Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

jamani mimi nilikuwa msomaji toka mwanzo na nimefuatilia kwa makini sana yote yaliyojadiliwa, na mwanzoni ilinibidi nifanye dodoso kwa wafanyakazi wenzangu ambao ni wadini ya kislamu ili kujua kama waliwai kuhisi ama kugundua au kudhani kwa sababu moja ama nyengine waliwai kunywimwa fulsa yoyote hapa kazini kwetu ama ktk shule walizosoma ama mahala popote ambapo ni pakitaifa zaidi.ktk waislamu 43 wa idara yangu kakika narudia tena hakika hakuna hata mmoja ambaye amesema kuwa alinyimwa fulsa ambazo ni haki yake kimsingi labda kkt mazingira ya rushwa,pili ktk mjadala huu cjafurahiswa na mtindo wa mzee said kujibu hoja kwa kubase kwenye mandiko ya kitabu chake mwenyewe hiyo inaashiria kuna udhahifui flani ama hana vyanzo vingine isipokuwa kitabu chake mwenyewe.
 


Mtakatifu huyo huyo ambaye "kasamehe wahaini walotaka kumpindua na kuwapa nyadhifa mbalimbali kede wa kede nchi za nje"

Mtakatifu huyo huyo ambaye kaona amtese Bibi Titi Mohamed na awaaachia wengine mpaka awape ubalozi nje

Mtakatifu gani anaupendeleo namna hii?
 
nini maana ya wagalatia?
 


Kwaio unachotaka kusema ni kuwa angekuja mtu mwengine na ku-base majibu yake kutoka kwa kitabu cha Mzee Mohamed Said, ungeyakubali majibu hayo au la?

Naomba jibu tafadhwal
 
Last edited by a moderator:

Wafanyakazi wa idara gani ya serikali?
 

Mag3,

Mie sina uwezo huo.
 
Last edited by a moderator:
kaka big,

ndiyo tunasubiri majibu.
sawa sawa mkuu,,
nayakumbuka maneno yako,pale nilipoyasoma nikaanza kulengwa lengwa na machozi ya simanzi kubwa,kwani nilishazoea kuziona busara za ndugu yetu moh said zikimwagika pasi na tozo ya aina yoyote,,
"mohammed said,unaondoka unatuachia ukiwa"
kwa hakika niliposoma hayo maneno niliingiwa na simanz sana.
Mungu ambariki sana ndugu moh said.
 
Jana Ritz, alikuuliza maswali mawili ulijibu la wanachama wa TANU, bado orodha ya viongozi wa TAA.

Kama anawajua hao viongozi wa TAA si awataje yeye? Ritz mara nyingine huwa ana maswali ambayo huwa hayaeleweki yanalenga nini, ndio maana mara nyingine huwa nayapuuza. Vinginevyo nilishajadili kuhusu uhusiano wa TAA na Nyerere, hasa jinsi gani Mwalimu hakuwa na uzito wowote ndani ya TAA mpaka alipoanza kunga'ara na kuonekana ni potential in the eyes of TAA leaders and founders. In this light, niikamuliza Zomba na Ritz, JE - iwapo Nyereer alikuwa na mahusiano marefu na TAA, kwanini basi asingepewa Urais humo humo ndani ya TAA na badala yake makubaliano ya uongozi wa TAA taifa na Mwalimu ikawa TAA ife kwanza ili TANU izaliwe na hapo ndio Nyerere apewe nafasi ya territorial president? Kwanini TAA ilikufa na TANU ikazaliwa? Kama kawaida, majibu kutoka kwa hawa jamaa zetu hakuna;

Zomba: Hoja yako kuhusu Mohamed Said na Pratt (Critical Phase), nilipitiwa, nikipata muda nitaijibu ndani ya masaa 24;
 
Unajua huu Munaaqasha ungekua wa faida nyingi kama ungeendelea kwenye radio au tv

Upande Yericko Nyerere upande Mzee Mohamed Said. Manake hapa, kama tulivoona, Munaaqasha ulikua interrupted mara kwa mara

Ni wazo tu
 
Last edited by a moderator:
Zomba,

This is per post number 3139; naomba unijengee hoja kwa mujibu wa maelezo hayo ya Mohamed Said ili nijue najibu hoja gani hasa, kwani as it stands, sana sana kwangu ni taarifa tu ambayo haitingishi historia iliyopo tofauti na mnavyopenda iwe. Ingekuwa vizuri zaidi iwapo wewe binafsi ungejengea hoja badala ya kudandia hoja. As it stands, sioni ni jinis gani inabadilisha role of Nyerere in the post TAA era, na pia haibadilishi ukweli kwamba kama kulikuwa na madudu ndani ya uongozi wa TAA na waasisi wake, kama nilivyokwisha jadili, Nyerere had less to do with that. Ningependa hapa pia katika maelezo yako, unganisha na majibu yako kwa maswali yangu kwenye bandiko namba 3259;

cc: Mohamed Said.
 
i think u r hvg a bad day at the office-u nd tampax 2 cool up
 
Ah! Mzee Mohamed, mbona sio mara ya kwanza nimekupongeza kwa hilo? Sina utaalam wa kufukunyua kurasa hizi. Ningekuonyesha pale ulipokiri kuwa makosa yamo mle kwenye kitabu chako tunaoweza kuandika kitabu kingine tuandike ili kuyasahihisha. "Senility" inakunyemelea nini!
 
Mchochezi Mkuu katimka kakimbia baada ya kugundua kuwa JF si kama uwanja wa mihadhara, watu wanahoji na wanadadisi...sasa wamebaki "cheerleaders" kumlilia kwa kuwaacha wakiwa! Jf kiboko, huko nyuma wako wengi waliokimbia kama yeye na hadi leo hata kuingia humu wanaogopa. Eti hadithi na simulizi za mtaa wa Gerezani zinaitwa historia!...hapana, hapa JF zinaitwa kwa jina lake halisi, ngano.

Nina hakika waliofuatilia mjadala huu kwa makini watakuwa wamejifunza mengi lakini tusije tukawashangaa wale ambao wameambulia sifuri...uelewa watu hutofautiana, wapo ambao wataendelea kulalamikia mtihani badala ya mapungufu yao, oh tunaonewa! Common sense is not that common otherwise id.io.ts would have no domicile! Wapo wanaoamini kwa akili finyu kwamba wanatoa darsa kumbe ni wao wanapewa darasa!

Baada ya maswali yangu kwa mchochezi kukosa majibu, na mimi naaga nikiwaachia uwanja the Barubaru's, the zomba's, the vichwangumu and company. You are free to go ahead and dance yourselves lame...unfortunately the music has long stopped playing!
 

Kwi kwi kwi teh teh teh! list ya kigamboni ni rahisi kuielewa listi ya gerezani ni taabu kuielewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…