiandika historia ya nchi..au
Weka maslahi ya Taifa mbele kwa kuyafanya masuala yako yaeleweke na uendelee na nia yako ya kuandika historia ya nchi.

Unachagua lipi kati ya hayo?
 
basi futa jina la nyerere hapo mwishon mwa bandiko la jina lako.
Unatuchanganya tuh,kwani kuna tatzo gan kusema ya kwamba wewe ni mjukuu ama ni kitukuu cha nyerere?
Bila shaka huna uhusiano nae wowote.
Unajipendekeza tuh kwa mtakatifu julius.

Wewe wasema, lakini usemi wako si torati wala msahafu!
 
Mtu anakuwa muongo au mnafiki halafu anakuwa msahaulifu tena.
 
Last edited by a moderator:

Hayo yote kwangu hayana mafaa,

Imani yangu kwa niyasimamiayo ipo imara kama mlima sayuni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…