Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Nafikiri Kazimoto wewe ujawahi kufanya utafiti wowote. Ngoja nikusaidie kidogo.

Ili mtu uweze kufanya utafiti ni lazima ujue unataka kufanya utafiti wa Nini. Huwezi kufanya utafiti wa kila kitu.

Al Akhiy Mohamed Said alitaka kufanya utafiti wa Mchango wa wazee wake katika kupigania uhuru wa Tanganyika. Na hilo ameliweka wazi kila mtu analijua hilo. sasa asingeweza kwenda mpaka kwa hao mapadri au hata kwenda kwa chifu Rumanyika wa kule Bukoba. yeye amejikita zaidi kwa wazee wake wa Dar katika kupigania uhuru wa Tanganyika na reference yake kubwa ilikuwa Kijitabu cha Kivukoni ambacho kilisahau mchango wa wazee wake.

sasa na wewe unaweza chukua kijitabu cha Kivukoni kuhusu historia ya Uhuru wa Tanganyika na kile cha Mohamed Said kuangalia kama kuna watu wamesahaulika basi na wewe ukatoa kijitabu chako. Hiyo ni ruhsa kabisa kuliko kutoa shutuma na lugha za kejeli kwa al akhiy Mohamed Said kwa kazi yake nzuri.

Pole sana.
Unaona ulipojikwaa? Na mzee Mohamed Said naye alijikwaa hapohapo. Kama Mohamed Said hakufanya utafiti kwa mapadre/viongozi wa dini wa kikistu , ilikuwaje akaweza kuwaweka kwenye kitabu/papers zake? alikwenda kuwauliza au amenukuu tu kutoka kutoka kwa waandishi wengine? Nyerere nae alihojiwa?
Ningekuelewa kama angekuwa ameandika simulizi TU za wazee wazee wake wa gelezani...
 
zomba,

hoja yako kuhusu list ya waasisi nimeijadili mara nyingi sana licha ya wewe kuendelea na hoja zako kwamba hiyo ni list ya kivukoni. Mimi nimejifunza hilo kupitia historia kwa kujisomea, tena iliyoandikwa miaka ya sitini wakati matukio yakiwa bado fresh, sio orodha zenu za kuchakachua mnazo tengeneza vijiweni karne ya 21. Hoja ya mzee mwanakijiji kwenye bandiko namba 3127 pia imewaweka sawa, lakini kama kawaida yenu, mnatimua mbio. Vinginevyo sioni kipya hapa zaidi ya muendelezo wa propaganda zisizo na maslahi kwetu kama taifa.

la hasha,,
sio suala la propaganda zisizo na faida kwa taifa,hapo utakuwa unapotoka moja kwa moja,
kilichofanyika ni kuhuishwa kwa historia ya wale waliosahaulika,either kwa makusudi or kwa sababu za kulinda utakatifu wa baadhi ya watu katika historia ya nchi hii,,
sasa kwa kuwa historia hiyo imeshaandikwa na kukubaliwa ulimwenguni kote,sasa ni wakati wenu kukaa chini na kuandika yale mnayohisi kwa namna moja ama nyingine yamepotoshwa na nyinyi muitangazie dunia ikiwa nyinyi ni miongoni mwa wale wasemao kweli,ikiwa nyinyi ni miongoni mwa watafiti wa kweli na msioegemea upande wowote,,
lakini katika hali hii ilipofikia kwa sasa,darsa la ndugu moh said limeeleweka na litaheshimika..
 
Bado unatapatapa. Ritz aliandika kuwa Arafat alikutana na Moshe Dayan Camp David. That was the issue. That never happened. Sasa wewe unaniletea za Begin na Sadat, wapi na wapi? Ni yale yale eti Nyerere alikuwa anaenda sokoni Kariakoo bila kuwa na pesa mfukoni. Tumeshawazoea!

Hata useme nini maandiko ndio ushahidi kamili. Huna pakuchomokea.
 
msaidie mpuuzi mwenzio mohamedi saidi kwa kufikiri na kuwadanganya kuwa juhudi na mapambano ya uhuru yalifanywa na wazee wake wakiislam na sio watanganyika wote kwa ujumla wao!

mpuuzi kwa sasa ni wewe,,
na ni wazi sasa kila mwenye akili zake timamu na akisoma unachokifikiria kichwani mwako anaishia kukupuuza na kukushusha zaid ya kanyagio za viatu,hujielew elewi,,
upo upo tuh kama zuzu,mbele huyumbi,nyuma hutikisiki..
Kwa ufupi wewe ni kama kichwa boxi,unasikitisha sana.
 
Bado mitusi unayoimwaga hapa haihalalishi uzushi na uzandi wa mzee wenu Mohamedi Saidi, sana sana inazidi kuthibitisha mlivyoshindwa kabisa kutetea ajenda yenu ya kuwagawa watanganyika kwa misingi mfu ya udini..... pole sana bwana chandimu!
 
Haya chandimu, ebu soma watu wanavyo mtazama mtume wako Mohamed Saidi;
Nadhani Mohamed Said anaanza kuishiwa mashiko ya hoja zake za uhafidhina na udini hasa baada ya watu wa Mtwara kusema wazi kuwa lengo lao ni gesi bila kujali chama itikadi au dini. Hivyo kwa wahafidhina na wakale kama Mohamed Said wanajikuta hawana pa kushika. Sidhani kama Mohamed Said anaweza kuwa na la kusema zaidi ya kujificha kwenye historia ya Dar es salaam na miungu wake akina Kondo Kipata, Abdul Sykes na sheikh Takadir.

Kwa tunaomjua kwa undani hana jipya zaidi ya kuzeeka vibaya akiwa shabiki wa mihadhara ya kijinga inayoshabikia umwagaji damu kwa chuki za kidini. Kwake ni dhana nzima kuwa kuna siku kuna dola la kiislamu litasimamishwa Tanzania.

Kimsingi, kwa watu wenye mawazo mgando issue ya Mtwara ni baridi sana. Hivyo hawana pa kushika wala hoja zaidi ya kuendelea kunywea wakitafuta upenyo wa kujaza watu chuki zao za kiarabu na kidini.
 
victory won..!
Ukweli uliofichwa umeshafichuliwa na sasa wenye akili zao timamu na wenye kuona mambo kwa upeo wameshauona na kuuthamini ukweli huo,,
endeleeni kulia lia na kusaga meno..

Mkuu, hata sijuhi wanataka ku-pre empty kitu gani! Nani anaye ingia mitini au kujaribu ku-derail mada - ndugu Moh. au wauliza maswali ambao wakati mwingine maswali yao hayako coherent hata kidogo?
 
la hasha,,
sio suala la propaganda zisizo na faida kwa taifa,hapo utakuwa unapotoka moja kwa moja,
kilichofanyika ni kuhuishwa kwa historia ya wale waliosahaulika,either kwa makusudi or kwa sababu za kulinda utakatifu wa baadhi ya watu katika historia ya nchi hii,,
sasa kwa kuwa historia hiyo imeshaandikwa na kukubaliwa ulimwenguni kote,sasa ni wakati wenu kukaa chini na kuandika yale mnayohisi kwa namna moja ama nyingine yamepotoshwa na nyinyi muitangazie dunia ikiwa nyinyi ni miongoni mwa wale wasemao kweli,ikiwa nyinyi ni miongoni mwa watafiti wa kweli na msioegemea upande wowote,,
lakini katika hali hii ilipofikia kwa sasa,darsa la ndugu moh said limeeleweka na litaheshimika..

Historia inaandikwaje mara mbili? pengine labda iandikwe kwa muktadha mwingine, hasa wa kuikoleza historia iliyopo, vinginevyo sifa kuu ya historia tuliyonayo sasa ni kwamba iliandikwa as it happened na watu wa ndani na nje ya nchi wakati taifa bado changa sana, suala ambalo ni ushahidi kwamba haikuchakachuliwa, na sources mbalimbali zimekuwa consistent na content husika, sasa hizi amendment mnazotaka kufanya katika karne ya 21 kama vile tunajadili Katiba zinatia mashaka sana

Bandiko la Mzee Mwanakijiji (bandiko namba 3127) na pia bandiko langu namba (3053) mbona hayajibiwi kwa hoja? Mnajua fika kwamba hapo ndio pahala ambapo hoja nzima ya Mohamed Said itapungua mashiko, tena kwa kasi.

cc: zomba
 
Zomba,

Hoja yako kuhusu list ya waasisi nimeijadili mara nyingi sana licha ya wewe kuendelea na hoja zako kwamba hiyo ni list ya kivukoni. Mimi nimejifunza hilo kupitia historia kwa kujisomea, tena iliyoandikwa miaka ya sitini wakati matukio yakiwa bado fresh, sio orodha zenu za kuchakachua mnazo tengeneza vijiweni karne ya 21. Hoja ya mzee mwanakijiji kwenye bandiko namba 3127 pia imewaweka sawa, lakini kama kawaida yenu, mnatimua mbio. Vinginevyo sioni kipya hapa zaidi ya muendelezo wa propaganda zisizo na maslahi kwetu kama taifa.

Huko kujigamba kwako kujisomea ndio kulipelekea ukapewa jibu hili, jikumbushe:

Mchambuzi ''Critical Phase...cha Pratt si kitabu cha historia ya TANU khasa ila
kina taarifa za ukweli kuhusu mambo yalivyokuwa.

Hebu angalia hii nukuu moja:

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD] In his analysis of the TAA memorandum to the Constitutional Development Committee, Pratt reported:
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] The most detailed African submission came from the Dar es Salaam branch of the Tanganyika African Association. It asked that the distribution of seats (i.e. an official majority and one-half of the unofficial to be African) should be held constant for the next twelve years and that in the thirteenth year a common electoral roll should be introduced with a majority of the council then being elected.[1] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[1] Pratt op. cit. p. 30.

Hiyo ducument ambay Pratt ameinukuu ndiyo hiyo nyaraka liyoandikwa 1950 na TAA Political
Sub Committee.

Nyaraka hii imetoweka haipatikani popote Tanzania.

Hii nyaraka ilijadiliwa kwenye mkutano wa kuasisi TANU 1954 na ndiyo Nyerere aliwendanayo
UNO 1955 na kuisoma mbele ya Baraza la Wadhamini.

Hebu soma hapa chini niliachoandika katika kitabu changu kuhusu nyaraka hii muhimu:

The author was for the first time informed of the existence of this document by one of Mwapachu's
children, Juma Volter Mwapachu.

He was informed that Hamza Mwapachu took great pride in having participated in the drafting of this
document.

In her book Listowel mentioned this document and its historical significance to the political history of
Tanganyika.

But it was Pratt who analysed the document in detail.

The document was first consulted by Pratt in 1959 in a file of the Committee on ‘Constitutional Development
Report/and Despatches to the Secretary of State' no. 1146-6, Dar es Salaam Secretariat Library.

Although this file is available at the Tanzania National Archives, the document is missing. The author was
informed that a microfilm of the document was available but that too could not be traced.

For more information on loss of historical documents see M. Said, ‘In Praise of Ancestors Revisited' in Africa
Events,
London March, 1989, pp. 50-51.
 
Historia inaandikwaje mara mbili? pengine labda iandikwe kwa muktadha mwingine, hasa wa kuikoleza historia iliyopo, vinginevyo sifa kuu ya historia tuliyonayo sasa ni kwamba iliandikwa as it happened, suala ambalo ni ushahidi kwamba haikuchakachuliwa, na sources mbalimbali zimekuwa consistent na content husika, sasa hizi amendment mnazotaka kufanya mnafanya katika karne ya 21 kama vile tunajadili Katiba zinatia mashaka sana

Bandiko la Mzee Mwanakijiji (bandiko namba 3127) na pia bandiko langu namba (3053) mbona hayajibiwi kwa hoja? Mnajua fika kwamba hapo ndio pahala ambapo hoja nzima ya Mohamed Said itapungua mashiko, tena kwa kasi.

cc: zomba

Ume bugi maaaan.

1) Historia ya kivukoni iliandikwa "as it happened"? kama ndio, lini?

Ronn M,

Kwani Kivukoni walipoandika historia rasmi na kuwatoa Waislam
na kumbakisha Nyerere peke yake hofu ilikuwa dini?
 
Mkuu, hata sijuhi wanataka ku-pre empty kitu gani! Nani anaye ingia mitini au kujaribu ku-derail mada - ndugu Moh. au wauliza maswali ambao wakati mwingine maswali yao hayako coherent hata kidogo?

Ndugu yangu Bukyanagandi, ni pigo kubwa sana kwa wanaotafuta "muujiza" ili kumpandisha Nyerere kutoka alipo "mwenyeheri" kumpeleka kwenye "mtakatifu". Muujiza walioutegemea ni kumfanya kuwa yeye ni "super hero" wa Tanganyika aliyeweza kuwakabili wakoloni peke yake na kuipatia Tanganyika Uhuru alioudai yeye pekee. Lingethibitishwa hiilo ni moja kwa moja linampa status Nyerere ya kuwa ni mfanya "miujiza" (miracles) ambao ni kigezo cha u "sainthood".

Ukweli anaouweka wazi Mohamed Said, unaharibu hicho kigezo na ni lazima wagalatia wampinge Mohamed Said kwa nguvu zote. Lakini ukweli ni ukweli haufutiki na muujiza uwe wa kweli basi, si wa kubuni.

Bukyanagandi nafahamu kuwa wewe si Muislaam kama ulivyojieleza katika moja ya post zako, lakini u katika wale waupendao ukweli na inashangaza kuona watu humu wanapinga lakini wanachokipinga hawakioneshi, iliyobaki wanarusha kila istihizai, kejeli, vijembe kwa kuwa tu wanadhani ndio wanafanya "character assassination", laiti angelikuja mmoja wao akasema, Mshume ni wa kabuni hakuwepo, Abdulwahid Sykes hajawahi kumweka Nyerere, Dossa Aziz hajatowa mchango wake katika harakati za kudai Uhuru na wengine wote aliowataja Mohamed Said, japo mmoja wao au habari yao moja wakaipinga, hapo ningewaelewa, lakini tazama na soma kwa makini hilo hukuti.

Ni maradhi tu yaliyomo mioyoni mwao, na kwa uhakika hayapunguwi yanazidi. Unajuwa adui yako kila unapofanikiwa yeye ndiyo huzidi kuumia? ndio hawa wanaopinga, mradi wapinge tu.
 
historia inaandikwaje mara mbili? Pengine labda iandikwe kwa muktadha mwingine, hasa wa kuikoleza historia iliyopo, vinginevyo sifa kuu ya historia tuliyonayo sasa ni kwamba iliandikwa as it happened na watu wa ndani na nje ya nchi wakati taifa bado changa sana, suala ambalo ni ushahidi kwamba haikuchakachuliwa, na sources mbalimbali zimekuwa consistent na content husika, sasa hizi amendment mnazotaka kufanya katika karne ya 21 kama vile tunajadili katiba zinatia mashaka sana

bandiko la mzee mwanakijiji (bandiko namba 3127) na pia bandiko langu namba (3053) mbona hayajibiwi kwa hoja? Mnajua fika kwamba hapo ndio pahala ambapo hoja nzima ya mohamed said itapungua mashiko, tena kwa kasi.

Cc: Zomba

taratibuu,twende taratibuu na upunguze speed ndugu yangu mchambuzi,
inaonesha unataka kukimbia sana na kupitiliza hadi kwenu,,suala hapo si kuandikwa historia mara moja au mara mbili,la hasha,
kilichofanywa ni kuandikwa kwa historia ya wale waliosahaulika kwa makusudi,hoja umeipata au hujaipata??
Sasa kuonekana kwa hao ambao wamesahaulika ni waislm au wana majina yanayoshahabiana na uislam ni juu yenu,,
na kwa wao kuachwa kwenye historia hii kwa makusudi ni upotofu wa hali ya juu sana,watu wamechukua mda wao kujaribu kuwahuisha na kuufahamisha umma kuhusu upotofu huo nyinyi mnakuja kuwaita wadini??hiyo ni juu yenu,,
amueni kuandika yenu,unless otherwise mje mpinge historia hii iliyofichuliuwa kwa hoja zenye mantiki na kuacha kunyoosheana vidole,,
mmeshindwa basi,acheni ukweli uzid kutaradadi hata kama unawachoma mioyoni mwenu.
 
Bado mitusi unayoimwaga hapa haihalalishi uzushi na uzandi wa mzee wenu Mohamedi Saidi, sana sana inazidi kuthibitisha mlivyoshindwa kabisa kutetea ajenda yenu ya kuwagawa watanganyika kwa misingi mfu ya udini..... pole sana bwana chandimu!

Hujauonesha hata mmoja, uko wapi? utabaki kulalama tu Mohamed Said kitabu chake kinapeta miaka 15 leo, na si Tanzania tu, kipo sehemu nyingi duniani na anaalikwa sana kukielezea. Wewe Jee, au waandishi wako wa kivukoni wamepata hadhi hiyo? maawe!
 
mkuu, hata sijuhi wanataka ku-pre empty kitu gani! Nani anaye ingia mitini au kujaribu ku-derail mada - ndugu moh. Au wauliza maswali ambao wakati mwingine maswali yao hayako coherent hata kidogo?

wanashangaza sana mkuu..
Kwa kweli wanashangaza sana..
Dawa ya ukweli siku zote ni kuukubali,siyo kuupiga mawe,
haisaidii..
 
Zomba,

Hoja yako kuhusu list ya waasisi nimeijadili mara nyingi sana licha ya wewe kuendelea na hoja zako kwamba hiyo ni list ya kivukoni. Mimi nimejifunza hilo kupitia historia kwa kujisomea, tena iliyoandikwa miaka ya sitini wakati matukio yakiwa bado fresh, sio orodha zenu za kuchakachua mnazo tengeneza vijiweni karne ya 21. Hoja ya mzee mwanakijiji kwenye bandiko namba 3127 pia imewaweka sawa, lakini kama kawaida yenu, mnatimua mbio. Vinginevyo sioni kipya hapa zaidi ya muendelezo wa propaganda zisizo na maslahi kwetu kama taifa.

Jana Ritz, alikuuliza maswali mawili ulijibu la wanachama wa TANU, bado orodha ya viongozi wa TAA.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom