Naona kumbe mjadala huu unaweza kuendelea,
Tatizo ni kuwa mjadala wetu hauna jipya kutoka kwa Mchochezi Mohamed Said zaidi ya majigambo ya ngano zake tu!
Mag3.
Maalim wangu kanitaka nikupe darsa kuhusu hasad:
Hasad; "envy", "jealousy", kijicho, wivu, roho mbaya, zongo, kutamani na kujaribu huwezi. Na mengineyo mengi ya namna hiyo.
Kuna aina mbili kuu za wivu, moja ni ile ya kutamani kitu alicho nacho mwenzako bila kumuonea uchungu na kupenda nawe uwe nacho kama kile na kuwatamania wengine wawe nacho kama kile au zaidi ya kile kwa manufaa yake na ya wengine. Mfano mzuri, umuanapo mwenzako ana elimu nzuri, adabu nzuri, heshima nzuri, ukaionea wivu na kutamani uwe nayo kama ile na au kuzidi na ukajifunza kutoka kwa yule aliyo nayo na wengine ili nawe uwe nayo na wengine wawe nayo kama ile au zaidi ya ile kwa faida ya wote, basi huo ni wivu mwema na huitwa "ghibtah" Kiislaam. Na wivu kama huu unahimizwa.
Wivu mwingine ni ule ambao ambao unaona kwanini mwenzako kapata, kafanya (lolote liwalo) iwe elimu, mali, mke mzuri, nyumba nzuri, ama kingine chochote na wewe unasononeka roho yako na kufanya kila hila kuzuwia au kupaka matope au kuharibu alichokipata na kufanya kila hila asipate zaidi na ikiwezekana hata hicho alicho nacho kisiwepo, kukiponda, kumponda, ili mradi utafanya vitimbi vya kila aina kwa roho mbaya tu. Huu unaitwa uhasidi na afanyae hivyo huwa ana "hasad' (chuki) ya hali ya juu, kwa kuwa tu yeye hana na hawezi na hapendi mwenzake awe nacho.
Mohamed Said kuupa umma elimu yake kumehamasisha kujitokeza hapa JF watu wa aina mbili, wenye "Ghibtah" na wenye "Hasad". Utajaza mwenyewe upo kundi lipi.
Mimi nimejaribu kutoa darsa fupi kama alivyonitaka Maalim wangu, Wa Allahu Ya Alam.
Assalaam Alaykum,
Kabla sijaongea naomba nimvulie KILEMBA Kaka yangu , Baba yangu Mohammed Said kwa jinsi alivoweza kuhimili jeshi la watu wengi ilhali yeye akiwa wakati mwengine peke yake au Ritz na Zomba wakisaidia kutoa darsa kidogo kidogo.
Nimesoma neno kwa neno, hakika aloandika Mohammed Said ni kweli na mimi ni mmoja wa watoto ambao baba yangu aliathrika na kufungwa na Nyerere mwaka 1966-1967 kwa kisingizio kuwa walitaka kumpindua, lakini ile ilikuwa ni njama ya kuudhoofisha uislamu, na hakuishia hapo nyerere LAA'NATULLAH, akaendelea kutaifisha majumba ya waislamu mengi tu, hebu jaribuni kupita maeneno ya mjini na msome majumba ambayo sasa ni NHC, muone ni majina ya aina gani majumba hayo yameandikwa mengi ni majina ya kiislamu, sasa wewe yericko ni uchichezi gani Mohammed Said ameuandika? naomba nimponegze kwa ujasiri ambao hakuna yeyote aliethubutu kuandika kitabu kueleza historia ya kweli, dhulma ilofanywa na nyerere ambae naamini kama sio baba yako wewe yericko basi atakuwa babu yako! nashangaa na nakuona mtu usie na haya wala hujui vibaya kushadadia na kulazimsha watu waamini maandiko yale ni ya kweli na unayatetea kwa nguvu zote.
Mnamtukana Bwana Ilunga pia kwa kuwaambia ukweli juu ya udhalimu ulofanya na wizara ya elimu juu ya mtoto wa kike wa kiislamu alokuwa akiishi Mkuranga.
Ilunga anatumbia na ushahidi wanao, mtoto alikuwa na akili na kinara darasani, majibu ya mtihani wa darasa la saba yalipotoka mtoto amefeli, walipofuatilia wakakuta jina la mtoto yule kumbe amefaulu tabora girls, walipoenda tabora gilrs wakakuta kuna mtoto ameandikishwa kama huyo mwanamwari wa Mkuranga, na mtoto wenyewe alowekawa huko ni mgalatia, walipotaka kuweka bayana mkuu wa shule ile akaomba radhi na kuwaambia mtoto aletwe shule, waliporudi mkuranga mtoto akakutwa ameshakuwa mja mzito! wewe kama ungekuwa ni mzazi ungejisikiaje? acheni dhulma na kushadadia dhulma zisizo na maana, kama kweli mngekuwa wastaarabu mngekaa kimya kuliko kutete dhulma, na nakwambia itawatafuna NA INAWATAFUNA... HATA NURU HAMNA !!!!
Mwisho naomba nimuombee Ndugu yetu Bwana Mohammed Said ALLAh SW akujaalie maisha marefu, yenye swiha njema, ili uishi uzidi kutupa darsa na uufaamishe umma wa watanzania khassa waislam jinsi gandi nchi hii tulikandamizwa na tunavoendelea kukandamizwa na TUSHUHUDIE MANUFAA, naamini kila lililo na mwanzo basi halikosi kuwa na mwisho,! wahenga walisema "HAKUNA MAREFU YASO NA NCHA" ipo siku .."WAQULJAAAL HAQQ WAZAQAL BAATWTIL INNAL BAATWIL KAANA ZAHUQA" .... UKWELI UTAKUJA NA BAATIL ITAONDOKA.
Wahaadha.. Assalaamun Alaykum
Kijana unahitaji shule tena ya mapambazuko moyoni, akilini na mwilini,
Soma historia niliyoiweka hapo juu hasa baada ya kupata Uhuru,
Walioathiriwa na utaifishwaji wa mali zao sio waislamu tu ndugu, hata wapagani walitaifishwa mali zao!
Jambo muhimu ni kujua kwanini sera hiyo iliendeshwa katika nyakati hiiizo?
Lengo kuu lilikuwa nikuyaleta makundi yote katika uwanda mmoja!
Kuliweka taifa pamoja kulihitaji nguvu na ujasili usiomithirika,
Ndiomaana hata wale walioshirikiana na mwalimu katika ukombozi, walimuasi na wakaanza harakati za kuiangusha serikali yake kupitia mgongo wa DINI.
Naam mkono mtakatifu wa dola ya Mwalimu Nyerere uliwaangukia, na kishindo cha vilio vyao kinasikika hadi leo kupitia ndimi za akina Mohamed Said na wafuasi wake!
Yote yana mwisho! NAKUHAKIKISHIA! Mola wetu akuweke ushuhudie haya!

Yaleyale ya 'ngano'. Huyo mtoto aliyebebeshwa mimba hana jina? Huyo mkristo aliyependelewa hana jina?By mkomatembo

Mimi sijui kwasababu hukuwahi kutuambia mazungumzo ya Kighoma Malima na Nyerere yaliishaje baada ya kuonyeshwa picha za waislam.Mohamed Said;5587272]Nyerere ameandika hadi anakwenda hospitali akiandika...
Au hujui?
Mohamed, wasomi huandika vitabu kuamsha fikra, hawaandiki kujibu vitabu.Inawezekana baada ya kugundua kuwa hujui Nyerere alifika lini Dar kwa mara ya kwanza hawakuona sababu ya review'Kuhusu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Idara ya Historia...
Mie sitakupa jibu hebu wewe nenda pale kaulize kwa nini mko kimya sasamwaka wa 15 hamjaandika kitabu kujibu ''ngano'' za Mohamed Said.Au ukipenda waulize mbona hamkufanya ''review'' ya kitabu chake?
Pangekuwa hapana maana usingekuwa hapa JF.Ni wapi pengine watu wamewahi kubinya hadi ukashindwa kupumua?Ni wapi pengine umewahi kukiri mapungufu?Au we hapa JF ndiyo unaona umefika huna tena safari?Ushatua mizigo yako.Unataka kutamba kwa kuuliza swali JF...
Habari mpya ni kama ile ya Nyerere kutanguliza ''mzimu'' wake Dar es Salaam mwaka 1946 halafu akaja mwenyewe mwaka 1952?Sifa kubwa ya kitabu chochote cha kisomi ni kuja na habari mpya iliyokuwa haijulikani.
Habari mpya katika kitabu changu ilikuwa ''Islam and Politics in Colonial Tanganyika.''
JF ni kioboko au hili pia hujui? Ni wapi ambapo umewahi kuulizwa jambo au hoja ukashindwa kujibu?Au hili pia hulijui?
Wewe ni JF, JF, JF...
Wala hawahitajiki 20, mmoja tu anatosha.Narudia tena kukuambia wewe peke yako huniwezi wewe njoo na wenzako 20
au na zaidi mimi nitakuwa peke yangu.Sifanyi maskhara.Mjikusanye kama mnavyojikusanya JF...
Sheikh Mohamed, hata beberu naye ni mume kama alivyo jogoo.Wewe peke yako huniwezi.Kuna mtu hapa jamvini alikuonya akakuambia, ''Huyu mume mkubwa humuwezi.''
Yaleyale ya 'ngano'. Huyo mtoto aliyebebeshwa mimba hana jina? Huyo mkristo aliyependelewa hana jina?
Kwani nyie mmeshaoneshwa huo ushahidi au mnameza tu kila kitu mnachoambiwa kwa sababu kimetoka kwa shehe/ustaadh!?
Mohamed, mnakasha ulishafungwa nami niliaga. Kinachonirudisha ni kauli zako ambazo hazina chembe za uungwana.
Mimi sijui kwasababu hukuwahi kutuambia mazungumzo ya Kighoma Malima na Nyerere yaliishaje baada ya kuonyeshwa picha za waislam.
Sijui kwasababu Prof Othman alipomuuliza mwalimu swali la yeye kujibu tuhuma hukutueleza mazungumzo yaliishaje.
Tunachojua wote hao ni marehemu na kama kawaida yako hukawii kuwawekea marehemu maneno.
Jinala mtu lishapata R.I.P. Mohamed anapata cha kusema.Mohamed, wasomi huandika vitabu kuamsha fikra, hawaandiki kujibu vitabu.Inawezekana baada ya kugundua kuwa hujui Nyerere alifika lini Dar kwa mara ya kwanza hawakuona sababu ya reviewPangekuwa hapana maana usingekuwa hapa JF.Ni wapi pengine watu wamewahi kubinya hadi ukashindwa kupumua?Ni wapi pengine umewahi kukiri mapungufu?Habari mpya ni kama ile ya Nyerere kutanguliza ''mzimu'' wake Dar es Salaam mwaka 1946 halafu akaja mwenyewe mwaka 1952?
Ni ile ya Nyerere kwenda sokoni akiwa hana hela? Ni ile ya Nyerere kununuliwa sarawili pale kariakoo!JF ni kioboko au hili pia hujui? Ni wapi ambapo umewahi kuulizwa jambo au hoja ukashindwa kujibu?
Ni JF palipodhihirisha uzushi wa namba za mitihani na kuanzia siku ile hadi leo na milele madai yako kuhusu Malima kuanzisha namba za mitihani ni mwiko! umekoma1 na tumekomesha uzushi kwa vizazi vijavyo at least
Ni JF ndipo ulipoambiwa wait a minute Nyerere hakuanza siasa baada ya kuonana na Sykes, in fact alianza siasa miaka 6 kabla ya kukutana na Sykes na miaka 6 kabla hujazaliwa!
Ni JF palipoweka wazi na wewe kukiri kwa mdomo wako kuwa shirika la Marknoll lilichanga ticket ya Nyerere kwenda UNO kama walivyochanga wazee wako. Hujawahi kuulizwa kitu kama hicho Havard, Cambridge, University of Yemeni au Oxford.
Ni JF ndipo ulipokiri kwa mara ya kwanza katika miaka 15 ya uwepo wa ngano hii tamu.
Ni JF ambapo umeshindwa kuthibitisha madai yako kwa vidhibiti na kubaki kujinukuu kama ushahidi.
Pale uliposhikwa kunako ulinukuu maandishi ya Sivalon halafu ukasema umefanya utafiti.
Ni JF ambapo umeshindwa kutetea hoja za EAMWS na hilo linabaki kuwa donda kwasababu kila utakapotia mguu tutakata uthibitisho wa kina na mntiki kuhusu ushiriki wa kanisa na Nyerere.
Ni JF ambapo hukuthubutu kujibu hoja nzito na majibu yako yamekuwa kumkata kiburi kwa matusi.
Ni JF ambapo umepewa darsa la ilm ya dini kuhusu udhaifu wa kudhani Uislam ni barghashia au kanzu.
Ni JF umelazimika kuwaheshimu wapigania uhuru unaochukia majina yao.
Ni JF ambapo madai yako yamenyumbuliwa na kuonekana dhaifu hata wafuasi wako wengi wamekiri kulishwa ngano.
Ni JF ambapo mtu haonewi wala hahurumiwi, hayapendwi maandishi zinapendwa hoja.
Mohamed Said Salum Abdallah Muyukwa Semtaungo, umeshindwa kutetea hoja, umeshindwa kujibu maswali na umeonyesha upotofu wa hali ya juu. Wala hawahitajiki 20, mmoja tu anatosha.
Umeshindwa kujibu hoja kwa kichwa unakata vipande vya kitabu halafu unasema watu wenye vichwa vyao wajikusanye!!
Ungekuwa na uwezo usingekimbia maswali, usingezusha uongo na usingekiri yale yaliyowekwa bayana tena bila utafiti.
Nani atakuweza wewe bingwa wa ''inasemekana'' bingwa wa kusingizia marehemu na mtaalam wa chuki na farki.
Sheikh Mohamed, hata beberu naye ni mume kama alivyo jogoo.
Lakini unaweza kuwa mume wa mtu kutegemea na uwezo wake wa kufikiri.
Mohamed Said,hatuhitaji mume wala mke, shemeji au binamu tunahitaji ujibu hoja, maswali na utetee ngano.
Hapa hatuli ngano wala mashudu tunataka substance.
Usiughilibu umma na wewe ni tatizo kwa jamii kabla ya tatizo lenyewe.
Masalam sheikh nakutakia mchana mwema inshallah, na shughuli njema, mwenyezi mungu akujaze hekima, akuepushe na uzushi na aulinde ulimi wako inshallah. Wasalimie ndugu hapo kariakoo, nadhani joto sana sasa!
Asalaam alyakum

mohamed, mnakasha ulishafungwa nami niliaga. Kinachonirudisha ni kauli zako ambazo hazina chembe za uungwana.
Mimi sijui kwasababu hukuwahi kutuambia mazungumzo ya kighoma malima na nyerere yaliishaje baada ya kuonyeshwa picha za waislam.
Sijui kwasababu prof othman alipomuuliza mwalimu swali la yeye kujibu tuhuma hukutueleza mazungumzo yaliishaje.
Tunachojua wote hao ni marehemu na kama kawaida yako hukawii kuwawekea marehemu maneno.
Jinala mtu lishapata r.i.p. Mohamed anapata cha kusema.mohamed, wasomi huandika vitabu kuamsha fikra, hawaandiki kujibu vitabu.inawezekana baada ya kugundua kuwa hujui nyerere alifika lini dar kwa mara ya kwanza hawakuona sababu ya reviewpangekuwa hapana maana usingekuwa hapa jf.ni wapi pengine watu wamewahi kubinya hadi ukashindwa kupumua?ni wapi pengine umewahi kukiri mapungufu?habari mpya ni kama ile ya nyerere kutanguliza ''mzimu'' wake dar es salaam mwaka 1946 halafu akaja mwenyewe mwaka 1952?
Ni ile ya nyerere kwenda sokoni akiwa hana hela? Ni ile ya nyerere kununuliwa sarawili pale kariakoo!jf ni kioboko au hili pia hujui? Ni wapi ambapo umewahi kuulizwa jambo au hoja ukashindwa kujibu?
Ni jf palipodhihirisha uzushi wa namba za mitihani na kuanzia siku ile hadi leo na milele madai yako kuhusu malima kuanzisha namba za mitihani ni mwiko! Umekoma1 na tumekomesha uzushi kwa vizazi vijavyo at least
ni jf ndipo ulipoambiwa wait a minute nyerere hakuanza siasa baada ya kuonana na sykes, in fact alianza siasa miaka 6 kabla ya kukutana na sykes na miaka 6 kabla hujazaliwa!
Ni jf palipoweka wazi na wewe kukiri kwa mdomo wako kuwa shirika la marknoll lilichanga ticket ya nyerere kwenda uno kama walivyochanga wazee wako. Hujawahi kuulizwa kitu kama hicho havard, cambridge, university of yemeni au oxford.
Ni jf ndipo ulipokiri kwa mara ya kwanza katika miaka 15 ya uwepo wa ngano hii tamu.
Ni jf ambapo umeshindwa kuthibitisha madai yako kwa vidhibiti na kubaki kujinukuu kama ushahidi.
Pale uliposhikwa kunako ulinukuu maandishi ya sivalon halafu ukasema umefanya utafiti.
Ni jf ambapo umeshindwa kutetea hoja za eamws na hilo linabaki kuwa donda kwasababu kila utakapotia mguu tutakata uthibitisho wa kina na mntiki kuhusu ushiriki wa kanisa na nyerere.
Ni jf ambapo hukuthubutu kujibu hoja nzito na majibu yako yamekuwa kumkata kiburi kwa matusi.
Ni jf ambapo umepewa darsa la ilm ya dini kuhusu udhaifu wa kudhani uislam ni barghashia au kanzu.
Ni jf umelazimika kuwaheshimu wapigania uhuru unaochukia majina yao.
Ni jf ambapo madai yako yamenyumbuliwa na kuonekana dhaifu hata wafuasi wako wengi wamekiri kulishwa ngano.
Ni jf ambapo mtu haonewi wala hahurumiwi, hayapendwi maandishi zinapendwa hoja.
Mohamed said salum abdallah muyukwa semtaungo, umeshindwa kutetea hoja, umeshindwa kujibu maswali na umeonyesha upotofu wa hali ya juu. Wala hawahitajiki 20, mmoja tu anatosha.
Umeshindwa kujibu hoja kwa kichwa unakata vipande vya kitabu halafu unasema watu wenye vichwa vyao wajikusanye!!
Ungekuwa na uwezo usingekimbia maswali, usingezusha uongo na usingekiri yale yaliyowekwa bayana tena bila utafiti.
Nani atakuweza wewe bingwa wa ''inasemekana'' bingwa wa kusingizia marehemu na mtaalam wa chuki na farki.
Sheikh mohamed, hata beberu naye ni mume kama alivyo jogoo.
Lakini unaweza kuwa mume wa mtu kutegemea na uwezo wake wa kufikiri.
Mohamed said,hatuhitaji mume wala mke, shemeji au binamu tunahitaji ujibu hoja, maswali na utetee ngano.
Hapa hatuli ngano wala mashudu tunataka substance.
Usiughilibu umma na wewe ni tatizo kwa jamii kabla ya tatizo lenyewe.
Masalam sheikh nakutakia mchana mwema inshallah, na shughuli njema, mwenyezi mungu akujaze hekima, akuepushe na uzushi na aulinde ulimi wako inshallah. Wasalimie ndugu hapo kariakoo, nadhani joto sana sasa!
Asalaam alyakum
Mbona unatoa ahadi ya kitisho?
Unaijua dhambi ya uasi? Kasome Kuruani na Biblia zote zimeeleza adhabu ya dhambi ya uasi kama ilivyomkumba Yuda
Mzee Mohamed, ulikuwa na sababu gani kuaga hapa jamvini wakati bado unamchango? Mapovu ya nini mkuu? Nilishawahi kukupa usemi wa kwetu "Tembo ni mnyama mkubwa sana lakini hapiti akitangaza ukubwa wake". Tuachie sisi tunayemuona tembo tumsifie!Kichwa cha gramafoni kilichokwama kwenye sahani ya santuri HMV.
Kila kikifika kwenye kishimo kinakwama hakendi mbele kinajirudia hapo
hapo hadi aje mtu kukisogeza mbele...
Kichwa cha gramafoni ndiyo wewe na maswali yako yanayochusha.
Nami nikiona unachusha nakupuuza sikujibu.
Wenzako walikusanya magazeti ya Africa Events wakayachoma moto.
Hilo ndilo lilikuwa jibu lao.
Kanisa limejibu.
Au huna taarifa?
Soma tamko la Maaskofu la Xmas.
Ukiwa hukuliona jibu lao rudi hapa uniulize kwa adabu nitakupa jibu.
Nyerere ameandika hadi anakwenda hospitali akiandika...
Au hujui?
Saida Othmann Yahya (mke wa marehemu Prof. Haroub Othman) na
Prof. Issa Shivji wanaandika hivi sasa maisha ya Nyerere.
Au na hili hujui?
Chanzo cha kazi hii ya kuandika maisha ya Nyerere ni kitabu changu na
cha Ali Muhsin ''Conflict and Harmony in Zanzibar.''
Wewe huna moja ujualo katika mawanda haya.
Kuhusu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Idara ya Historia...
Mie sitakupa jibu hebu wewe nenda pale kaulize kwa nini mko kimya sasa
mwaka wa 15 hamjaandika kitabu kujibu ''ngano'' za Mohamed Said.
Au ukipenda waulize mbona hamkufanya ''review'' ya kitabu chake?
Kimya chao hadi leo ndiyo jibu lao.
Sikukimbilia Marekani na Ulaya.
Vyuo Vikuu mtu hakimbilii.
Unaalikwa kwa sifa zako.
Au hili nalo hulijui?
Au we hapa JF ndiyo unaona umefika huna tena safari?
Ushatua mizigo yako.
Unataka kutamba kwa kuuliza swali JF...
Kwanza hebu jiangalie unavyoandika wewe na fananisha ninavyoandika...
Jitathmini mwenyewe.
''Paper'' nilizoandika na makala wala sijui hesabu zake.
Hakuna gazeti na jarida ambalo sijaandika kuanzia Africa Confidential hadi
The Economist.
Hakuna radio station ambayo sijafanyanayo mahojiano.
Zisizopenda kuzungumza na mimi ni hizi za hapa nyumbani.
Ni baada ya kitabu kutangazwa na ''publisher'' katika duru za kisomi na ''riviews''
kuandikwa ndipo nikaanza kutafutwa.
Sifa kubwa ya kitabu chochote cha kisomi ni kuja na habari mpya iliyokuwa haijulikani.
Habari mpya katika kitabu changu ilikuwa ''Islam and Politics in Colonial Tanganyika.''
Angalia katika ''catalogue'' hiyo ndiyo ''classification'' ya kitabu changu.
Kitabu kikapata ''reviews'' mbili katika Cambridge Journal of African History.
Ukiingia humo umefika.
Au hili pia hulijui?
Wewe ni JF, JF, JF...
Hapa nyumbani kitabu kikapewa ''serialisation'' tatu katika The East African.
Naamini juu ya hayo yote unajua hadhi ya The East African.
Zitafute hizo ''series'' utazipata ilikuwa December 1998.
Narudia tena kukuambia wewe peke yako huniwezi wewe njoo na wenzako 20
au na zaidi mimi nitakuwa peke yangu.
Sifanyi maskhara.
Mjikusanye kama mnavyojikusanya JF...
Wewe peke yako huniwezi.
Kuna mtu hapa jamvini alikuonya akakuambia, ''Huyu mume mkubwa humuwezi.''
Bado hujaamini?
Au ulidhania anakufanyia utani?
Bado unaamini John Iliffe, Jonathan Glassman, James Brenan na wengineo, wasomi
hawa mabingwa wa African History waliokifanyia ''review'' kitabu changu walikuwa
wanareview ngano?
Bado unaamini The East African ile ''serialisation,'' iliyodumu wiki tatu walikuwa waki
''serialise'' ngano?
Bado unaamini Amazon, WH Smith, Africa House (London) hawa wote waliokuwa wakiuza
kitabu changu walikuwa wakiuza unga wa ngano?
Bado unaamini Phoenix Publishers, Nairobi ambao sasa wanakwenda toleo la tatu la kitabu
changu nakala ya Kiswahili wanachapa kitabu cha ''ngano?''
Utabaki hivyo hivo na hizo chuki, kejeli, choyo na husda zako.
Kama hujui maana khasa ya ''hasad'' Ritz au Zomba watakufahamisha.
Nimerudi kukata hicho kibri chako.
Nakusihi ukae kimya sitopenda Insha Allah kusemezana na wewe tena baada ya leo.
Mohamed, mnakasha ulishafungwa nami niliaga. Kinachonirudisha ni kauli zako ambazo hazina chembe za uungwana.
Mimi sijui kwasababu hukuwahi kutuambia mazungumzo ya Kighoma Malima na Nyerere yaliishaje baada ya kuonyeshwa picha za waislam.
Sijui kwasababu Prof Othman alipomuuliza mwalimu swali la yeye kujibu tuhuma hukutueleza mazungumzo yaliishaje.
Tunachojua wote hao ni marehemu na kama kawaida yako hukawii kuwawekea marehemu maneno.
Jinala mtu lishapata R.I.P. Mohamed anapata cha kusema.Mohamed, wasomi huandika vitabu kuamsha fikra, hawaandiki kujibu vitabu.Inawezekana baada ya kugundua kuwa hujui Nyerere alifika lini Dar kwa mara ya kwanza hawakuona sababu ya reviewPangekuwa hapana maana usingekuwa hapa JF.Ni wapi pengine watu wamewahi kubinya hadi ukashindwa kupumua?Ni wapi pengine umewahi kukiri mapungufu?Habari mpya ni kama ile ya Nyerere kutanguliza ''mzimu'' wake Dar es Salaam mwaka 1946 halafu akaja mwenyewe mwaka 1952?
Ni ile ya Nyerere kwenda sokoni akiwa hana hela? Ni ile ya Nyerere kununuliwa sarawili pale kariakoo!JF ni kioboko au hili pia hujui? Ni wapi ambapo umewahi kuulizwa jambo au hoja ukashindwa kujibu?
Ni JF palipodhihirisha uzushi wa namba za mitihani na kuanzia siku ile hadi leo na milele madai yako kuhusu Malima kuanzisha namba za mitihani ni mwiko! umekoma1 na tumekomesha uzushi kwa vizazi vijavyo at least
Ni JF ndipo ulipoambiwa wait a minute Nyerere hakuanza siasa baada ya kuonana na Sykes, in fact alianza siasa miaka 6 kabla ya kukutana na Sykes na miaka 6 kabla hujazaliwa!
Ni JF palipoweka wazi na wewe kukiri kwa mdomo wako kuwa shirika la Marknoll lilichanga ticket ya Nyerere kwenda UNO kama walivyochanga wazee wako. Hujawahi kuulizwa kitu kama hicho Havard, Cambridge, University of Yemeni au Oxford.
Ni JF ndipo ulipokiri kwa mara ya kwanza katika miaka 15 ya uwepo wa ngano hii tamu.
Ni JF ambapo umeshindwa kuthibitisha madai yako kwa vidhibiti na kubaki kujinukuu kama ushahidi.
Pale uliposhikwa kunako ulinukuu maandishi ya Sivalon halafu ukasema umefanya utafiti.
Ni JF ambapo umeshindwa kutetea hoja za EAMWS na hilo linabaki kuwa donda kwasababu kila utakapotia mguu tutakata uthibitisho wa kina na mntiki kuhusu ushiriki wa kanisa na Nyerere.
Ni JF ambapo hukuthubutu kujibu hoja nzito na majibu yako yamekuwa kumkata kiburi kwa matusi.
Ni JF ambapo umepewa darsa la ilm ya dini kuhusu udhaifu wa kudhani Uislam ni barghashia au kanzu.
Ni JF umelazimika kuwaheshimu wapigania uhuru unaochukia majina yao.
Ni JF ambapo madai yako yamenyumbuliwa na kuonekana dhaifu hata wafuasi wako wengi wamekiri kulishwa ngano.
Ni JF ambapo mtu haonewi wala hahurumiwi, hayapendwi maandishi zinapendwa hoja.
Mohamed Said Salum Abdallah Muyukwa Semtaungo, umeshindwa kutetea hoja, umeshindwa kujibu maswali na umeonyesha upotofu wa hali ya juu. Wala hawahitajiki 20, mmoja tu anatosha.
Umeshindwa kujibu hoja kwa kichwa unakata vipande vya kitabu halafu unasema watu wenye vichwa vyao wajikusanye!!
Ungekuwa na uwezo usingekimbia maswali, usingezusha uongo na usingekiri yale yaliyowekwa bayana tena bila utafiti.
Nani atakuweza wewe bingwa wa ''inasemekana'' bingwa wa kusingizia marehemu na mtaalam wa chuki na farki.
Sheikh Mohamed, hata beberu naye ni mume kama alivyo jogoo.
Lakini unaweza kuwa mume wa mtu kutegemea na uwezo wake wa kufikiri.
Mohamed Said,hatuhitaji mume wala mke, shemeji au binamu tunahitaji ujibu hoja, maswali na utetee ngano.
Hapa hatuli ngano wala mashudu tunataka substance.
Usiughilibu umma na wewe ni tatizo kwa jamii kabla ya tatizo lenyewe.
Masalam sheikh nakutakia mchana mwema inshallah, na shughuli njema, mwenyezi mungu akujaze hekima, akuepushe na uzushi na aulinde ulimi wako inshallah. Wasalimie ndugu hapo kariakoo, nadhani joto sana sasa!
Asalaam alyakum
mzee mohamed, ulikuwa na sababu gani kuaga hapa jamvini wakati bado unamchango? Mapovu ya nini mkuu? Nilishawahi kukupa usemi wa kwetu "tembo ni mnyama mkubwa sana lakini hapiti akitangaza ukubwa wake". Tuachie sisi tunayemuona tembo tumsifie!
Mkuu kwakweli inasikitisha sana ukimuona mtu mzima kama Mzee Mohamed Said halafu anakuwa muongo na tapeli wa kifikra,
Najiuliza sana, hivi huyo alipokuwa kijana alikuwaje?
Niuzushi ulioje kusema Mwalimu aliwahi kukiri/kutamka/kuandika hayo madao ya huyu MCHOCHIZI Mohamed Said?
Chakusikitisha ni kuwa ukimwambia alete ushahidi ataleta yaleyale yakufikirika aliyoyaandika yeye!