Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Ninachoshukuru Mungu nikuwa watu zaidi ya 35,000 wameona kwa macho yako uchochezi na uzandiki wa huyu Babu

Yericko Nyerere,

Hao watu 35,000 unadhani utawashikia akili, ngoja nikuambie kitu Mohamed Said nadhani ulikuwa humjui wala kuwahi kufanya naye munakasha nadhani kipindi hiki ndiyo mara ya kwanza.

Mohamed Said kafanya sana mijadala humu JF kipindi cha nyuma mwaka juzi wakati wa sherehe za uhuru wa Tanganyika kulikuwa na nyuzi zake mbili humu zilikuwa na wachangiaji wengi sana na yeye akindika makala za uhuru kwenye gazeti la Mwananchi watu walikuwa wanaligombania.

Hawa watu 35,000 kwa akili yako unadhani wamekufuata wewe.

Tafuta hizo nyuzi za Mohamed Said uone nyomi la watu wanavyozisoma. Nena Jamii Intelligence kuna uzi wake mmoja kaangalie wasomaji. Halafu wewe anzisha uzi wako wa historia ukae hata miezi mitatu uone nani atasumbuka kuufuatilia.

Mohamed Said na wewe ni sawa sawa kufananisha mlima Kilimanjaro na mlima Machemba wa Mwanza.
 
Last edited by a moderator:


Ni utakatifu gani aliokuwa nao Nyerere?
 

Hivi hii ligi ya kitoto mtaacha lini? Sasa kwani huu uzi kaanzisha nani? Mohamed Said au Yericko?
Mzee wenu mweyewe maji yamezidi unga, ngoma imekuwa nzito sana kwake!
Kimsingi mjadala umeshafungwa...ngoja tuwaache mkiendelea na ligi yenu ya watoto...
 
Yaleyale ya 'ngano'. Huyo mtoto aliyebebeshwa mimba hana jina? Huyo mkristo aliyependelewa hana jina?
Kwani nyie mmeshaoneshwa huo ushahidi au mnameza tu kila kitu mnachoambiwa kwa sababu kimetoka kwa shehe/ustaadh!?


Huwa hatusemi kwa kukhisi, tunasema kwa ushahidi, kama ungependa kuuona mtafute Mzee wetu Ilunga akuoneshe, watu wamefunzwa na sio wa kupayukwa payukwa tu kama anyie, kutetea hoja ambazo hazina mashiko, kutete udhalimu ambao mnajua fika! narudi kusema yana mwisho na yapo karibu Insh Allah
 

Barubaru,

Hiyo orodha imetaja wajumbe wa kanda cha kuchekesha hata Oscar Kambona, Nsilo Swai, Kanyama Chiume, Hassan Suleiman, Ali Ponda, hawajulikani.
 
Last edited by a moderator:
Mbona unatoa ahadi ya kitisho?

Unaijua dhambi ya uasi? Kasome Kuruani na Biblia zote zimeeleza adhabu ya dhambi ya uasi kama ilivyomkumba Yuda

Al Qur-aan ... Sikutishi, wewe Nyerere wa kutishwa? umeniita kijana sasa mbona kijana anakutisha ? Nyerere amewaharibu sana, kwa kuwa yeye alikuwa na tabia za uungu mtu basi mnataka na nyie muonwe miungu watu! zama hizo zimekwisha, tupo katika zama na ukweli na uwazi na Maalim Mohammed Said anatupa darsa la ukweli wote, nilikuwa nikiyafahamu machache ambayo nilihadithiwa na Al Marhum baba yangu, ila kwa kumsoma Maalim Mohammed Said nimezidi kujifunza mengi .
 

Kwa hiyo kama kaanzisha Yericko basi watu wote wanaochangia wamefuata yeye akili zingine bana.
 
Acheni porojo. Ilunga hana ushahidi wowote. Ilipoonekana wanafunzi wa kiislam wamefeli kupita kawaida kwenye somo la Islamic Knowledge, mlichunguza na mkaona hitilafu, mkapeleka NECTA/baraza la mitihani, nao wakaona hitilafu katika mfumo uliobadilishwa wa ukokotoaji. matokeo yakakokolewa upya na majibu mapya yakatoka. Aliyehusika akachukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria. Huo ndiyo tunaouita USHAHIDI. Siyo porojo za Ilunga.
Hapo kwenye mstari ni kweli. Lakini si kwa kuchoma makanisa na kujilipua kama Boko Haram...bali kuwasha upya mwamko wa elimu kwa jamii ya waislam mkianzia maeneo kama Kilwa ambako shule zinafungwa kwa kukosa wanafunzi. Eti NECTA...
 
Kwa kuwa wengi mmeacha kujadili upotoshwaji wa kihistoria unaozungumziwa na badala yake mnajadili mambo ushabiki wa kidini, napenda kuwahakikishia kuwa hakuna atakayefanikiwa. Mwisho wa mijadala ya kidini huwa mara nyingi kama si zote ni mbaya....!

Stop it now.
 
Ni mtoto wa Nyerre Burito na Mogaya wa Nyang'ombe, wote wakazi wa Butiama kwa vizazi sita nyuma. Akina Sykes, Plantan?

Habari zako si za kweli na pia ukijisoma vizuri inabidi utueleze kabla ya hivyo "vizazi sita" ni wa asili ya wapi?. Uliza kama hujui.

Kuhusu kina Sykes na Plantan pitia kitabu hiki:

"The life and times of Abdulwahid Sykes (1924-1968)
: the untold story of the muslim struggle against British colonialism in Tanganyika" Kilichoandikwa na Mohamed Said.

Kinaelezea kwa kina historia yao. Jee, huo uzushi wako unaweza kuleta ushahidi kama uliopo wa kina Sykes? nakuhakikishia huwezi.
 
zomba,
Baba ya Dully Sykes( huyu kijana aliyeimba "mimi na mabinti damdam") alikuwa rafiki yangu zamani. Alinisimulia mengi kuhusu familia hii. Namna walivyosilimu, namna walivyokuwa wakistarehe na mabinti wa Kimanyema hapo Kariakoo,..., namshangaa mzee wetu huyu Mohamed anavyokomaa na Uislam wa hawa jamaa. Hawakuwa Waislam kinamna anavyotaka mzee Mohamed tuamini. Uislam wao haukuwahi kuwagombanisha na Mwalimu.
 
Last edited by a moderator:
Butyama na Watyama wapo. Ni ukoo mkubwa tu ndani ya WAZANAKI. Vizazi vingi tu wako pale. Au nawe ni muathirika wa NGANO za Mtikila? Kama walihamia pale kama KABILA itakuwa ni miaka mingi sana kama makabila mengi mengine nchi hii. Akina Sykes hawakuja kama kabila. Hawakuja nchi hii wakiwa Waislam. Ni ujanja wa Wabondei na Wamanyema uliowaingiza kwenye Uislam. Unacheza na mabinti wa Kimanyema?
 
JF ndiyo sehemu ya kwanza ambayo wanaamini wapigania uhuru wa Tanganyika walikuwa 17 tu. Ukiwemo wewe Nguruvi3, Mag3, Mchambuzi, Yericko Nyerere,

Husda kitu kibaya sana.

Hoja yako nilishajadili kwa kirefu lakini mzee mwanakijiji akawapa somo zito zaidi ambalo wewe, zomba na mohamed said kwa pamoja mmeshindwa kujibu kwa hoja, na kwa mtazamo wangu na nadhani wa wengi humu, hoja hiyo ya mzee mwanakijiji per post number 3127 imefifisha hoja zenu za msingi juu ya suala husika. Kwa manufaa yenu, naomba niiweke tena hapa kwani nimewakumbusha vya kutosha lakini mmekuwa wakimbizi katika hilo. Mzee Mwanakijiji alisema hivi

 

Nimesoma ilo bandiko lakini sijaona mahala popote likielezea hao watu 17 kama ndiyo walianzisha TANU.
 

Hakuna Uislaam wa namna, Muislaam ni Muislaam. Full Stop. Ikiwa walisilim basi waliuona ukweli uko wapi. Jee wewe? bado uko katika kuaminishwa kuwa Nyerere ni mtakatifu?
 
Tatizo la ndg zetu Waislamu, ni kutaka kila kitu kiwe kwa misingi ya dini yao, na hasa kutoka Uarabuni. Waislam walio Uarabuni wanatumia elimu na teknolojia kutoka nchi za Magharibi kuijletea maendeleo. Waislamu wa hapa wanaendeleza udhaifu wao wa kutotaka kwenda shule. Ukiziangalia sehemu ambazo wegi ni Waislamu utakuta kiwango cha waliopata elimu bado ni ndogo. Pia kwa miaka kama hii bado kuna watu wanapita misikitini na kuwashawishi waislamu kutopeleka watoto shule za elimu ya kisasa. Hata hivyo wegi wa Waislamu wenye elimu nzuri na ya hali ya juu wamepita kwnye shule za wakristo. Bado waislamu wenye kuona mbele wanagoma kupeleka watoto wao kwenye shule za kiislamu. Je, kuna nini huko ambako tungetegemea wawe wanaenda lakini hawataki? Tatizo ni kuwa wakienda huko hupewa elimu ya dini badala ya elimu iliyolengwa. Hii hufanya watoto kufanya vibaya katika mitihani ya kitaifa. Nani wa kulaumu kama siyo wao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…