Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Unaona ulipojikwaa? Na mzee Mohamed Said naye alijikwaa hapohapo. Kama Mohamed Said hakufanya utafiti kwa mapadre/viongozi wa dini wa kikistu , ilikuwaje akaweza kuwaweka kwenye kitabu/papers zake? alikwenda kuwauliza au amenukuu tu kutoka kutoka kwa waandishi wengine? Nyerere nae alihojiwa?
Ningekuelewa kama angekuwa ameandika simulizi TU za wazee wazee wake wa gelezani...
 

la hasha,,
sio suala la propaganda zisizo na faida kwa taifa,hapo utakuwa unapotoka moja kwa moja,
kilichofanyika ni kuhuishwa kwa historia ya wale waliosahaulika,either kwa makusudi or kwa sababu za kulinda utakatifu wa baadhi ya watu katika historia ya nchi hii,,
sasa kwa kuwa historia hiyo imeshaandikwa na kukubaliwa ulimwenguni kote,sasa ni wakati wenu kukaa chini na kuandika yale mnayohisi kwa namna moja ama nyingine yamepotoshwa na nyinyi muitangazie dunia ikiwa nyinyi ni miongoni mwa wale wasemao kweli,ikiwa nyinyi ni miongoni mwa watafiti wa kweli na msioegemea upande wowote,,
lakini katika hali hii ilipofikia kwa sasa,darsa la ndugu moh said limeeleweka na litaheshimika..
 

Hata useme nini maandiko ndio ushahidi kamili. Huna pakuchomokea.
 
msaidie mpuuzi mwenzio mohamedi saidi kwa kufikiri na kuwadanganya kuwa juhudi na mapambano ya uhuru yalifanywa na wazee wake wakiislam na sio watanganyika wote kwa ujumla wao!

mpuuzi kwa sasa ni wewe,,
na ni wazi sasa kila mwenye akili zake timamu na akisoma unachokifikiria kichwani mwako anaishia kukupuuza na kukushusha zaid ya kanyagio za viatu,hujielew elewi,,
upo upo tuh kama zuzu,mbele huyumbi,nyuma hutikisiki..
Kwa ufupi wewe ni kama kichwa boxi,unasikitisha sana.
 
Bado mitusi unayoimwaga hapa haihalalishi uzushi na uzandi wa mzee wenu Mohamedi Saidi, sana sana inazidi kuthibitisha mlivyoshindwa kabisa kutetea ajenda yenu ya kuwagawa watanganyika kwa misingi mfu ya udini..... pole sana bwana chandimu!
 
Haya chandimu, ebu soma watu wanavyo mtazama mtume wako Mohamed Saidi;
 
victory won..!
Ukweli uliofichwa umeshafichuliwa na sasa wenye akili zao timamu na wenye kuona mambo kwa upeo wameshauona na kuuthamini ukweli huo,,
endeleeni kulia lia na kusaga meno..

Mkuu, hata sijuhi wanataka ku-pre empty kitu gani! Nani anaye ingia mitini au kujaribu ku-derail mada - ndugu Moh. au wauliza maswali ambao wakati mwingine maswali yao hayako coherent hata kidogo?
 

Historia inaandikwaje mara mbili? pengine labda iandikwe kwa muktadha mwingine, hasa wa kuikoleza historia iliyopo, vinginevyo sifa kuu ya historia tuliyonayo sasa ni kwamba iliandikwa as it happened na watu wa ndani na nje ya nchi wakati taifa bado changa sana, suala ambalo ni ushahidi kwamba haikuchakachuliwa, na sources mbalimbali zimekuwa consistent na content husika, sasa hizi amendment mnazotaka kufanya katika karne ya 21 kama vile tunajadili Katiba zinatia mashaka sana

Bandiko la Mzee Mwanakijiji (bandiko namba 3127) na pia bandiko langu namba (3053) mbona hayajibiwi kwa hoja? Mnajua fika kwamba hapo ndio pahala ambapo hoja nzima ya Mohamed Said itapungua mashiko, tena kwa kasi.

cc: zomba
 

Huko kujigamba kwako kujisomea ndio kulipelekea ukapewa jibu hili, jikumbushe:

 

Ume bugi maaaan.

1) Historia ya kivukoni iliandikwa "as it happened"? kama ndio, lini?

Ronn M,

Kwani Kivukoni walipoandika historia rasmi na kuwatoa Waislam
na kumbakisha Nyerere peke yake hofu ilikuwa dini?
 
Mkuu, hata sijuhi wanataka ku-pre empty kitu gani! Nani anaye ingia mitini au kujaribu ku-derail mada - ndugu Moh. au wauliza maswali ambao wakati mwingine maswali yao hayako coherent hata kidogo?

Ndugu yangu Bukyanagandi, ni pigo kubwa sana kwa wanaotafuta "muujiza" ili kumpandisha Nyerere kutoka alipo "mwenyeheri" kumpeleka kwenye "mtakatifu". Muujiza walioutegemea ni kumfanya kuwa yeye ni "super hero" wa Tanganyika aliyeweza kuwakabili wakoloni peke yake na kuipatia Tanganyika Uhuru alioudai yeye pekee. Lingethibitishwa hiilo ni moja kwa moja linampa status Nyerere ya kuwa ni mfanya "miujiza" (miracles) ambao ni kigezo cha u "sainthood".

Ukweli anaouweka wazi Mohamed Said, unaharibu hicho kigezo na ni lazima wagalatia wampinge Mohamed Said kwa nguvu zote. Lakini ukweli ni ukweli haufutiki na muujiza uwe wa kweli basi, si wa kubuni.

Bukyanagandi nafahamu kuwa wewe si Muislaam kama ulivyojieleza katika moja ya post zako, lakini u katika wale waupendao ukweli na inashangaza kuona watu humu wanapinga lakini wanachokipinga hawakioneshi, iliyobaki wanarusha kila istihizai, kejeli, vijembe kwa kuwa tu wanadhani ndio wanafanya "character assassination", laiti angelikuja mmoja wao akasema, Mshume ni wa kabuni hakuwepo, Abdulwahid Sykes hajawahi kumweka Nyerere, Dossa Aziz hajatowa mchango wake katika harakati za kudai Uhuru na wengine wote aliowataja Mohamed Said, japo mmoja wao au habari yao moja wakaipinga, hapo ningewaelewa, lakini tazama na soma kwa makini hilo hukuti.

Ni maradhi tu yaliyomo mioyoni mwao, na kwa uhakika hayapunguwi yanazidi. Unajuwa adui yako kila unapofanikiwa yeye ndiyo huzidi kuumia? ndio hawa wanaopinga, mradi wapinge tu.
 


taratibuu,twende taratibuu na upunguze speed ndugu yangu mchambuzi,
inaonesha unataka kukimbia sana na kupitiliza hadi kwenu,,suala hapo si kuandikwa historia mara moja au mara mbili,la hasha,
kilichofanywa ni kuandikwa kwa historia ya wale waliosahaulika kwa makusudi,hoja umeipata au hujaipata??
Sasa kuonekana kwa hao ambao wamesahaulika ni waislm au wana majina yanayoshahabiana na uislam ni juu yenu,,
na kwa wao kuachwa kwenye historia hii kwa makusudi ni upotofu wa hali ya juu sana,watu wamechukua mda wao kujaribu kuwahuisha na kuufahamisha umma kuhusu upotofu huo nyinyi mnakuja kuwaita wadini??hiyo ni juu yenu,,
amueni kuandika yenu,unless otherwise mje mpinge historia hii iliyofichuliuwa kwa hoja zenye mantiki na kuacha kunyoosheana vidole,,
mmeshindwa basi,acheni ukweli uzid kutaradadi hata kama unawachoma mioyoni mwenu.
 
Bado mitusi unayoimwaga hapa haihalalishi uzushi na uzandi wa mzee wenu Mohamedi Saidi, sana sana inazidi kuthibitisha mlivyoshindwa kabisa kutetea ajenda yenu ya kuwagawa watanganyika kwa misingi mfu ya udini..... pole sana bwana chandimu!

Hujauonesha hata mmoja, uko wapi? utabaki kulalama tu Mohamed Said kitabu chake kinapeta miaka 15 leo, na si Tanzania tu, kipo sehemu nyingi duniani na anaalikwa sana kukielezea. Wewe Jee, au waandishi wako wa kivukoni wamepata hadhi hiyo? maawe!
 
mkuu, hata sijuhi wanataka ku-pre empty kitu gani! Nani anaye ingia mitini au kujaribu ku-derail mada - ndugu moh. Au wauliza maswali ambao wakati mwingine maswali yao hayako coherent hata kidogo?

wanashangaza sana mkuu..
Kwa kweli wanashangaza sana..
Dawa ya ukweli siku zote ni kuukubali,siyo kuupiga mawe,
haisaidii..
 

Jana Ritz, alikuuliza maswali mawili ulijibu la wanachama wa TANU, bado orodha ya viongozi wa TAA.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…